Search results

  1. N

    Mbowe: Madaktari msiende Kenya, Rais anacheza na maisha yenu, Kenya sio salama kwa sasa

    Sidhani kama ni sawa na Salama Kuwapeleka Madaktari Wetu Kenya. Usalama wao Utakuwa mashakani saaana kwa hali ilivyo sasa. Hata kama tungekuwa Nao wa kutosha na kupitiliza. Usalama Kwanza.
  2. N

    Huyo mtu aliyekuwa anasubiri SHILAWADU ni nani?

    Hahahahahaha Hahahahahaha !!!!!! Duuuh-!. Hatukukosea. Tulikoseshwa!!!!!
  3. N

    Lipumba: Rais Magufuli amebeba agenda ya UFISADI - Vyama vya Upinzani vinapaswa kujipanga upya

    Naomba kukuuliza Ewe Mere huu uzi Kwani una umri gani? Jibu Kwa uaminifu.
  4. N

    Msaada: Najua natembea na changudoa, lakini kumuacha siwezi

    Pole sana Mkuu. Hapo ujue magonjwa na hasa ukimwi vinakunyemelea. Umenasa vibaya. Mimi nakushauri mawili 1. Okoka 2. Ukishindwa hama haraka eneo hilo.
  5. N

    Afanyayo Edward Lowassa leo aliyabuni ilipotungwa sheria ya vyama vya siasa aliyosaini mwaka 2007

    Lowasa amekukosesha usingizi eeh? Pole sana. Pressure itawauwa Mwaka huu. Angalia Maisha yako achana na Lowasa achana na Ukuta. Pili Pili usioila yakuwashiani? Haya mambo ya Kunyanyasa Wapinzani tana Mwisho wake. Na hauko Mbali.
  6. N

    Kiapo cha John Pombe Magufuli 5/11/2015...naapa nitalinda na kuitetea Katiba

    Uraisi ni jambo hakutarajia. Pia limemzidi uwezo.. Nadhani hajiamini. Na mbaya zaidi ccm kuna wanafaiki wengi saaana. hawaambianagi ukweli wote. Uongozi ni Influence sio mabavu na fimbo sitasita. Kwa design hii.......
  7. N

    Ocean Road Hospital vs Kuhamia Dodoma

    Muhimu: Ni Muhimu Kuhamia Dodoma. Lakini Si-lazima kwaharaka namna hiyo. Muhimu Kuwasaidia wagonjwa wa pale Ocean Road Hospital kwa Vifaa na Madawa na pia Wataalamu wa kutosha Ni Lazima kufanya hivyo kwa sasa kuwasiadia Ndugu zetu. (Unaweza kuongeza orodha ya mambo ambayo sio tu ni muhimu...
  8. N

    Hotuba za Rais Magufuli za kichwani zinakera, asome hotuba anayoandaliwa

    ccm wamefanyaga mistakes nyingi sana sana kabisa. Lakini moja ya kubwa kabisa ni ya kumpa nafasi huyu jamaa. Ni balaa.
  9. N

    Hizi ndio sababu kuonyesha kuwa CCM ni chama dhaifu sana

    CCM ni chama limekuwa chama dhaifu sana kwa muda mrefu na sioni kama wana mpango wa kuachana na udhaifu wao. Hizi ni baadhi ya sababu au mambo yanayopelekea nikasema hivyo. Unaweza kuongeza zingine pia; 1. Hawashindani kwa haki au Kihalali Mtu anaposhindana na mpinzani wako huku umejijengea...
  10. N

    Tarehe 01/09/2016 wakati wanaenda kufanya mikutano sie tukafanye kazi kila kijiji na kila kata Tz

    Hivi unadhani ccm wana haki miliki ya hii Tanzania ? Ni nani aliyempa Raisi malmaka ya kuamulia watu wengine waishi vipi na wafanye vipi mambo yao? Je, Katiba ya Nchi hii inasema nini juu ya uhuru wa kukutana kuandamana ? Kwani Raisi Magufuli yuko juu ya Katiba? Si jambo zuri hata kidogo...
  11. N

    Wazungu wameshatuharibia vijana wetu

    Wakuu wa Nchi hii walipaswa kupambana kuzuia mambo machafu kama haya na Sio kuzuia shughuli za Kisiasa hapa Tanzania.
  12. N

    Picha: Ulinzi mkali ulivyo Dodoma

    Kishaija - hujitambui kabisa.
  13. N

    Sam Mahela tena... Hivi ITV management hamyaoni haya?

    Mkuu uko sahihi. Huyu jamaa anahiyo tabia mbaya ya kukatiza wageni wake wanapookuwa wanashusha points. Nakumbuka siku alipokuwa na Mch. Msigwa. Sikupfurahia kabisa tabia yake hiyo mbaya. N hasa mtu anapotoa maoniyanayotofautia na serikali au kuikososa serikali. Ajirekebishe.
  14. N

    Lowassa atinga Tume ya Uchaguzi kupeleka malalamiko, azuiwa kuonana na viongozi

    Haya yote yanayotokea ni dalili wazi za kuchoka kwa ccm. Madudu madudu tu. N kulazimisha mambo kutawagharimu sana. Hakuna ridhaaa ya wananchi kuongozwa na ccm. Tangu Lubuva ameaanza kutangaza matokeo feki, sijakutana na zaidi ya watu 3 wanaofurahia au kushangilia. Ninakutana na watanzania...
  15. N

    Lubuva anatangaza matokeo ya rais wa nchi gani ??

    Haya yote yanayotokea ni dalili wazi za kuchoka kwa ccm. Madudu madudu tu. N kulazimisha mambo kutawagharimu sana. Hakuna ridhaaa ya wananchi kuongozwa na ccm. Tangu Lubuva ameaanza kutangaza matokeo feki, sijakutana na zaidi ya watu 3 wanaofurahia au kushangilia. Ninakutana na watanzania...
  16. N

    Nimsaidiaje huyu msichana wa kazi?

    Mwambie siku hizi umeokoka
  17. N

    Kubenea anawakilisha tatizo jipya la Uongo katika jamii!

    KWELI ccm MNA HALI MBAYA SAAAAAAANAAAAA. MKO HOI TAABANI. KAMA MNAAMINI ccm NI CHAMA BORA NA MTASHINDA MBONA KELELE NYINGI SANA. KWA NINI MNAWOGOPA LOWASA? KWA NINI MNAOGOPA UKAWA? WATU WENYE UHAKIKA NA MAFANIKIP YAO HUWA HAWAPIGI KELELE KIASI HIKI. UKWELI NI KWAMBA MAJI YAKO SHINGONI...
  18. N

    Mume wangu ananipa wakati mgumu kipindi hiki nikiwa na ujauzito wake, hanijali

    Pole sana mapozi baby. Ushauri wangu ni kama ifuatavyo; 1. Unapaswa kumsamehe. Usikae na kinyongo ndani yako. Kukaa na uchungu ndani ni hatari sana sana. Kutakuletea madhara makubwa kiroho na kimwili(kiafya) 2. Uwezo wa kukwazika au kutokwazika unao wewe. Nakusahuri usikwazike 3...
  19. N

    Kazi Kweli Kweli: Nani Amebadilika - Lowassa, Mimi au Wewe?

    Watanzania tumebadilika. Hatuitaki ccm. Tunataka mabadiiko. ccm haiwezi kuyaleta. wewe hujabadilika kamaulivyosema ndio maana huoni hivyo. Tatizo hapa sio Lowasa au magufuli. Tatizo ni mfumo-system. Tunataka Tanzania Mpya. Chini ya ccm hatiwezi kuipata. Tumebadilika ufahamu na mtazamo. Sikia...
Back
Top Bottom