Search results

  1. Mwananchi Mtanzania

    Prof. Mwajabu Possi wa UDSM aula TBC

    Well, If you thought I take any sort of alcohol or brew, you r wrong my friend... Perhaps you should attend "being polite" classes. SHAME
  2. Mwananchi Mtanzania

    Prof. Mwajabu Possi wa UDSM aula TBC

    And so what? Kwani ni makosa maprofesa maprofesa kua ndugu? Peleka watoto shule mwana...
  3. Mwananchi Mtanzania

    Prof. Mwajabu Possi wa UDSM aula TBC

    Inaelekea humfahamu Prof. Possi. Kwanza hajawahi kua waziri, pili amekua Prof. Miaka mingi iliyopita, tafuta reccords vizuri. Wakati anateuliwa kua Mkuu wa TSJ na Ben Mkapa, tayari alishakua Prof. Upo?
  4. Mwananchi Mtanzania

    Prof. Mwajabu Possi wa UDSM aula TBC

    Well, if you thought you were very clever, you couldn't, from the start, expose ur stupidity.. SHAME!!
  5. Mwananchi Mtanzania

    Prof. Mwajabu Possi wa UDSM aula TBC

    tutajie basi mtu wako... kwani hiyo TSJ nani aliiunganisha na UDSM? si ilikua kama shule ya msingi, au?
  6. Mwananchi Mtanzania

    Prof. Mwajabu Possi wa UDSM aula TBC

    haya na wewe tuambie umefanya nini ili tusikuita bogus... au tupe mtu unayetaka akae hapo... watanzania maneno meeengiiiii............
  7. Mwananchi Mtanzania

    Prof. Mwajabu Possi wa UDSM aula TBC

    usimuingize mama wawatu katika hicho unachotaka kukianza... Kama wamekutuma wenzio, mwenzako kaona mwanga wa shule, na hayo yakwako wala hajihusishi nayo
  8. Mwananchi Mtanzania

    Prof. Mwajabu Possi wa UDSM aula TBC

    And so what? Kwani pale UD kuna maprofesa wangapi ndugu, tena wapo waliooana... inamaana wasipewe vyeo kama wana qualify?... jitahidi na wewe uwe prof upate cha kwako... utaishia kuhesabu ndugu tu...
  9. Mwananchi Mtanzania

    Prof. Mwajabu Possi wa UDSM aula TBC

    .................
  10. Mwananchi Mtanzania

    Zitto tena kachafua hali ya hewa bungeni

    Jokes ni relative. Inategemea uko wapi, na uko na nani. Wengine wanataka mpaka mtu afunge matambara tumboni, jambo ambalo mini naona ujinga. Mwingine political commedy ya mtu kama Jonathan Mann, haelewi, anaelewa za Mr. Binn. Mwingine comedi kwake ni ya Masanja mkandamizaji... Wakati mwingine...
  11. Mwananchi Mtanzania

    Zitto tena kachafua hali ya hewa bungeni

    Mwenyewe amesha tweet kwamba ni "joke"... basi watu wasitanie hata kwa sekunde..!! Sawa bungeni is a serious place, lakini watu ndio wasicheke? Niambie bunge gani duniani hamna mtu aloyewahi kutoa jokes!
  12. Mwananchi Mtanzania

    Zitto tena kachafua hali ya hewa bungeni

    jamani.... tujaribu bas kujikosoa: katika hali ya siasa za sasa, mbunge mpinzani akisema tu walau maneno mawili tofauti na ya mwenzake, watu wana tafsiri kwamba "kuna kitu". Sasa ili kuweka reccord sawa, asionekane kwamba "amedharau", wakati mwingine ni lazima awe accountable kwa watu.... Mimi...
  13. Mwananchi Mtanzania

    Mbunge,mchungaji LWAKATARE aumbuka bungeni

    The Gospel Ltd: Fire Ministries comes under fire - YouTube
  14. Mwananchi Mtanzania

    Madai ya waislam kuhusu sensa 2012

    Watanzania wenzangu, tujaribu kuishi wa upendo, na tuepukane na tabia ya kujadili mambo kwa hisia. Leo hii tunanyoosheana vidole eti fulani hampendi fulani kwa sababu ni dini fulani. Wengine tunaitana majina kadha wa kadha… hawa washenzi, hawa magaidi nk. Naomba niwakumbushe haya, kama...
  15. Mwananchi Mtanzania

    Madai ya waislam kuhusu sensa 2012

    Watanzania wenzangu, tujaribu kuishi wa upendo, na tuepukane na tabia ya kujadili mambo kwa hisia. Leo hii tunanyoosheana vidole eti fulani hampendi fulani kwa sababu ni dini fulani. Wengine tunaitana majina kadha wa kadha… hawa washenzi, hawa magaidi nk. Naomba niwakumbushe haya, kama...
  16. Mwananchi Mtanzania

    Zitto na Wabunge, Zitto na CHADEMA, Zitto na Urais...

    Jamani.. kuna mambo mengine wakati utakapowadia yataonekana... otherwise mtatumia nguvu nyiiingi kufikiria mambo mengine ambayo wala hayapo.... just wait and see.... kaa, subiri, utapata majibu.... Wakati wa kugombea utafika, kila mtuatatangaza sera yake, kwa chama chake, na hatimaye kwa...
  17. Mwananchi Mtanzania

    Nina ADA, CPA(T) na Masters in Accounting and Finance lakini sina kazi zaidi ya mwaka sasa!

    Kwenye interview una perform vipi? Kwa hiyo GPA mbona unaweza kuwa academician, au hutaki? Kwa hizo qualifications tatizo pia huenda likawa ni aina ya kazi unayoitaka... Kazi nyingi zinazohitaji masters, pia zinahitaji uzoefu kadhaa... kuwa tayari kujishusha... Masters being a specialized...
  18. Mwananchi Mtanzania

    Nina mashaka na uwezo wa Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia

    Eh... jamani, kumbe kukumbuka wabunge nao... au kusoma bila ulimi kuteleza (as if majina yote ni rahisi kusoma kwa kila mtu) ni vigezo vya uwaziri... na sisi watanzania at times tumezidi too much complaints... ka!!
Back
Top Bottom