Search results

  1. E

    Tetesi: Pitso Masomane kocha mteule SIMBA FC kuanzia leo saa moja kamili

    Kama makolo mmefanikiwa kumsajili kocha huyo hapo juu basi mtakuwa mmetisha, ngoja tusubiri hiyo saa moja tusikie hiyo habali kuu. Pitso Masomane ni kocha wa hadhi ya juu kabisa hapa Africa na atapaisha sana hadhi ya Simba SC
  2. E

    Simbachawene fuata yako ya jimbo la Kibakwe ya kwetu Mpwapwa tuachie tutamaliza wenyewe

    Umekuwa mstali wa mbele ukimpigia chapuo kijana Mkemwa ambaye ni wakwenu huko jimboni Kibakwe ili eti awe Mbunge wa Mpwapwa kwa sababu huyu aliyopo ameshindwa kabisa ku-crick. Huoni kamaa hututendei haki na unatuingiza chakaa kwa makusudi kabisa? Pili huoni kama waziri unapen yeza agenda zako...
  3. E

    Matukio ya nyuma yaliyopokelewa na kuungwa mkono kwa mihemuko na baadae kushindwa kuleta matokeo chanya na hatimae kutupwa

    Ninaanze na: SIASA ZA UJAMAA NA KUJITEGEMEA; Kwa kifupi siasa hizi za ujamaa ndo nchi ilianza nazo,siasa zilisema njia kuu za uchumi ziwe mikononi mwa umma, biashara zilifanywe na serikali mfano usafirishaji KAUDO ,KAUMA, SHIRECU ,TACOSHIL na ATC etc, mashirika ya biashara mfano National...
  4. E

    CDF mteule Jenerali Mkunda ni Mkagulu toka Wilaya ya Gairo

    Ndugu zake wengi wako wilaya ya Mpwapwa maeneo ya kijiji cha Bumila pia wako kitongoji cha Ng`ambo mjini Mpwapwa. Amefanana kabisa na Mkunda yule aliyekuwa amemuoa Dr. Mkunda yule alikuwa daktari wa meno hospitali ya wilaya Mpwapwa na Dodoma (wote wawili ni marehemu kwa sasa). CDF huyu ni...
  5. E

    Shida ya Yanga ni no 9 na 10 siyo beki

    Huyu ni beki wa AS VITA eti kasajiliwa na Yanga. Shida kuu kwa timu ya yanga sasa hivi ni safu ya ushambuliaji ndiyo ipo butu, anatakiwa kusajiliwa straiker mwenye uwezo wa kupiga miguu yote na vichwa na pia mwenye uwezo wa kupiga faulo (freekick) na kufunga,Sarpong hana kabisa uwezo huo na...
  6. E

    Viongozi hawa walikuwa wanamtumikia Rais badala ya wananchi

    Eti watendaji wengine wakawa wanamtumia tu Rais badala ya wananchi wakawa wanapita huku na kule kuita waandishi wa habari wenye camera ili tu mradi Rais awaone wanafanya kazi bila kujali utendaji wao saa ingine ulikuwa unawaumiza wananchi kweli kweli, Sehemi ingine wananchi wamebaki maskini kisa...
  7. E

    Tigo pesa imerudisha menu tu mazinguzi bado pale pale

    Tigo pesa wamerudisha menu ingalao unaziona lakini ukifuata maelekezo hadi kwenye kutumia pesa inazingua eti uulize huduma kwa wateja. Tigo pesa ilivyonifanya vibaya sina hamu
  8. E

    Mjomba tununue ndege, mjomba tununue meli

    Mh. Tundu Lissu kwi,kwi, kwi kwi ,kwi, kwi. Mabadiliko ni lazima hata Ombeni Sefue alibadilishwa fasta; Vyeo sasa vinaanza kusambaa nchi nzima, kanda ya ziwa hehehehe, huhuhu.
  9. E

    Siasa za chuki zinazikwa rasmi wafuatao wajiongeze la sivyo basi la maridhiano litawaacha

    1. Heri James 2. Ole SABAYA 3. Jery Muro 4. Ali Hapi 5. Chalamila mkuu wa mkoa wa Mbeya 6. Cipirian Msiba 7. Makonda 8. Mbunge Msukuma 9Spika NDUGAI Enzi za jiwe hawa jamaa walikuwa na siasa za chuki kweli
  10. E

    VPL mechi ya Biashara mara na Coastal union mbona haianzi?

    Hiyo mechi tajwa hapo juu mbona haijaanza mpaka sasa kulikoni? Nina maneno nayo hebu mnijuze kama imeahirishwa na kwa sababu gani.
  11. E

    Haya mambo ya hatujapokea taarifa au hatujatangaziwa hata Mwalimu Nyerere aliyakataa

    Hivi karibuni kumekuwa na matamko mfano hatujapewa taarifa kwamba kwenda kuhiji ni lazima mahujaji wawe wamechanjwa chanjo ya Corona AU hatujapewa taarifa toka Kenya kwamba mahindi toka Tanzania yamezuiliwa kuingia Kenya n.k. Hizi kauli hata mzee Nyerere aliwahi kuzikataa eti hatujatangaziwa...
  12. E

    Nchi karibu zote duniani sasa zinapigana kumbo kuagiza chanjo dhidi ya ugonjwa wa Corona

    Naam sasa nchi zimeamuka, nchi mbali mbali duniani zinapeleka oda zao kupata chanjo ya CORONA. teyari jirani zetu Kenya chanjo hiyo imetua nchini mwao kwa GULF air majuzi. Nchi zingine zimeenda mbali zaidi hazitoruhusu wageni kuingia nchini mwao pasi na kupata chanjo hiyo ya Corona Pia shirika...
  13. E

    #COVID19 Nchi zote duniani sasa zinapigana kumbo kuagiza chanjo ya Corona

    Naam sasa nchi zimeamuka, nchi mbali mbali duniani zinapeleka oda zao kupata chanjo ya CORONA. Tayari jirani zetu Kenya chanjo hiyo imetua. Nchi zingine zimeenda mbali zaidi hazitoruhusu wageni kuingia nchini mwao pasi na kupata chanjo hiyo ya Corona mfano Saudi Arabia, Imetangaza wazi kabisa...
  14. E

    Edgar Mahokola Majogo yuko wapi?

    Mbunge wa Nachingwea CCM Waziri wa ulinzi serikali awamu ya Rais Mkapa Anamilki silaha AK 47 Ana mashamba ya korosho kama dunia yuko wapi?
  15. E

    AFCON Under20: Ngorongoro Heroes yaanza vibaya michuano kwa kukubali kichapo 4-0 Ghana. Mechi ijayo kuivaa Gambia

    Mpaka dakika ya 33 Ghana wanaongoza kwa bao 2 kwa bila - dakika 33 Ghana 2 Tanzania 0, Mashindano yanafanyika Madagasar. === BAADA ya Timu ya Taifa chini ya miaka 20 (Ngorongoro Heroes) ya Tanzania, kuanza hovyo mechi ya kwanza dhidi ya Ghana katika michuano ya Afcon 2021 inayoendelea nchini...
  16. E

    Mbunge wa Mpwapwa angalia wenzio wanachanja mbuga wewe unasali tu

    Mbunge wa Jimbo wa Jimbo la Mlimba, Godwin Kunambi amemaliza changamoto ya Umeme, Maji na Choo katika Soko la Chita jimboni humo baada ya kutoa Sh Milioni 1.5. Mbunge wetu wa Mpwapwa unaona wabunge wenzako wanavyosonga mbele serikali itawafuata nyuma wewe umebaki kuitisha misa tu badala ya...
  17. E

    Buriani Rosemary Kambarage Nyerere

    Kwa wale tulioingia Chuo Kikuu cha Dar-es –Salaam faculty of Medicine enzi hizo intake ya mwaka 1982 tutamkumbuka ndugu yetu huyu mcheshi sana Rosemery Nyerere. Miaka hiyo intake moja ilikuwa inachukua wadahiliwa 50 na majina yote tulikuwa tunayakuta kwenye gazeti la Daily News, gazeti la...
  18. E

    Natamani Wakuu wote wa Mikoa waige mfano Abdallah Kunenge na Anna Mghwira

    Napenda wakuu wote wa mikoa 25 waige mfano wa wakuu wa mkoa Abdallah Kunenge na Anna Mghwira, hakika wakuu hawa wa mkoa wameonyesha jinsi mtu ambae ameelimika anavyotakiwa awe. Abdallah Kunenge ni mkuu wa mkoa wa Dar, wakati Bibi Anna Mghwira ni mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro. Mkuu wa mkoa ni...
  19. E

    Hakuna wa kumfikia Adson Arantes Dos`Nacimento (Pele)

    Mods tafadhali msiunganishe uzi huu na mwingine wa kuhusu PELE` Jamani hamna wa kulinganishwa na Pele` wa Brazil. Hamna wa kumfikia Adson Arantes Dos`Nacimento(PELE). Pele wa Brazil ndiyo mchezaji wa mpira wa miguu wa hali ya juu zaidi kuwahi kutokea duniani mpaka sasa, mimi hapa mwenye uzi...
  20. E

    Unawakumbuka hawa: Brown Ngwilulupi,Bob Makani na Edwin Mtei?

    Hawa wazee ndo waanzilishi wa chama cha CHADEMA. Mzee Ngwilulupi alikuwa mnyakyusa,Makani Msukuma na Mtei Mchagga. CHADEMA ya hawa wazee ilikuwa na mwonekano wa kitaifa, chini ya Rais Mkapa aliyekuwa anajua nini maana ya kutawala nchi chini ya mfumo wa vyama vingi. CHADEMA hiyo chini ya hao...
Back
Top Bottom