Search results

  1. version001

    Kwa hali ya hewa jijini simba anashinda mechi ya kesho tarehe 20.4.2024

    ""Siku ya 6 sasa jua halijawaka Dar, Kuna timu jua likikosekana huwa inafungwa mara nyingi...na Kuna timu mvua lazima zinyeshe ili ishinde... Tujiandae kwa hilo.."" Alisikika mzee mmoja akiyasema hayo.
  2. version001

    Huu ni ujanja au ushamba?

    Plot hole kwenye script.. 1..dada anaonekana anatumia smartphone so obviously restaurant wangechukua smartphone zao badala ya kuwapeleka polisi na kutumia gharama zaidi, wakileta pesa kesi imeisha. So muandaaji hapo angeweka kisimu cha buku 12 siyo hiyo.. But all in all, jamaa is the legend.
  3. version001

    Huyu Mwanamke tangu alipokuja kwangu kang'ang'ania kukaa hataki kuondoka

    Hats off...Akili ya kimafia kweli hii
  4. version001

    Fanya hivi usipofanikiwa niite mbwa nimekaa pale

    Sadaka, msaada na fungu la kumi zote kitu kimoja.. Peleka kwa wenye kuhitaji kweli..
  5. version001

    Ndugu zangu, wala hakuna uzuri kwenye jambo hili

    Bahati mbaya leo tumeamka na mvua na tunamaliza na mvua, Tukio linapita bila kuona chochote
  6. version001

    Nahisi nina gundu maana sipati mpenzi

    Yani wewe unaepushwa na matatizo lakini bado unaona unagundu na kuyalazimisha kabisa.
  7. version001

    Hivi huku Mbweni wanaishi Watanzania? Haya majengo sio poa

    Hongera mkuu kama umeweza kuishi hiyo mitaa, hapo huwa tunapita tu tena spidi kubwa
  8. version001

    Hivi huku Mbweni wanaishi Watanzania? Haya majengo sio poa

    Anaishi mama huko kuwa makini, team top yote ya sasa na uongozi ule wa kabla ya jiwe location yao hiyo, bila kusahau wazee wa miwani rangi nyeusi wapo kama wote hapo..
  9. version001

    FT: Mamelodi Sundowns 0-0 Yanga SC | CAF CL Quarter Final | Leg 2 | Loftus Versfeld Stadium | 05/04/2024 (Penat 3-2)

    Wananchi hapa ilibidi show iwe imeisha...hongera kwa refa wa sundowns
  10. version001

    Wadada wenye tabia hizi nawachulia kama Sociopaths

    Kama tabia ndiyo hizo basi wote ni machizi
  11. version001

    Hivi Posta wanajenga nini?

    Utakuwa mzigo wa mwendokasi mpaka tegeta huo
  12. version001

    Unamtafsiri vipi mwanamke mwenye tabia hii?

    Hao ndiyo wale ukioa zako zake, zake zake Tabia ya kwenye level za 20,000 tsh sijui mkifika kwenye level za millions itakuaje. Dalili ya mvua mawingu mengine jiongeze.
  13. version001

    Vifurushi vya DStv kupanda bei kuanzia April Mosi mwaka huu 2024

    Nimependa "mchele wa virutubisho" Way forward tunafanyaje kupata?..
Back
Top Bottom