Search results

  1. Q

    Anna Kilango alipwa fadhila kwa kumuokoa Pinda na ESCROW

    ni kweli aliniboa sana yule mama, kama nchi inaweza kusikiliza yale aliyokuwa anayazungumza na ikampongeza basi kazi tunayo
  2. Q

    Kujiuzulu kwa Prof. Muhongo: Mengi ni mtu mwenye Nguvu/Ushawishi zaidi Tanzania

    muhongo na yeye alizidi kutukana, "wawekezaji wa nchi hii wanaweza kuwekeza kwenye juice na siyo gas" mwisho wa kumnukuu, nafikiri alipaswa kuondoka tu maana sijaona uzalendo wake
  3. Q

    Mh. John Mnyika amewasilisha udhaifu wa mchakato wa mabadiliko ya Katiba kwa katibu wa bunge

    hoja ya mnyika ni nzuri japo maamuzi ya bunge letu hayafanyiki kwa maslahi ya kitaifa bali ni ya siasa tu,
  4. Q

    CHADEMA ni nini na kipo kwa ajili ya nani?

    ni chama makini
  5. Q

    Hawa Ndio Mawaziri wa JK; Waziri Mwinyi asema kwa sasa Madaktari bingwa si muhimu!!!

    yale yale ya jk, alipohojiwa na BBC 'kwa nini tz ni maskini?' jk alijibu kuwa hata yeye hajui sababu, hivyo sishangai kusikia haya ya mteule wake kwani kama yeye(jk) hajui uwezekano wa kumteua asiyejua ni mkubwa sana
  6. Q

    Mwigulu amvisha mbwa bendera ya CHADEMA

    mwigulu hawezi kujenga hoja ndiyo maana anafanya utoto huu, inaonekana kwake yeye siasa ni namna yoyote ile awezavyo kumchafua mwanasiasa asiye wa chama chake
  7. Q

    Watanzania 27 wanamiliki mabilioni Uswisi

    uko sawa kabisa mkuu, bado sijaona mwenye kuvaa viatu vya nyerere ktk serikali hii, hivyo uzalendo haupo
  8. Q

    Vitisho vya Mwigulu vyamng'oa Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya

    hao viongozi naona wako after money zaidi, hata hivyo tunahitaji viongozi wazalendo zaidi wenye kujenga hoja majukaani katika kuwatetea wanyonge
  9. Q

    Ikulu yawajibu walimu, yasema mgomo ni Batili, kesi iko mahakamani

    mimi nawashauri walimu wagome wasitegemee kwamba serikali itawaruhusu kufanya hivyo, gomeni ili heshima ipatikane
  10. Q

    Jenerali Ulimwengu ashangaa

    sehemu kubwa(watu) ya nchi yetu inayohusika na kusaili watawala ni rahisi kudanganyika na watawala wetu huutumia huo mwanya kama mtaji wao badala kuuziba ili tusiendelee kurudi nyuma na badala yake tuende mbele
  11. Q

    Kura ya Maoni: Je, unaiamini Taarifa ya Kova Kuhusiana na Mkenya wa Dr Ulimboka?

    ukweli ni kwamba unaposema uwongo na ukijua kuwa ni uwongo lazima utajulikana tu, nasubiri reaction ya kova towards gwajima, ila sijui kama atajibu maana huwa hawachelewi kusema swala liko mahakamani
Back
Top Bottom