Search results

  1. Lambardi

    Natamani kusoma Mechanical Engineering, naomba ushauri

    Omba Dip NiT kwanza....
  2. Lambardi

    Hatimaye Dotto James aonekana hadharani

    Yupo wizara viwanda kama senior officer.....amefichwa
  3. Lambardi

    Jesca Magufuli achangia Ujenzi Nyumba ya Katibu UVCCM Wilaya ya Chato. Asisitiza Kumuenzi Hayati Magufuli

    Jesca...anataka ubunge kumtoa mjomba wake ? Basi sawa tusubiriiii
  4. Lambardi

    Barua kwa Rais Samia kuhusu kashfa za Balozi Mteule wa Rwanda nchini Tanzania, Jen. Patrick Nyamvuba

    Salute Salute nimekuelewa sana sana...TISS najua wanajua mengi juu huyu mkuu...kufanyia kazi...
  5. Lambardi

    Aishi Manula afungua duka la Vifaa vya michezo

    Unataka Unataka Kufanya kitu gani nikusaidie mawazo ? Kwa faida ya wengi?
  6. Lambardi

    Aishi Manula afungua duka la Vifaa vya michezo

    Kwani wewe uko wapi ? Piga hesabu kitu kimoja kimoja tuone maana unaona miujizaa
  7. Lambardi

    Aishi Manula afungua duka la Vifaa vya michezo

    Ndio kabisa mimi nimejenga vyumba zaidi 10 style hiyo
  8. Lambardi

    Aishi Manula afungua duka la Vifaa vya michezo

    Bora sana kwake duka la nguo tuyajua litavuma miezi 3 tu kwisha yako mengiii
  9. Lambardi

    Uliwezaje kumudu maisha ya vijijini baada ya kuhamia /kuajiriwa huko?

    Yaani vijijini hawajali sijui kuoga kupendeza ....kupaka mafuta yaani wanalalla hivyo hivyo wakiamka safari muziki.....hakuna hata mpangilio wa maisha....watoto wanajilea wenyewe kupika ni majaliwa baadhi ya kaya
  10. Lambardi

    Aishi Manula afungua duka la Vifaa vya michezo

    Hongera sana kwake.....pia ushauri wa bure.....atafute kiwanja ajenge chumba sebule hata 40 akiweza atanishukuru baadae.....chumba 1 ....10ft by 10ft ni 1mil tu ....ushauri wa bure.....mpira suala mpito .
  11. Lambardi

    Ni wakina nani walitaka Samia asiapishwe Rais wa Tanzania? Walitaka nani aapishwe? Kama CDF asingesimama imara nini kingetokea?

    Dr Bashiru Ally siku ikimpendeza aseme ukweli wake wa moyoni.....na CDF Mstaafu amalizie....tufunge mjadala...watu hao wawili wana siri nzito sana!!
  12. Lambardi

    Watanzania wanakataa Mchele lakini wanakubali Kondomu, Chanjo na Dawa za Mmarekani

    Tuna mtindio mkubwa sana wa umasikini wa fikra.....
  13. Lambardi

    Chozi la Jenerali Mabeyo akisimulia siku za mwisho za Hayati Magufuli linaashiria nini?

    Bado watanzania tunasubiri ukweli mchungu sana ....nani ña nani walichota pesa BoT? Nani alitaka kusigina katiba awe yeye rais wa mpito ? Ikawaje ? Ukisema hapo utakuwa msema kweli na historia itakukumbuka daima.....ingawa hata sasa si haba
  14. Lambardi

    Natamani kusoma Mechanical Engineering, naomba ushauri

    Ila ujipange mkuu msulii oohhhhj hapo UD watu wana sanda hiyo course
  15. Lambardi

    Hussein Bashe, Waziri wa Kilimo: Waagizaji hawakupaswa kuleta mchele wa Msaada kutoka Marekani kwani Tanzania ina hazina ya mchele

    https://extension.colostate.edu/topic-areas/insects/nuisance-wasps-and-bees-5-525/
  16. Lambardi

    Bilioni 101.2 kujenga Barabara ya Kahama-Kakola KM 73 kwa kiwango cha lami

    Barrick watakaa sana hapo....kazi iendelee daaa shughuli ni pevu
Back
Top Bottom