Search results

  1. T

    Uthibitisho wa kazi maalum ya Ben Saanane na hujuma za Dr. Slaa kwenye siasa za Juliana Shonza

    Hakika atakuwa ameandikiwa na masalia wenzake. Ila juliana na huyo getu hata kuongea hawaongei maana ndo wao wakina dotto kurwa waliomchafua FB akidhani atagombea nafasi yk.
  2. T

    Mnyika kinara bungeni

    Rais wetu mtarajiwa John John Mnyika.
  3. T

    Nape vs Mnyika Jimbo la Ubungo

    Nape jembe naweza kumpa kura yangu ila si kwa kupitia ccm.. Ila na dharau apunguze kdg
  4. T

    Kura ya maoni: Zitto vs Dr Slaa

    Zitto tapeli na muhuni tuh! Ngoja akue..
  5. T

    Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) Chalipuliwa Bungeni

    Wanakula mpk pesa za wanafunz watt wa maskini... Chuo si uzur wa majengo bali uongoz bora utakaozaa utendaji makini
  6. T

    Baraza la Mawaziri CDM

    Hakuna jipya
  7. T

    Rose Kamili amemsafisha Dr. Wilbrod Slaa. Hongera Rose Kamili na wenzako mliofanikisha hilo

    Na Dkt Slaa ameacha shughuli za kanisa tunamtegemea kuongeza rekodi ya kuwa rais Tz
  8. T

    Dr. Slaa, Mbowe na Godbless Lema wakamatwa

    Makamanda wa cdm Katibu wa chama, mwenyekiti wa chama, na mbunge aliye likizo wamekamatwa alfajir ya leo na kufikishwa central dsm, km kawaida nguvu ya umma tuungane kupigania haki..
  9. T

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Nani utamjua nani ktk hili wakati wapo wengi hapa duniani..
  10. T

    Mnyika Akalia Kuti Kavu

    Hapo kalamba karata antakiwa afute kauli mbele ya bunge na wapiga kura wake wasikie kasalenda, au asihudhurie vikao 5 mfululizo sasa atachagua kusuka au kunyoa
  11. T

    Mnyika Akalia Kuti Kavu

    Wamezoea kuwazodoa ccm bungen wanakuwa kimya kama watoto, ss wanaumbuliwa wanaanza kuropoka..
  12. T

    Hodi

    Asante tumbiri kwa ushauri
  13. T

    Hodi

    Nimeingia rasmi ktk jukwaa hili la jamii forums kwa nia ya kujenga tanzania tunayoitaka kwa hoja, bila kupendelea itikadi ya chama chochote kwa maslahi tunayotaka. Penye kukosoa na penye pongezi nitaonyesha. Uongo na unafki mwiko. Tanzania tunayoitaka ipo mikononi mwetu
Back
Top Bottom