Kumekuwepo na wizi mkubwa kwenye mitandao ya simu kwa kipindi cha karibuni. Mimi mwenyewe majuzi kijana wangu wa kibanda cha Mpesa amekuwa muhanga wa wizi huu.
Cha kushangaza tunakwenda kutoa taarifa police nao wanasema ni kweli kuna wizi sana.
Sasa tunajiuliza namba ina jina simu imesajiliwa...
Siasa ni taratibu za maisha ya kila siku ya binadamu zinazoratibiwa na sheria na kanuni mbalimbali. Kusema hutaki siasa ni kusema hutaki watu waishi kwa mujibu wa sheria ila tamko la mtu ni ubatili na kulewa madaraka
Magufuli watu wanamuelewa ndiyo maana wanampinga kwa vitendo vyake vya kukiuka haki za kidemokrasia kwa kisingizio cha maendeleo. Dunia nzima imethibitika nchi zenye democrasia ya kweli zimepiga hatua kubwa ya maendeleo
Uchimbaji wa mchanga katika mto nyakasangu mbweni imekuwa kero sugu ambayo imewashinda polisi, manispaa ya kinondoni, NEMC na vyombo vingine vya ulinzi na usalama.
Mto huu ni moja ya maeneo yaliyopigwa marufuku kuchimba mchanga lakini malori yanachukua mchanga, katika kufuatilia tumegundua huu...
Ila Magufuli lazima ajiangalie sana maana anakokwenda atapotea haraka mno, kutotenda haki na kufikiri unajua kila kitu ni kujitakia majanga. Busara ya kiongozi yeyote ni kusikiliza kwa makini wengine wanasemaje na si wewe tu kusema kuibuka na kuonea watu hata wasifanye mikutano ya ndani ya ofisi...
Rais John Magufuli amejinadi na ametekeleza ahadi yake ya kutumbua majibu ili kuboresha utendaji katika utumishi wa umma jambo ambalo ni jema.
DAWASCO ina jukumu la kusambaza maji safi na kuondoa maji taka Dar na Pwani, cha kushangaza sehemu kubwa ya miji haina maji japo kuna mipango mingi ya...
Mimi nafikiri rais wetu anapaswa awe anachagua maneno ya kuongea maana naona sasa ni dhahiri bila shaka anapoteza mwelekeo mapema sana nahisi hana dira maana ni kama vile anaibuka tuu bila kujiandaa sijui wasaidizi wake kama kweli wanamsaidia na kumueleza ukweli vinginevyo ataendelea kutia aibu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.