Search results

  1. Evarist Massawe

    Must see Movies

    Ni descent movie,,inafaa kusindikiza siku yako
  2. Evarist Massawe

    Askofu Malasusa kwanini anataka tena Uaskofu Mkuu KKKT?

    KKKT wamebadili katiba kwenye mkutano huu,kwa sasa watakuwa na katiba moja na sio kila usharika kuwa na katiba yake.
  3. Evarist Massawe

    Mzee wa Upako: Waraka wa TEC unadhoofisha mipango ya Serikali, haijalishi mipango hiyo ni mizuri au mibaya

    Kwa maelezo ya mzee wa upako nje ya serikali hakuna wataalamu. Pathetic
  4. Evarist Massawe

    Must see Movies

    Nilikuwa natumia app ya FZ movie sijui siku hizi ina nini haifunguki tena
  5. Evarist Massawe

    Must see Movies

    Ni movie nzuri but action scenes zake ni unreal kama SISU tu
  6. Evarist Massawe

    Must see Movies

    Sijui kuhusu Hilo, kuna wakati napenda kuangalia Tu movie online na kuiachia hukohuko
  7. Evarist Massawe

    Must see Movies

    Naombeni chimbo la kuangalia movie, sio kudownload Tu Bali kauangalia online free
  8. Evarist Massawe

    Must see Movies

    Guys tafuteni Ghosted ni movie nzuri Sanaa kuliko hata Club assassin
  9. Evarist Massawe

    Movie Reviews

    Mkuu endelea kutupa madini unatusaidia kutuesha kudownload trashes. Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
  10. Evarist Massawe

    Must see Movies

    Will Smith alivyo Fala anamfata anamwambia haya nenda kwa mama anakusubiri, anamfumba Macho dogo anadanja[emoji23][emoji23] Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
  11. Evarist Massawe

    Must see Movies

    Upo mkoa gani mkuu Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
  12. Evarist Massawe

    Biashara ya bodaboda

    Hongera kwa ushauri mzuri.kwenye app hizi mfano bolt , uber e.t.c ipi ni nzuri kwa pikipiki? Asante
  13. Evarist Massawe

    Oscar Oscar na Masoud si sawa kumsakama Jeff

    Ambangile ni mwoga wa kupigwa mawe hasa na simba na yanga so hujitahidi kubalance na hapo ndiyo anapokosea..eddo na dauda wao kama ni nyeusi ni nyeusi hawaogopi chochote.kihemba na jemedari nao wako vizuri hawajali mihemko ya vilabu vya kariakoo kama wamezingua huwaambia ukweli
  14. Evarist Massawe

    Oscar Oscar na Masoud si sawa kumsakama Jeff

    Ambangile huwa hachanganyi lugha..ni mara chache mno nasema mno hutokea akaongea na kiingereza
  15. Evarist Massawe

    Angalia ujinga wa Priva wa Sports Xtra ya Clouds FM

    Atakuwa anamzungumzia edger kibwana wa sports extra
  16. Evarist Massawe

    Rais Samia: Wameanza kuandika kwenye vigazeti kwamba sitasimama 2025, nani kawaambia?

    Katiba inampa nafasi ya kugombea kipindi kimoja
  17. Evarist Massawe

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Tupeni matokeo ya mwisho basi ngapingapi
  18. Evarist Massawe

    Pata hadithi mbalimbali za zamani hapa

    Mkuu naweza kupata hiyo audio kwa whatsp? Please nicheck inbox kama kuna uwezekano.
  19. Evarist Massawe

    Uchaguzi 2020 TCAA yawajibu CHADEMA, yasikitishwa na upotoshaji wao

    Ni sheria inasema hivyo, hiyo sheria ipo muda mrefu haijaanza leo
  20. Evarist Massawe

    Uchaguzi 2020 Dar: Helkopta ya Kampeni ya Tundu Lissu, yanyimwa kibali cha kutumia anga, ni baada ya kuomba kibali hapo jana

    Watazuiwaje bila sababu , taarifa ya chadema ni ya upande mmoja, ninachoamini ziko sababu walizopewa ambazo chadema hawakuziweka kwenye press release yao.
Back
Top Bottom