Search results

  1. R

    Elimu yangu inanitesa!

    subiri, utaratibu.
  2. R

    wenye diploma ya MEDICAL tuwaitaje au nao ni MADOKTA??????

    Sikilizeni nyie, acheni kudharau elimu za watu.hawa wote kwa ujumla wao wanaitwa madaktari, kuwa daktari sio lazima uwe na degree. hivi nyie mnafikiri Diploma ni ndogo.Mbona walimu wote wanajina moja, awe anacertificate ni mwalimu, Diploma ni Mwalimu, Degree moja ni mwalimu, Degree mbili bado...
  3. R

    Hali tete kwa CHADEMA kuelekea uchaguzi mkuu mwaka 2015

    Inaonekana Ritz pandikizi la ccm. unataka kutuaminisha kwamba ccm sasa safi, umenoa. mafisadi yote ya nchi hii yamejificha ccm, wakwepa kodi wote wapo ccm.
  4. R

    Hali tete kwa CHADEMA kuelekea uchaguzi mkuu mwaka 2015

    Kinana si lolote si chochote, kwa ujumla wananchi tumechoka na ccm, tunataka chama kingine kitawale nao tuwaone. si semi kwamba Chadema ndio watawale, na seme chama kingine kiingie madarakani kwani hata chadema nao sio wasafi sanaaaaaa, zito alikuwa kwenye kamati tanesco kafanya madudu tu na...
  5. R

    RPC wa Mwanza ACP Liberatus Barlow auawa na wanaodaiwa ni majambazi!

    Ni tukio baya sana, imeniuma sana kwa kamanda wa mkoa kuuawa kwa risasi tena eti na majambazi.sasa tukio hili linaweza likawa limesababishwa na vitu vifuatavyo:- 1. mapenzi 2.kazi/ulinzi na usalama 3.siasa kwa sababu zozote zile ni tukio la kulaaniwa sana. polisi fanya kazi yenu tuwajue wauaji.
  6. R

    Mambo 6 Kiboko ya Usaliti katika Ndoa/Mapenzi.

    Uwazi , uaminifu, kujaliana na style ndio mapenzi hasaaaa.
  7. R

    Ushuhuda: Madhara mbalimbali ya Vidonge vya Uzazi Wa Mpango

    Yanamadhara sana, tulitumia vijiti lkn du, vidamu damu havikomi almost wiki 2 hadi 3, tukaachana navyo, mpango ni kalenda tu.
  8. R

    CV ya Anne Makinda na utitiri wa madaraka na Advance Diploma tutasalimika kweli???

    If today 2012 adv Diploma is termed as equivalent to bachelor degree how about those days 1976? it was like PHD.Amejitahidi sana mama kuwa na Cv ya namna hiyo sio sawa na ya Sugu.
  9. R

    Maswali kwa Dr. Asha-Rose Migiro!

    Hawezi kuwa Rais huyo, kwani kikubwa amefanya nn huko UN. sioni alichofanya ni kama zamani tu. atafute chuo akafundishe political science.
  10. R

    Pamba imetangaza bei ni 650/= kwa Kilo Wabunge waliosema bila Buku hakuna pamba watajiuzulu?

    Tatizo la wabunge wanatafuta umaarufu wa wapiga kura, Hivi mtu km cheyo ambaye inaaminika ni msomi wa kirusi( textile Technologist) kama anavyojiita iweje autangazie umma kuwa no buku no cotton hali anajua kabisa soko la kimataifa limeanguka. Huu ni upuuzi mtupu, tunawadanganya wananchi kwa...
  11. R

    Nani anafaa kuwa rais wa Tanzania 2015?

    Hakuna rais toka ccm 2015, hilo utambue tunataka mabadiliko. Kama huna hoja kaa kimya.
  12. R

    VIDEO: Dr. Ulimboka; kwa kinywa chake mwenyewe! | Ambayo hukuyajua...

    kwa mtu mwenye akili timamu akisikiliza maneno ya Dkt moja kwa moja bila ubishi utaona jinsi Dola inavyohusika.<BR> <BR><BR>
  13. R

    Mwigulu Nchemba mbona yupo kimya bungeni siku hizi?

    Mwigulu anajipanga kujibu tuhuma za EPA, anakusanya nondo, CHADEMA kuweni makini Mwigulu ni hatari.Ngoja niwaambie sifa moja ya wanyiramba, ni wabishi wa kuzaliwa na waliosoma ni welevu sana, yaani chadema hapo mmefika na amekabidhiwa mikopa na CCM kuhakikisha anawachanganya.Hongera mwigulu kwa...
  14. R

    Hongera Tundu Lissu: Hoja ya kurudisha Tanganyika!

    Taratibu jamani muungano usije ukatutoa roho, Mhe. lissu taratibu mtani roho za watanzania na damu zao zitakulilia.
  15. R

    CV ya Freeman Mbowe hii hapa

    Cv, Cv kiyu gani bwana, ni wangapi wanaitwa prof, Dkt lakini hawatusaidii wananchi, wanajaza matumbo yao tu. Tunataka watu wenye uchungu na nchi hii, ambao wenye uwezo mkubwa wa kufikiri na kutatua matatizo kama kina mbowe na Dr magufuli. Waliosoma sanaaaa ndio wanaokula sanaaaa, we do not need...
  16. R

    Mgomo wa walimu kuanza july 07,2012.

    Sidhani kama wanaubavu km madaktari, Labda wangewahusisha walimu wa vyuo vikuu wangefanikiwa.Ugumu wa maisha walionao walimu vijijini na sehemu zingine ni kikwazo cha mgomo wao, wale wote wanaotarajia kustafu kutokana na umri hawapo tayari kugoma hilo walijue, Kuna ongezeko kubwa la wahitimu wa...
  17. R

    Nimempa ujauzito mwanamke nisiyempenda!

    Peleka message kwenye magazeti ya udaku utajibiwa, hapa si mahala pake.
  18. R

    Hivi kuitwa Engineer ni lazima usome UDSM? Nendeni ERB ( Bodi ya wahandisi) utaujua ukweli

    No, unapotoka. Kama UDSM na wale wa Cambridge je? Compare.
  19. R

    Hivi kuitwa Engineer ni lazima usome UDSM? Nendeni ERB ( Bodi ya wahandisi) utaujua ukweli

    Huyu mama Cv yake naikubali, haya aliyoyasema bungeni kuhusu Dkt UL ni siasa tu wala sio ufinyu wa elimu.ADE na PGD ni elimu za juu na zinazotambulika. Unaweza ukawa mhandisi bila kupitia UDSM(COET), kuna vyuo kama DIT, MIST na vingine vinavyotoa elimu ya kihandisi. Ukienda pale Bodi ya...
  20. R

    Hivi kuitwa Engineer ni lazima usome UDSM? Nendeni ERB ( Bodi ya wahandisi) utaujua ukweli

    Ukweli kuhusu Eng stella manyanya
Back
Top Bottom