Search results

  1. miss strong

    Mume wa Shamim amtishia Mange Bastola

    Habari zenu wadau. Nimeona IG kuwa mume wa Shamim amtishia Mange bastola. Kunani??? Nimeona IG nikabaki kushangaa
  2. miss strong

    Karibuni WanaJamiiforums

    Karibuni kinywaji wana Jamiiforums weekend ndo hii baada ya pilikapilika za week basi ni muda wakujipongeza. Wale waliosema mwanamke akinywa pombe hana mvuto, karibia hapa upate kinywaji. Mie sipendi uchoyo.
  3. miss strong

    Kutafuna meno wakati wa usiku

    Jamani nashindwa kulala mpaka sasa hivi....nmepata mgeni ana sugua meno hatari na nmelala nae room kwangu. Wengine humu wanamatatizo kama haya au kuzidi haya. Utakuta mtu anakoroma kama simba au wengine ulala kama anaogelea jamani. Hivi ni ulemavu,tabia isiyokuwa na dawa au mnafanya...
  4. miss strong

    Presha kupanda

    Habari wana jamvii.....nina shemeji yangu alianza kuongea vitu visivyoeleweka (maluweluwe) ijumaa iliyopita na kulamimika kuwa ana uchovu sana. Dada yangu (mkewe) alihisi ni gea tu yakukwepa maswali maana alikuwa akimdai pesa ambayo alihaidiwa na huyo mumewe.Hali ya mume iliendelea hivyo...
  5. miss strong

    Supu ya pweza Vs Juice ya tende

    Habari zenu wana jamii..... Kama heading inavyojielezea jamani,kumekuwa na ongezeka la wauza supu ya pweza na juice ya tende mixer maziwa,Nilipojaribu kudadisi kwa undani zaidi haswa kwa watumiaji wa hizo bidhaa wanasema inasaidia kuleta heshima ndani ya nyumba. Sasa nina maswali maana...
  6. miss strong

    Ukavu sehemu za siri

    Habari zenu wana jamvii. Me nina swali jamani, nikinywa kilevi wakati ninataka kusex na shemu wenu ute unakata na papuchi inakuwa kavu zaidi. Je ni ugonjwa?
  7. miss strong

    Ukeketaji

    Habari wana MMU Tuna binti wetu wa kazi ambae sasa ni kama miezi 6 tangia tumeanza kuishi nae.Ni mwenyeji wa mkoa wa Dodoma. Huyu binti historia yake hakuwahi kupelekwa shule na kwa maana hiyo hawezi kusoma wala kuandika.Alifanyiwa mpango hapa nyumbani akapelekwa sehemu ili ajifunze kusoma...
  8. miss strong

    Mama ni mgonjwa

    Habar wa MMU.......aiseee nahitaji mnikumbuke katika maombi,mama yangu ni mgonjwa na hatujui tufanye nini maana hospital ugonjwa hauonekani. Alichomwa na kitu mguuni wiki 5 zilizopita ikaota kama kipele then lengelenge na baadae mguu wote ukawa umepata vidonda. Kapimwa magonjwa mengi...
  9. miss strong

    Happy Birthday miss strong

    Habari zenu wana JF........ Ni siku nyingine tena bwana amefanya,leo ni kumbukumbu ya siku yangu yakuzaliwa. Nilizaliwa tarehe kama ya leo na mwezi wa leo siku ya jumapili,alfajiri. Namshukuru mama kwa uaminifu wake wakunitunza nikiwa tumboni mpaka kuzaliwa kwangu. Shukrani pia kwa baba...
  10. miss strong

    Protein ikionekana kwenye mwilini ina madhara

    Habar zenu wana jamvi....... Kuna tatizo ambalo linanitatiza mwenzenu,mwili wangu unakawaida yakuwa na joto maisha yangu yote kias ya kwamba mtu mwingine akinigusa anaweza akasema labda naumwa kumbe walaaaaah!!! Kilichonifanya niandike uzi huu....nilipotoka kijiji hv karbun nikawa najisikia...
  11. miss strong

    Ni vema kutenga muda wa kumshukuru mungu..........

    Habari zenu ............ Nimefikiria mapito wanadamu tunayopitia katika maisha ya kila siku........matendo ambayo tunayatenda yakumpendeza Mungu na yasio mpendeza yeye lakin kwa neema zake bado tunaishi. Je umewahi kufikiria unamrudishia nini Bwana (Mungu) kwa ukarimu wake?Mungu ni mwema sana...
  12. miss strong

    #kikosi cha mizinga#.....sitaki tena la mgambo limellia..........

    La mgambooooooooooooooo limelia huko.......................... Yaani kwakweli nmesikitishwa na kilichompata dada Ufoo Saro kabisaaaaa,Sababu zinazovuma mpaka sasa ni mapenzi kimetokea nini wanafahamu wenyewe...... Kuna kipindi nilileta thread hapa juu ya yule mchaga anayenihudumia ingawa...
  13. miss strong

    TANZIA: Bwana ametwaa - Jina lake lihimidiwe

    Wana MMU nahitaji maombi yenu nipo safarini muda huu naelekea morogoro maeneo ya nanenane......nimefiwa na dada yangu kipenzi,Amefariki leo mchana na alikwenda kwa dada mkubwa huko morogoro likizo ya kikazi juz!!!!!! BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA.....JINA LAKE LIHIMIDIWE. Nashukuru kwa...
  14. miss strong

    Ukizubaa kidogo tu ushakatwa... Si unaona!!

    Habari wana JF............poleni na shughuli zakujenga taifa letu. Dunia tambala bovu walisema wahenga wetu na leo nimeamini hili........Dada mmoja alikuwa na shoga yake kipenzi anayemuamini kwa kila jambo,lakini alichomtenda haamini mpaka kesho kama peponi au laah. Alikuwa na mume wake...
  15. miss strong

    Hata kwetu wapo...!!Shemejii iiiii

    Habari zenu JF........ Nina mahusiano ya kawaida tu na kijana mmoja wa kichaga ambaye ni mfanyabiashara yapata miaka 3 sasa. Anatoa huduma zote kwangu kasoro tu dushelele lake ndo silihitaji maana sina hisia zozote jaman za mapenzi kwake (toka moyoni) ki ukweli. Kwanzia mwaka jana jamaa...
  16. miss strong

    Uchaguzi Kagera Mikoroshini

    Kura zimeharibika Kagera mikoroshini-kinyang'anyiro cha mwenyekiti serikali za mitaa.CCM wanang'angania kutangaza matokeo. Defender na mabomu ya machoz yapo standby..... Afe ng'ombe afe mmasai hapa. Wanataka kutangaza matokeo kiubabe
  17. miss strong

    Sam Mahela

    Habar za asubuhi wana JF, Nahitaji kuwasiliana na huyu kaka juu ya jambo fulani,kama yupo humu bas aniPm. Mungu awabariki sana.
  18. miss strong

    Kutokwa na maziwa wakati huna ujauzito na wala hujazaa

    kutokwa na maji yanayofanana na maziwa na ni mepesi katika nyonyo la mwanamke.Hajazaa na hana mimba.Msaada wenu tafadhali
  19. miss strong

    Lecturer part 3

    Poleni wana JF na majukumu ya kila siku. Nimerudi tena kwa muendelezo wa ile kesi,nisiwachoshe sana lakin hali iliyofikia ni kutishiwa aman kabisa kwa ujumbe mfupi wa maaandishi kupitia simu yangu ya mkononi. Kama nilivyotoa maelezo katika thread ile ya pili juu ya hatua zangu nilizochukua...
  20. miss strong

    Lecturer part 2

    Habari wana JF,poleni na majukumu ya kila siku ya kulijenga taifa letu. Nashukuru kwa ushauri wenu na maombi yenu juu ya yaliyonikuta kwa huyo lecturer kama nilivyotuma katika huu mtandao wik iliyoisha. Nilichukua maamuz ya kwenda kwa DS moja kwa moja baada yakutoka kwa HOD,Nilipoonana na DS...
Back
Top Bottom