Search results

  1. S

    Mugabe balaa

    Afadhali yako wamekuona mwehu!mm nimecheka hadi nikapaliwa!
  2. S

    Mugabe balaa

    Umetisha jembe langu!mugabe 4life!
  3. S

    Hii ni zaidi ya special school mchango wake ni mkubwa kwa taifa.

    mimi nasoma muhas first year, yes specials ni zaidi ya nusu, mkuu kuna peoples zina challenge kupita watu wa special school japo special wametawala!natukifika huku tunauvua uspecial na u T.O wote tunakuwa sawa!unaweza ukaushabikia uspecial halafu ukadisco! H/work mtafute japhet john akuelezee...
  4. S

    A very simple quiz!!!

    uko njema kaka! katusaidie kupunguza 'F' za hesabu!
  5. S

    Familia Yako Ina Matatizo?

    dah! broo nimecheka hadi nimelia! you have comlited my day!
  6. S

    Tambua hili leo!!!!

    akili za rais wa jamhuri ya muungano wa visiwa vya zimbabwe na tanzania, nisawa na za 'young mosquito'. wazungu wakimpigia makafi anaona raha, kumbe wanamuua silently!
  7. S

    Bangi noooma!

    mmh, baba bora cha malawi, angekumbuka hata kulichuma, kitu cha kyuba hicho!
  8. S

    Ni ujinga

    umetisha!
  9. S

    Nimekuja kuwashika mwaka huu.lazima ukalazwe muhimbili kwa kuvunja mbavu

    mbona unacheka 'kihindi'? wabongo tunacheka hivi 'ha ha ha'
  10. S

    Hii ndio (CV) Wasifu ya Nape Moses Nnauye

    usihofu kaka, labda alikuwa anasoma tution!
  11. S

    Hii ndio (CV) Wasifu ya Nape Moses Nnauye

    aah! mbona kwa wana sisiem amekimbiza, maana mwenyesofa mwenyewe elimu yake .... wazungu wamemtunuku udaktari kwa juhudi zake za kugawa madini na kushinda juu kama mwewe au kama mwanafunzi wa urubani!
  12. S

    Picha: Aibu jimboni kwa Ole Medeye

    ngoja ni mchane live huyu jamaa; nikiwa advance ilboru high school, mkuu wa shule hiyo ambaye kwa sasa amefukuzwa, alitulazimisha twende kwenye mkutano wa medey! kwenye mkutano alituahidi kununua coster ya shule na kuanzisha kilimo cha ndizi kwa gharama zake , akawaambia mabroo zetu waliokuwa...
  13. S

    Dkt Kawambwa: Serikali isilaumiwe matokeo mabaya Kidato cha Nne, adai hang'oki ng'oo!

    mimi nadahani jina lake linasadifu anayoyafanya. huyu waziri 'KA WAMBWA', ndo maana wanafunzi nao wanazidi 'KUWAMBWA'.
  14. S

    Elimu ya Nape Nnauye

    nimependa hilo jina la 'NEPI' kweli huyo jamaa hana tofauti na NEPI 'anananuka ujinga aliomezeshwa na 'waoem'.
  15. S

    Elimu ya Nape Nnauye

    mjomba nape bora ukapime IQ. huenda IQ yako ni chini ya 70! ni hatari sana mjomba. bado kidogo utaanza kutokwa udenda maana kila siku unazidi kuwa..... pamoja wana 'nyinyiem' wenzako.
  16. S

    SMS hizi! Ungefanyaje?

    huyo dogo anajua namba. tcha ndo boya.
  17. S

    Mke wangu muuza vtumbua!!!

    hata mbuyu ulianza kama mchicha, huenda akafungua kiwanda cha vitumbua!
  18. S

    Mtoto.

    mtoto kamrithi mshua!
Back
Top Bottom