Search results

  1. nambokola

    Huduma: Unlocking Phone by IMEI Number

    mkuuu MWL.RCT saivi napeta na line tofauti asante mkuu nitawashtua na jamaa wengine wakitaka huduma nilijua baada ya kutuma hela hutopatikana tena ila umeni prove wrong kati ya watu saivi wanoaminika na ww upo katika list pia again thanks acha niendelee ku enjoy
  2. nambokola

    Huduma: Unlocking Phone by IMEI Number

    mkuuu MWL.RCT saivi napeta na line tofauti asante mkuu nitawashtua na jamaa wengine wakitaka huduma nilijua baada ya kutuma hela hutopatikana tena ila umeni prove wrong kati ya watu saivi wanoaminika na ww upo katika list pia again thanks
  3. nambokola

    Huduma: Unlocking Phone by IMEI Number

    Mkuu nashkuru sana nilikua busy kidogo lakini nitaijaribu halafu nitaleta mrejesho
  4. nambokola

    Huduma: Unlocking Phone by IMEI Number

    Nitasubiri hadi utakapo nijulisha mkuu
  5. nambokola

    Huduma: Unlocking Phone by IMEI Number

    Mkuu Nimefanya malipo kwa namba hii 0717 54 57 62 kwa pesa taslim tulizokubaliana
  6. nambokola

    Huduma: Unlocking Phone by IMEI Number

    Mkuu sasa utaniombea codes ama nifanye malipo kwanza
  7. nambokola

    Huduma: Unlocking Phone by IMEI Number

    Sasa niombe kwanza unlock codes ama malipo yanafata hadi codes zikija
  8. nambokola

    Huduma: Unlocking Phone by IMEI Number

    Mkuu Mwl.RCT Hebu nichekie hii IMEI No kama utaweza ku unlock na itanicost 15,000 pia IMEI: 355188063995819 PHONE: Z3 LOCKED: O2
  9. nambokola

    Mahakama ya Kadhi: Wabunge wafanya vurugu wakati wa Semina

    Aya ya 114 ya sura gani au umeambiwa hivyo kanisani na mashaka ya Quraan ukitoa aya moja tuu ambayo haina ufafanuzi basi nakufata kanisani aidha moja itakua uelewa wako mdogo ama una chuki ya kikristo. Lakini ukisoma biblia ukianza tuu na genesis basi unakutana na makosa na ndo maana tunasema...
  10. nambokola

    Mahakama ya Kadhi: Wabunge wafanya vurugu wakati wa Semina

    Una reference ya hayo unayoyasema mkuu au unajiropokea tuu nikuone unajua na ww kama unayo niletee Quraan ikashauri kusoma Bibilia itakua si Quraan yetu hiyo
  11. nambokola

    Mahakama ya Kadhi: Wabunge wafanya vurugu wakati wa Semina

    Ismaiil mkuu muda mwengine unakua huisomi hata hiyo biblia yanyewe msikilize yesu anasemaje kuhusu hayo unayo ya discuss ww But I say unto you, Swear not at all; neither by heaven; for it is God's throne (Matthew 5:34) And anyone who swears by heaven swears by God's throne and by the one who...
  12. nambokola

    Mahakama ya Kadhi: Wabunge wafanya vurugu wakati wa Semina

    Hamn kitabu kinachoitwa biblia mungu hatambui hakuna mtume alopewa hicho kitabu hamna aya kwenye biblia yenyewe kwamba biblia ni kitabu ije itambue Quraan tukufu sheikh Ismaail vipi bana
  13. nambokola

    Mahakama ya Kadhi: Wabunge wafanya vurugu wakati wa Semina

    sijakufahamu hili swali ama statement
  14. nambokola

    Mahakama ya Kadhi: Wabunge wafanya vurugu wakati wa Semina

    Kila mtume anakuja na miujiza yake ukitaka mujiza ya mtume wetu mtukufu basi soma sira(biography) yake utajua alikua na miujiza gani hata mtume Suleiman alikua na miujiza ambayo jesus alikua hana ukisoma Quraan.
  15. nambokola

    Mahakama ya Kadhi: Wabunge wafanya vurugu wakati wa Semina

    unajua maajabu ni nini jee biblia inayo maajabu si rahisi kwasababu hakuna kitabu cha mungu chenye makosa na biblia inamakosa ya kiuwandishi na yakiungu pia hakiwezi kuwa kitabu kabisa hasa katika karne hii ambayo tunatumia software tofauti kugundua makosa
  16. nambokola

    Mahakama ya Kadhi: Wabunge wafanya vurugu wakati wa Semina

    Mkuu Ismaail, Umemsoma Faizafoxy hapo juu Taurati Injil na Zaburi walioshushiwa wakati huo walishavinajisi hivyo vitabu na ndo maana haviko safi nitakupa mfano kama Taurati hamna tena hata katika biblia kuna kumbukumbu la taurati lakini yenyewe iko wapi hamna na ndo maana ikashuka quraan na...
  17. nambokola

    Mahakama ya Kadhi: Wabunge wafanya vurugu wakati wa Semina

    Nitakuoneshaje wakati biblia mushainajisi taurati kwani ipo kwenye biblia na hii ndo sababu ya kushuka kwa quraani mungu wa kweli alipoona munajiandikia yale munopenda nyinyi tofauti na alivyofundisha
  18. nambokola

    Mahakama ya Kadhi: Wabunge wafanya vurugu wakati wa Semina

    Mkuu tukupe jina la uislamu kwenye Taurati na Injil wakati hicho kitabu cha biblia kishabadilishwa mara 200 kidogo hapa hoja ni jee yesu mungu waislamu wanakataa sio mungu nyinyi mnasema mungu wakati yesu mwenyewe anakataa kuwa sio mungu nazipo aya clear kabisa katika biblia yenu
  19. nambokola

    Mahakama ya Kadhi: Wabunge wafanya vurugu wakati wa Semina

    Mkuu ismaiil Huongei na mkiristo hapa unaongea na muislamu, kunipa porojo zilokua hazina mpangilio ziache kanisani sio kwa waislamu kama maelezo yako nitayachukua kama yalivo basi yatakua yana contradict na maneno ya yesu na bibilia pia nitakupa mfano hapo nilipoeka red maneno hayo yanapinga na...
  20. nambokola

    Mahakama ya Kadhi: Wabunge wafanya vurugu wakati wa Semina

    Mkuu hiyo ni biblia yako unataka me nikujibie nimesema nitafsirie hayo maneno kama kiingereza kinapiga chenga nitakuwekea aya ya kiswahili me sitaki kujua nani anasema ila nataka tafsiri ya maneno niloweka red kama biblia inavyokutaka katika (I thessalonians 5:21) Prove all thing; hold fast that...
Back
Top Bottom