Hiyo ndoto ya kwanza tafsiri yake ni kuna hatua Moja kubwa sana utaipiga hivi karibuni either kwenye ajira yako au kifamilia.
Hiyo ndoto ya pili tafsiri yake ni kuna deni kubwa katika maisha yako bado hujalimaliza, hivyo kaa chini ujiulize ni jambo gani ambalo inatakiwa ulitimize
Hapo kwenye kutaka umoja ndio kwenyewe kabisa kuna dingi yangu mmoja maisha yake yote alijitenga na watu sasa amezeeka ndio anataka umoja eti watu tupendane...
Tulianza na aloe vera,mafuta ya ubuyu, mayai ya kwale, almond,mbegu za maboga,mkojo wa sungura,kilimo cha nyoka, Tikiti elfu 1 kwa eka, ufugaji wa mende na sasa tumefika kwenye Kilimo cha Dragon
Job kweli kweli.
Huyo Mke bado hajatoka kwenye himaya ya familia yao, na inawezekana wewe kwa aina ya matusi na kejeri unazompa ndio zinazomfanya aone bado hajaingia kwenye himaya ya familia yenu, hivyo anatafuta relief kutoka familia yao. mfanye aone nyinyi ni familia moja na mambo yenu yaishie kwenye kuta za...
Wali maharage haujawai kuniangusha hata siku moja,tena ukipikwa siku hiyo lazima niwahi kurudi nyumbani mapema kabisa saa moja tu usiku nimeshatia timu na wife anavyonijualia lazima ataniwekea ukoko na matandu kwa mbaliiii...
Kiongozi Mungu azidi kukupa uhai ili tuendelee kufaidi historia unayotupatia
Naomba ufafanuzi kidogo hapo unaposema Shirati mkoa wa Musoma nachojua Mimi ni Mkoa wa Mara tena sasa ivi ni wilaya ya Rorya.... imenishangaza sana kusikia una viasili vya Wilaya ya Rorya nyumbani kwetu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.