Kubaini matumizi yasiyo sahihi si ndo jukumu la Tanzania Auditing Corporation? Ni kweli kutumia pesa kwa shughuli tofauti na ilokusudiwa awali ni rushwa? Kama ndivyo tusemeje kwa miradi mingi ya serikali ilotekelezwa bila kutengewa fedha kwenye bajeti?
Huo ndo ukweli mengine ubishi tu. Wamachinga ni jamii ya watu wa Mtwara waloboresha biashara za mikononi. Kuwaita 'Matching Guys' ni utani uloibuniwa na waloivamia fani ya Wamachinga
Naamini tatizo haswa ni uandishi unaofuatia matamshi potofu. Pale lafudhi inapopelekea 'L' na 'R' kutamkwa visivyo na hatimaye maandishi kufuata mkondo.
Ila bado maboresho katika lugha huzaa misamiati na hili la 'ga' kumaanisha tabia ya kitenzi ni mfano.
Kadhalika maneno kufupishwa na...
Madudu ya Mungai, mteule wa Mkapa yaliathiri sana mfumo wa elimu. Bahati mbaya zaidi hata kuuzwa NBC na almanusra hata NMB ingeenda kama hayati baba wa taifa hakusimama kidete. Mikataba ya hovuo ya madini yalianza naye na picha zake akipokea koleo na baadaye pande kubwa la dhahabu alivyozawadiwa...
Vifungu vyote alivyotaja sijaona kilichompa madaraka ya kuongeza au kupunguza yaliyowasilishwa kwake kama draft bila ridhaa ya alotia sahihi. Angekuwa na mamlaka nayo ingekuwa lazima pia aweke sahihi yake kudhihirisha kujiridhisha kwake. Nahisi upotoshaji wa wazi.
"Kashushwa Hapa anasema ni mwanafunzi wa mlimani na alitekwa jana" na bado labda ni huyo? Hajijui jina? Nauli ya Tax porini na kweli ikapatikana kwa bei ileile? Ukampa nauli na ukaishia kwa mguu huko porini au?
Wamchao Bwana na waseme "BWANA UNIHIFADHI MIMI, NAKUKIMBILIA, NAAM. UNIHIFADHI MIMI KWA MAANA NAKUKIMBILIA WEWE. ADUI ZANGU WASIFURAHI KWA KUNISHINDA" Na tuamini kwamba wamchao Bwana hawataaibika milele
Kama nyaraka hizi ziliwezaandaliwa na kufanyiwa uhakiki ofisi za bunge na kuupokelewa rasmi BOT tareh hiyo hiyo 20/9/17 saa tano asb najiuliza ifanisi huo ulikwamishwa na nini tangu pesa zilipochangishwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.