Search results

  1. Zeyana Hillal

    Hashim Mbita alivyoleta uhuru wa Sao Tome and Principe

    Aamin... Asante kwa taarifa hii iliyoleta fahari ya Tanzania kutoka kwa mzalendo wa kweli.
  2. Zeyana Hillal

    Kafara ni nini?

    Hapo tayari jibu liko wazi, kwani ajali nyingi zinamwaga damu za watu na kuua.
  3. Zeyana Hillal

    Nafuatwa nigombee urais, asema Dk Mahiga

    Uchaguzi wa mwaka huu kila mtu anafutwa, ndiyo utaratibu wenyewe huu!!!??? Sifa za kufuatwa mnazo na za kutuongonza mnazo?
  4. Zeyana Hillal

    Tumuombee Madame B, Mungu amjaalie afya njema

    Mtambuzi asante sana kwa taarifa, vipi leo anaendeleaje? kama umefanya mawasiliano.
  5. Zeyana Hillal

    TAHADHARI: Kuna matapeli! Fuata taratibu hizi...

    Asante Mkulu. Mimi nafikiri ban pekee haitoshi kwani aweza kuingia kwa ID nyingine jambo la msingi ni watu kuwa makini.
  6. Zeyana Hillal

    Rais ni rais tu hata kama ni dhaifu

    Nadhani inawabidi hata madkt nao wakajitokeza ktk media ili kufunua upande wa pili wa shilingi umma ukajua kwani walio wengi wanachojua kupitia pilisi na serikali ni maslahi tu ndio yanayowafanya wagome ili hali wana madai mengi na ya msingi kabisa.
  7. Zeyana Hillal

    Bungeni: Mwigulu Nchemba achafua hali ya hewa!

    Pole sana naona hapo ndo mwisho wa uelewa wako, wananchi hatuhitaji mipasho ya kitoto bungeni tunataraji kusikia kile ambacho wawakilishi wetu tumewatuma. Hajishughulishi kutafuta hoja zenye mashiko hayo ndo matunda.
  8. Zeyana Hillal

    Taarifa ya Afisa Uhusiano wa hospitali ya Muhimbili 03/07/2012

    tuna matatizo ya kusema sana bila uwajibikaji kitu ambacho kinatugharimu sana kwa sasa.
Back
Top Bottom