Katika uchaguzi huru na wa haki, kila mpiga kura huwa na uhuru wa kuchagua mgombea yeyote anayeona anafaa lakini pia huwa huru kwa lolote ikiwa kura yake ameiharibu, amechagua kiongozi ambaye hatafaa au yule anayefaa.
Katika uchaguzi wa mwaka 2020 Tanzania, inaweza kuonekana ulipagwa kwa ubora...
Naomba nikusahihishe hapo.
Police Form 3(PF3) ni muhimu katika ajali, unapopata ajali kuna vyombo vinavyohusishwa kumbuka hapa suala nyeti ni UHAI na USALAMA. Usalama ndiyo wenye ku_determine uhai na si vinginevyo, hata hivyo vyote hivi hufanyika kwa pamoja au kwa ukaribu mno.
Ni makosa...
Well said.
Besides there's a course ya Administration na practicals("field") wanayofanya! Ajiulize Prof. Mseru(MOI) na Prof. Lema(MNH) walikuwa ni kina nani na Hospitali zilikuwa na hali gani!
Bora kukaa kimya kama hujui jambo! Kutoa ruzuku kwa "kila hospitali kunafanya" Bugando kuwa hospitali ya Serikali?
Pili, umuhimu wa kuchagua CT Scan over MRI ni upi au unadhani zote zinafanya kazi sawa!?
Hivi rationale mnaitoa wapi?
Ni watumishi wangapi wa Serikali wanahitaji fedha kwa ajili ya mikopo pengine nyumba au usafiri.Mf. Elimu, Afya n.k? Kwanini wao wasisikilizwe ila kundi moja tu 'wabunge' wenye kukaa muda wa miaka mitano at most miaka 10, ambayo kwa ufuatiliaji wao ni mgumu...
www.wavuti.com/2014/05/hotuba-ya-rais-kikwete-katika.html?m=1
Soma hiyo hotuba hapo, au pitia/ulizia takwimu kwa msajili wa madaktari pale wizarani, Mkuu.
Wewe kuwa askari haimaanishi ndiyo kujua lililotokea Chalinze(ambapo mleta mada ndipo amesema), kwani askari kitu gani? Na bado inaweza kuwa ni askari magereza, sasa vinaingiliana hapa(au kwasababu unadhani naye ni askari wa usalama barabarani)?
Kitu kinachozungumzwa kipo sana, hata hapa...
Ritz, hili ndilo jambo ambalo watu wanachanganya!
MOI ni Taaasisi(ina uongozi wake ingawa kuna MoU ma MNH), Vitanda hivi vya MOI na si vinginevyo(MNH). Ukosefu wa kutambua hili au kupotosha kwa makusudi(kwa malengo binafsi) ndiko kunasababisha haya!
Hakuna cha kujifunza manunuzi ya hospitali or such non sense!
Kilichoandikwa ndiyo hakika though vitanda hivyo ni vya MOI na si MNH.
Wajinga ndiyo waliwao!
Mkuu ninaongelea huyo huyo MD unayemfahamu,(yaani aliyesoma na kumaliza miaka mitano).
Mfano juzi juzi hapa MNH ilihitaji watu watano, na ikaamua kuongeza idadi hadi wanane. Number ya walioomba nafasi ni 156!
Okay unaweza kusema hii ni MNH na "wengi" wanataka kubaki hapa mjini lakini je...
Kuna MD(Medical Officers) wengi tu mtaani hadi leo, serikali inaendelea kuchezea afya za wananchi na Clinical Officers, kwanini wasipate viburi na kujiona miungu?
Mawazo na mafanikio mazuri. Pengine marekebisho madogo katika aina ya rangi tu kwa baadhi ya subsection ili kuvutia watu/kuepuka matumizi ya rangi kali(bright colours). Yaani bright colours huvutia kusoma(hasa mitandaoni) lakini hazipaswi kuwa bright colours nyingi kwa pamoja.
Again, Hongera.
Ni wapi walipata order ya kutengeneza vitanda aina hiyo 500?
Halafu kama wao walikubali kupata order iweje wasipeleke vifaa hivyo but "msd" ndiyo wavichukue(tazama picha)?
Kama vilikuwepo, tatizo lilikuwa halijulikani? Halikuwahi kuongelewa au kuzungumzwa hili, na watu waliongea wakaonekana...
Ni wapi walipata order ya kutengeneza vitanda aina hiyo 500?
Halafu kama wao walikubali kupata order iweje wasipeleke vifaa hivyo but "msd" ndiyo wavichukue(tazama picha)?
Kama vilikuwepo, tatizo lilikuwa halijulikani? Halikuwahi kuongelewa au kuzungumzwa hili, na watu waliongea wakaonekana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.