Search results

  1. Hayajamani

    Watu 14 wa Kundi la Taifa jipya, wakamatwa na jeshi la polisi

    Jamani tupange uzazi...tuzae watoto walau tunaoweza kuwapa shule na mahitaji ya msingi..mitaani watoto kibao tunafyatua tu bila kujali uwezo wetu.....mstakabali wa watoto hao nk.....tunasema eti kila mtoto kapangiwa na Mola......
  2. Hayajamani

    Alichokisema mfanyabiashara Donald Trump juu ya waafrika ni matusi

    Approach sio nzuri, ila yote aliyoyataja ni ukweli
  3. Hayajamani

    CCM ingemsimamisha Lowassa ingeanguka vibaya

    haiwezekani ukashinda kwa wizi alafu eti ushughulikie ufisadi
  4. Hayajamani

    Marekani yalaani kufutwa kwa matokeo Zanzibar

    Ngoja tupate viongozi waliongia kwa wizi wa kura alafu wadai eti wanashughulikia ufisadi!
  5. Hayajamani

    Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

    kama hayo ni mafuriko sijui ya EL tusemeje! Naona ccm waandae exit strategies maana safari hii hawaponi
  6. Hayajamani

    Magufuli: Kuna njama za kumuangusha Nape

    Siasa za kitoto sana CCM kwa heri, wanasera nyepesi na mambo kuona watu wote ni wajinga. CCM hoi taabani
  7. Hayajamani

    Elections 2015 Kinana aanza ziara ktk Majimbo 64. Magufuli aunda kikosi kazi... Mkapa, Kikwete nao wajipanga!

    Huko ni kuchanganyikiwa, kuunda kabla ya matokeo! Naona wanacheza na ujinga wa watu. Imekula kwao ccm safari hii hawachomoi n'go
  8. Hayajamani

    Magufuli yupo wapi

    hali ni mbaya sana, ccm waanze phase out mapema na wasione aibu kwa hilo
  9. Hayajamani

    Zaidi ya wanachama 860 wa chadema wajiunga na ccm kasulu na kibondo

    Ngoja Ed aende Kasulu, Kibondo na huko Buhigwe alafu utalinganisha
  10. Hayajamani

    Mtikila kumshitaki Lowassa Mahakamani, adai Afya haimruhusu kuwa Rais wa JMT

    afya ya akili inaweza sababisha naye pia asiwe na shtaka lamsingi mbele ya mahakama
  11. Hayajamani

    IPP Media na Kuangalia Fursa kupitia ITV, Radio One na Magazeti yao

    kweli hata mimi nimeliona hilo tatizo, UKAWA wamebaguliwa katika kutoa taarifa
  12. Hayajamani

    Shirika la Umeme (TANESCO) limetangaza Nchi kuwa gizani kwa siku 7

    Siku za mikutano ya UKAWA ndio umeme unakatwa, manake hata sehemu ambazo hazina grid ya taifa napo kunakuwa na matatizo ya umeme siku za mikutano hiyo. Jamani tufanye siasa nyingine na sio kugusu huduma za msingi
  13. Hayajamani

    UKAWA biashara asubuhi jioni mahesabu, toeni ratiba ya kampeni na timu ya kampeni

    UKAWA walishamaliza kwenye kutafuta wadhamini, CCM hawawezi kupata hayo mafuriko kwenye kampeni hivyo wapo wanapanga namna ya kumalizia mchezo tu
  14. Hayajamani

    YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    siku UKAWA wakizindua umeme unakatwa na TV hazipatikani
  15. Hayajamani

    Hili gari BMW 7 limerogwa?

    Ni kweli kabisa lipo confortable na speed usipime! Hata service na spare-parts bado ni bora kuliko hayo mengine yanayobadilishwa kila siku. Service inakwenda mpaka 9,000 KM au 15,000KM kutegemeana na oil, pia ATF inakwenda mpaka 30,000 KM. Ni bora kuliko service za 3,000KM na oil-filter za 5,000...
  16. Hayajamani

    Askofu Gwajima vs Cardinal Pengo: Polisi waingilia kati

    Muhuni anaropoka upumbavu mtupu na watu wanashangilia, piga makofi nk.......eti watu wa dini! Huyo nadhani ana mungu wake na hao wafuasi wake wahuni
  17. Hayajamani

    Magari yote yangekuwa Manual transmition kusingekuwa na Foleni nchi nzima

    Hata hizo auto bado hatuzijui, unachosema hata auto unaweza ndio maana kuna D-3-2-1 (L)
  18. Hayajamani

    PICHA: huyu ni rais wa wapi!!

    Amehalalisha bangi .....
Back
Top Bottom