Search results

  1. GIBA KB

    Chinese translator

    Kwa anaetafuta Chinese to English and Swahili translator nitafute .+255659218341
  2. GIBA KB

    Mahafali ya CHASO mkoa wa Kilimanjaro

    Natoka K's Hotel sasa hivi ambako mahafali ya CHASO yalipangwa kufanyika.Nimefika hapo saa 11:30 am hivi na kukuta polisi wamezuia mahafali.Sababu ya kuzuia mahafali hayo ni kwamba YAMEKAA KICHAMA.Tumeongea na RCO amesema hakuna mkutano wa kisiasa,mahafali za kisiasa zitakazofanyika katika eneo...
  3. GIBA KB

    Katiba mpya niitakayo

    KATIBA NIITAKAYO 1. SYSTEM OF ELECTION IBADILIKE hapa Tanzania tumezoa first past the post FPTP ambayo anayeongoza kwa kura anachukua madaraka. kwa mtazamo wangu system hii ya uchaguzi ndiyo inayotufanya tushindwe kupiga kura kwa upande mmoja lakini kwa upande wa pili, inasababisha upotevu wa...
  4. GIBA KB

    Kata na Vituo vya uandikishaji BVR awamu ya kwanza-Arusha

    Nimeamka kwenda kujiandikisha Moshi hapa sioni dalili ya kuwepo uandikishaji.Mwenye ratiba ya Moshi naomba tafadhari
  5. GIBA KB

    BVR yaingia Mkoa wa Kilimanjaro hususani Mwanga kimya kimya

    Wamepita hata huku chuoni,wanaandikisha vitambulisho vya uraia. BVR haiiwezi kuja kimyakimya.
  6. GIBA KB

    Rais wa chuo cha KCMC asimamishwa masomo mwaka mzima akipigania maslahi ya wanafunzi

    Rais wa chuo kikuu cha udaktari cha KCMC Moshi ndugu Telesphory Mula amesimamishwa masomo na uongozi wa chuo icho. Sababu za yeye kusimamishwa masomo ni kupigania maslahi ya wanafunzi hasa wale wa mwaka wa kwanza MD1 ambao waliongezewa ada. Rais aliwaandikia barua wanafunzi hao wa mwaka wa...
  7. GIBA KB

    Rais wa chuo cha KCMC asimamishwa masomo mwaka mzima akipigania maslahi ya wanafunzi

    Rais wa chuo kikuu cha udaktari cha KCMC Moshi ndugu Telesphory Mula amesimamishwa masomo na uongozi wa chuo icho. Sababu za yeye kusimamishwa masomo ni kupigania maslahi ya wanafunzi hasa wale wa mwaka wa kwanza MD1 ambao waliongezewa ada. Rais aliwaandikia barua wanafunzi hao wa mwaka wa...
  8. GIBA KB

    Ndesamburo atangaza kutogembea Ubunge, Kumuunga Mkono Meya

    Jafary jembe namkubali sana huyu Meya.JK mwenyewe anamkubali. Mameya wa Tabora na Dodoma wanakuja kujifunza mazuri yake hapa Moshi.Nitampa kura yangu. Asante Ndesa umefanya mengi mazuri ambayo CCM wameshindwa kufanya kwa muda mrefu.Pumzika kura pensheni yako
  9. GIBA KB

    Shule 8 zafungwa Kagera kwa kukosa Chakula, Vipi vipaumbele vya Wanasiasa wetu?

    Musoma tech,Kilakala,Ifunda girls,Ihungo sec,Kahororo zote zimefungwa kila hakuna chakula. No BIG RESULTS kwa hali hii
  10. GIBA KB

    Mgomo wa Madereva wazimwa na Waziri Kabaka

    Cyberbullying....3 yrs jela😃😃😃
  11. GIBA KB

    Bila Lissu Bungeni tungeburuzwa sana

    Watu wa Singida wanajua uzuri wa Lissu ndio maana CDM imeshinda 99% ya viti vya serikali za vijiji. I need Antipas back in November
  12. GIBA KB

    Bila Lissu Bungeni tungeburuzwa sana

    Dear God,bless our hero Lissu,Mnyika👏👏👏👏👏
  13. GIBA KB

    Watanzania tuache uvivu wa kusoma na kukimbilia kulaumu, Katiba zipo wazi someni

    Nimesoma katiba ya Chadema ibara kwa ibara sijaona ibara inayomzuia mwanachama kwenda mahakamani au kuvuliwa uanachama akienda mahakamani. Naomba msaada zaidi kama kuna ufafanuzi wa vifungu au ibara kuhusu ili.
  14. GIBA KB

    Kamanda Kova: Kufuatia mahojiano na Dr. Slaa kesi mbili zimefunguliwa

    Jeshi la Polsi Kanda Maalum ya Dar es Salaam lipo katika hatua ya mwisho katika kukamilisha ushahidi ili kumfikikisha mahakamani Katibu mkuu wa Chama cha Demokrasia na maendeleo Chadema Dokta Wilbroad Slaa pamoja na makada wa Chama hicho. Akizungumza na waandishi wa Habari mda huu Jijini...
  15. GIBA KB

    Je, wajua? - Special Thread

    Tanzania ni nchi pekee duniani ambapo mtoto anamaliza darasa la saba akiwa hajui kusoma na kuandika.
  16. GIBA KB

    Picha: Mbowe akagua Red brigade Mwanza

    Those glasses are there yes but too expensive.Hata usalama wa taifa hawana
  17. GIBA KB

    Andrew Chenge: Toka Ufisadi hadi Uandishi wa Katiba ya nchi

    Kosome kitabu cha uraia darasa la 4
  18. GIBA KB

    Andrew Chenge: Toka Ufisadi hadi Uandishi wa Katiba ya nchi

    Chenge ambaye anatuhumiwa katika kesi inayohusishwa na uchotwaji wa pesa ya Escrow ndio alikuwa Mwenyekiti wa kamati ya uandishi.Watu kama Sitta walimpongeza sana kwa kazi yake. Kwa akili yangu ya kawaida nadhani katiba ni kitu kitakatifu sana.Ni document ambayo uandishi wake unahitaji umakini...
Back
Top Bottom