Search results

  1. M

    Uhamisho wa watumishi 2013/2014 kuna mwenye taarifa maana tamisemi wapo kimya.

    Habari zenu wadau . Naomba kupata msaada kama kuna mtu ana taarifa juu ya uhamisho wa watumishi 2013/2014 maana TAMISEMI wapo kimya.
  2. M

    Uhmisho wa warumishi 2013/2014 kuna mwenye taarifa maana tamisemi ipo kimya.

    Habari zenu wadau wa jf. Naomba kupata msaada kwenu kama kuna mtu ana taarifa za uhamisho wa watumishi waliomba kuhama decemba 2013 na kutakiwa kuhama january 2014 je kuna taarifa yeyote maana TAMISEMI wapo kimyaa.
  3. M

    Uhamisho wa watumishi 2013/2014

    Habari za majukum wadau wa jf. Naomba kupata msaada kama kuna mtu ana taarifa za uhamisho wa watumishi waliomba kuhama desemba 2013 na kutakiwa kuhama january 2014 taarifa rasmi ya uhamisho wao inatoka lini maana tamisemi wapo kimyaa..
  4. M

    Majimaji ukeni, wakati wa tendo hadi nalowa duh!

    Wote waliokushauri wamekuzingua wao wenye wake zao wana hilo tatizo wanazuga tu. Chamsingi muone Dr.
  5. M

    Kamishna wa sensa na mkurugenzi wa takwimu wakutana na masheikh

    Hivi uchaguzi 1995 kurudi nyuma kulikuwa na kadi ya mpiga kura jibu ni hapana sawasawa na katika sensa kuanzia sensa ya mwaka 2002 kurudi nyuma hapakuwepo kipengele cha dini ila kwa sasa kinahitajika kiwepo kutokana na mabariko ya mazingira .mabadiliko ni hali ya kawaida katika maisha.FUNGUKA WEWE.
  6. M

    Cv ya saed kubenea..

    Kabla hujatoa kibanzi kwenye jicho la mwenzio toa kilichopo jichoni mwako kwanza. Mi nahis ungeanza kuianika CV yako then nitakuwekea ya Mr kubenea,ukishndwa kuweka yako utaikosa ya Mr kubenea.
  7. M

    Sekondari iliyotoa viongozi na watu mashuhuri wengi Tanzania

    Tanga Tech. J.K Kikwete Omar Nundu Pombe Maguful Mwantumu mahiza. Saidi wema chakushangaza walikuwa Class moja kilanja wao alikuwa akitwa chenge kama sikosei.
  8. M

    Soma hii itakusaidia katika maisha yako ya sasa na baadae.

    Dah! Changamoto ndio mbolea ya tabasamu langu,siwez kuzikwepa.kwa wanaoweza kunishauri wanishauri zaidi na wenye majungu endeleeni kunidiskalej maana bila nyinyi changamoto kwangu zitakosa virutubisho.
  9. M

    Soma hii itakusaidia katika maisha yako ya sasa na baadae.

    Ungenigaia contakt ingekuwa safi@lutayega.
  10. M

    Soma hii itakusaidia katika maisha yako ya sasa na baadae.

    Mimi ni muandishi wa vitabu vya Riwaya,Tamthilia na Ushair ninahitaj msaada wa udhamin wa kuchapa kitabu ambacho nimekiandaaa kitakachoitwa ''NYARAKA NYEUSI'' kama unaweza kutoa msaada huu nijulishe hapaha.
  11. M

    Dondosha msaada wako hapa!

    Vipi ninaweza kupata softwares za Nokia 5330-1d Tv mobile. Tv system ktk hii nokia haifanyi kazi tatizo ni software sio hardware.nimetembelea mtandao wa nokia nimeshindwa kuzipata. Help me.
Back
Top Bottom