Search results

  1. Lambardi

    Iundwe tume Huru suala la mafuta ya petroli

    Wanabodi kama alivyopendekeza Mbunge. Naomba kusisitiza suala kuundwa tume huru tujue madudu yapoje na upigaji kwenye mnyororo mzima wa mafuta ya petrol. Kumtoa Mjinja bado hakusaidii wameiba sana. NAtoil ni balaa na laana kubwa.
  2. Lambardi

    Naililia Bagamoyo! JK amewaachaje?

    Salaam kwenu heshima mbele! Naamini lengo JK lilikuwa zuri kuigawa Wilaya ya Bagamoyo na kujenga bandari ili Bagamoyo iwe Port City. Hakuna vijiji wala nini; sasa kilichotokea wilaya imeisha kabisa haina maana hata kuitwa wilaya. Ina square km 25 tu. Urefu wake na upana means 625 sq km tu...
  3. Lambardi

    Jakaya Kikwete: Wanasiasa wa Upinzani wasichukuliwe na Serikali kuwa ni Maadui

    Naona JK hapendezewi na kamata kamata ya wapinzani na kuwabana wasifanye siasa...ndani ya nchi......Mzee wa Demokrasia!! ======== Rais Mstaafu Jakaya Kikwete ameelezea umuhimu wa utawala bora na kuheshimu sheria, akitaka Serikali barani Afrika zisichukulie vyama vya upinzani kuwa ni maadui...
  4. Lambardi

    Tujikumbushe sakata la Loliondo Gate lililopelekea mwandishi kupoteza maisha

    Heshima Mbele, kwa Faida ya vizazi vya sasa napenda kuwakumbusha na kuwajuza lile sakata kubw lililotingisha nchi miaka ya 1990 na kupelekea mwandishi wa habari Stan Katabalo kuuawa, najua miaka imepita ila wadau bado wana nondo kichwani watazileta hapa kwa faida ya kizazi hiki...
  5. Lambardi

    Kimbembe cha VAT: Wawekezaji wanaondoka!!

    Wadau, habari za majukumu! Baada serikali mpya kuingia waliingiza VAT kila sehemu hata kwa waliosamehewa kodi hiyo, nasemea upande wa watengenezaji chakula cha kuku! Kampuni ya thailand CPF wanafunga operation na kuondoka mwisho wa mwezi huu!! Nawasilisha
  6. Lambardi

    Vibaka Stendi ya Ubungo, mamlaka ziko wapi?

    Wanajamvi naomba kuweka wazi wizi uliokithiri ndani ya stand ya Ubungo! Kuanzia alfajiri hadi saa 5 usiku wasafiri, wasindikizaji wanakumbana na vibaka wakiwa kwa makundi. Wanaiba vioo, side mirror na kuvunja magari yanayoegeshwa ndani ya stand. Wasafiri wanaporwa sana. Kuna tatizo la usalama...
  7. Lambardi

    Panya Road wajitokeza Kijitonyama

    Habari wana Bodi: Naomba kujulisha umma wa Watanzania kuwa wale watoto watukutu wanaovamia majumba na maduka wamezuka tena mitaa ya Kijitonyama! Dakika 20 zimepita wamepita mitaa ya Kijitonyama karibia na Mesuma! Nimekutana nao nikiwa nakatiza mitaa hiyo! Mkuu wa wilaya na kamati yake ya Ulinzi...
  8. Lambardi

    TANZIA: Brigedia Gen. Ernest Galinoma afariki Dunia

    Habari wana jamvi! Poleni ndugu, jamaa na marafiki kwa msiba wa Brig Gen (rtd) Galinoma! Msiba upo Masaki, Dar. Nawasilisha!
  9. Lambardi

    Tipper (Mende Ton 32) ipi bora zaidi kwa biashara?

    Wana JF heshima mbele ; nafikiria kuingia kwenye biashara Ya malori makubwa Ya mchanga na kokoto! Naomba muongozo brand ipi Ni bora kwa sisi tunaoanza Kwa mitaji kidogo? DAF, Scania, Iveco , Man? Natanguliza shukran !!
  10. Lambardi

    PCCB hawamo rasimu ya Warioba

    Nafuatilia ngongeza mbali mbali zilizoachwa makusudi kabisa ili zije ziwekwe kwenye Rasimu ya Tanganyika ikiwemo Serikali za mitaa na Takukuru kwa chache! Napenda kuwakumbusha wajumbe kuwa wasije wakasahau Takukuru ! Kama lengo kuchakachua serikali 3 na watengeneze serikali 2. Nawasilisha
  11. Lambardi

    Nauza Bata Mzinga

    Wadau heshima mbele,nimejaribu kufuga Bata Mzinga!ninao kama kumi hivi naomba connection za kuuza hasa kwenye mahoteli Dar na Arusha!
  12. Lambardi

    Biashara Kutengeneza Tray Za Mayai!

    Wadau heshima mbele,najaribu kutafuta facts na research nijue nje ndani ya biashara ya kuzalisha Tray za Mayai! Kwa alie ufahamu anisadie nijue,malighafi zake zinapatikanaje?bei ya jumla ya tray hizo (karatasi) na pia masoko yake! Nashukuru sana
  13. Lambardi

    Isuzu Birghoni Vs RAV 4

    Wadau heshima mbele!naomba mwenye uzoefu wa magari tajwa hapo juu...Isuzu Birghoni Vs Rav(Old Model-1995-98) 4;Ipi kati ya hizo zinaweza kupiga mzigo kwa muda mrefu na ina gharama za chini za uendeshaji !kwa Mjasiliamali wa kati?naomba msaada wadau!
  14. Lambardi

    Masoko ya Kuku wa Kisasa

    Wadau heshima mbele,nimeanza kufuga kuku wa kisasa wa nyama! Napenda ushauri wenu juu wa masoko ya kuku hao hasa kwa wanunuzi wa jumla!ninaanza kuku 1,000 .Naomba uzoefu!PM kwa uharaka zaidi
  15. Lambardi

    Guardian Lapotea Ghafla Leo!

    Wadau!kuna nini kimetokea?gazeti letu pendwa la Guardian limepotea ghafla mtaani na yaliyopo yamenunuliwa yoote na watu fulani wachache!kuna tatizo gani?
  16. Lambardi

    Nataka Kufanya Biashara ya Mazao...Naomba Mwongozo

    Wadau JF Heshima mbele, Naomba mwenye uzoefu wa biashara ya mazao toka mikoani mahindi,mpunga,kunde,alizeti!anisaidie nafanya utafiti nami niingie humo!naomba mwongozo wadau!
  17. Lambardi

    Vigogo wa CCM Bagamoyo na Kashfa ya Utapeli wa Viwanja

    Wana JF, Vigogo wa CCM Wilaya Bagamoyo wamesimamishwa nyadhifa zao kutokana na kuuza mashamba ya Serikali na ya wanavijiji eneo la Gama-kwa kudanganya ni mali ya CCM Wilaya. Wameuza zaidi ya 150Mil Vigogo hao ni Katibu CCM Wilaya, Mwenyekiti CCM Wilaya(Mtawa), Katibu Mwenezi wa Wilaya...
  18. Lambardi

    Shida Kubwa Usafiri Dar-Kuelekea Katikati Jiji

    Wadau,wananchi kwa Ujumla na Sumatra! Wananchi tunaomba sana suala la usafiri liangaliwe kwa kina na kwa mtazamo mkubwa zaidi!Kusitisha leseni kwa dala dala kwenda kati ya jiji wakati mipango ya magari makubwa (watu 100) haijakamilika,ni kutesa wananchi wa kipato cha chini ambao ndio wengi...
  19. Lambardi

    Mkuu wa Majeshi apewa cheo Kiduchu!!

    Inashangaza sana TBC ambayo ni TV ya Taifa,ina wahariri wengi,na waandaji wengi wa habari,ili kuelimisha jamii yetu inamtangaza Mkuu wa Majeshi ya Tanzania kama Maj Gen Davis Mwamunyange!kweli?ni aibu sana sana...hadi taarifa habari inaisha hawajagundua kosa kubwa namna hiyo!
  20. Lambardi

    Biashara ya Kupasua Kokoto-Morogoro au Dodoma

    Wana JF heshima mbele, Naomba kujua alie na upeo wa bishara ya kupasua kokoto kati ya Morogoro au dodoma..wapi pazuri na biashara yenyewe kwa ujumla na maeneo mazuri kwa kufunga mashine! Nawasilisha
Back
Top Bottom