Dah, nilikaa nje ya Jamii Forums na Jukwaa la Teknolojia kwa muda, nimemiss mengi sana. Jamii Forums imeendelea kuwa sehemu ya kujifunza na kuelimisha vilevile kama nilivyoiacha, naweza sema imeendelea kuimarikazaidi na zaidi.
Kilongwe amepata hamasa sasa kurejea na kushirikiana na wadau kwenye...
Dudumizi Technologies LTD, IT company based in Mbezi Beach Dar es Salaam,We deal with IT Services and Webs Solutions. We are looking for competent web & mobile developers to join our Dudumizi team full-time. If you love developing /design cutting-edge software for the web and mobile and are...
DUDUMIZI TECHNOLOGIES LTD, Leading Website design and Development Company in Tanzania is organizing 6 days Workshop to equip participants with the skills, knowledge and techniques of designing, developing and maintaining good websites / blog by using Open source Content Management System called...
Job Vacancy : Graphic Designer
Company : Dudumizi Technologies LTD
Location : Dar Es Salaam
Position Type : Full Time
Organization Type : Company
Website : Dudumizi ? Website Design & Hosting Company In Tanzania
In order to accomplish #Dudumizivision2015, Dudumizi is looking for a experienced...
Katika kuhakikisha tunapata muda wa kuwa pamoja na wana Dudumizi, timu nzima ya Dudumizi Technologies LTD inatarajia kuandaa siku ya Dudumizi, yaani Dudumizi Day. Siku hii itakuwa ni wakati pekee wa wana Dudumizi kujuana na jamii, pia wanajamii kujua kazi mbalimbali zinazofanywa na Dudumizi...
As we are going to expand our operations to match Dudumizi Vision 2015 , We are looking for competent web & mobile developers to join our Dudumizi team full-time in Dar es salaam. If you love developing cutting-edge software for the web and mobile and are passionate about the latest web...
As we are expanding our operations , We are looking for two web & mobile developers to join our Dudumizi team full-time in Dar es salaam, Tanzania. A highly skilled team with flat hierarchies, a creative environment and a lot of fun makes Dudumizi a great place to work at. If you love developing...
Mitandao jamii imekuwa moja ya nyenzo imara kabisa ya kujitangaza na kuwafikia walengwa wengi kwa uharaka na mapana zaidi kwa njia ya mtandao. Jiulize swali dogo tuu, je kwa siku za karibuni umekuwa ukitumia njia gani kufahamu juu ya bidhaa au huduma fulani.
Je kwa kutumia tangazo la kwenye TV...
The primary role of the business admin is to control and organise the activities of a business. Other responsibilities include closing deals for the business and services, and dealing with public relations and after-sales care. The business administrator also needs to be familiar with the...
Wanajamii, ni mategemeo yangu munaendelea vyema, tupo kwenye mchakato wa kukamilisha ufunguzi wa ofisi zetu za branch ya dar, hivyo tunahitaji vijana wenye nguvu, ari, moyo na uwezo wa kazi, na siyo longolongo.
Ingawa nimeshatuma tangazo kwenye jukwaa la la kazi, ila nimeona umuhimu wa kutuma...
We are looking for a talented web developers and designers to join our Dudumizi team full-time in Dar es salaam, Tanzania. A highly skilled team with flat hierarchies, a creative environment and a lot of fun makes Dudumizi a great place to work at. If you love developing cutting-edge software...
[FONT=Arial]
[COLOR=#ff0000]NB: Mods naomba ufute ile makala nyingine kwani nimehustle mno kuedit bila mafanikio.
Je umeshawahi kufikiria ni jinsi gani watu wananyohangaika kufika mtaani kwenu kama huo mtaa jina lake halieleweki au kukumbukika kirahisi? Chukulia mtaa wenu unaitwa "Kwa mporomosha...
Shukrani kwa kuweka mambo sawa kaka, niliogopa kama utaanza kuchanganua jinsi gani Website inavyotumia IP ya Sehemu inayoishi (Server au kompyuta ya kawaida) ingekuwa ni somo lingine so nikaishia kuwa kila website lazima iwe na IP inayotambulisha. Lakini ni vyema ulivyorahisisha na hii ndiyo...
Tangu kuanza kuchanganya kwa maendeleo ya Teknolojia Tanzania, tumeona makampuni mengi yakizaliwa siku hadi siku, kila moja likiwa na lundo la huduma wanazotoa kwa wateja wao. Iwe kwa yale ya simu, yale ya kibenki, yale ya kutengeneza programu na hata yale ya kuuza majina ya website (Domain...
Siku hizi, katika kila watu kumi wanaotumia mtandao, basi angalau watano kati ya hao wanatumia mitandao jamii. Kuna baadhi ya watu wamegeuza mitandao hii kuwa kama ni sehemu ya mawasiliano, ama ya mtu kwa mtu au ya kibiashara. Siku hizi, si kitu cha kushangaza kusikia mtu maarufu au kiongozi...
Kuna usemi wa kiswahili unaosema, "mali bila daftari, hupotea bila habari". Maana ya msemo huu sio kwamba kwenye daftari ndio utahifadhi mali zako, la hasha, bali kwa kuwa na mipango na kumbukumbu za matumizi ya mali zako kwa maandishi, basi utaweza kufuatilia mwenendo wake. Hili ni sawa na...
Wakubwa, lengo kubwa ya website / community hii ya Wazumbe wote ini kuongeza ushirikiano kati yetu pia kujadiliana jinsi ya kuchangia / kuiendeleze Shule yetu. (Mzumbe Secondary School). Kama inavyojulikana, Wazumbe wengi wametawanyika duniani kote, hii ni faida mojawapo, lakini pia ni moja ya...
Makosa 5 wanayoyafanya wamiliki wa Website na jinsi ya kuyaepuka
Katika dunia ya leo, kuwa na website ya kampuni au biashara si kitu cha anasa na pia si kitu cha hiyari bali ni cha lazima kwa kila mfanya biashara makini.
Maendeleo ya tehama yamefanya bei na gharama za kutengeneza na kumili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.