Search results

  1. P

    Aliyemuua bilionare Erasto

    Erasto ametangulia, sote tupo nyuma yake!. Uhai amepokonywa wakati ndio kwanza anaanza kuonja faida za uwekezaji wake. Tunashukuru umetuachia somo, hasa la ubunifu na ujasiri wa kuwekeza vitu vya quality. Itachukua miaka mingi kwa tuliobaki kufikia udhubutu wako. Kila nikiingia SG Resort najiona...
  2. P

    Natoa gari langu aina ya Surf na maisha yangu kwa M4C - Mawazo

    Karibu kanda ya ziwa kamanda, ukiwa Mwanza full tank ya gari lako inanihusu!!
  3. P

    Elimu ya Nape Nnauye

    Napeeee!! Hata wewe ?? Kwenye masuala ya Elimu unahoji elimu za watu ?? Kwanini haujadili hoja unafaidi watu, kweli wakati huu ni wa kutuongoza tujadili "mtu" ?? Huyaoni yaliyo mbele yetu Kama Taifa ?? Au unataka tuamini wewe hayakuhusu ?? Haya ya umaskini, udini, ukabila, uvivu wa kufikiri...
  4. P

    kumbe zile dawa fake za ARV, hazikutengenezwa Tanzania, tupate ukweli

    Hawa waheshimiwa (TPI) ndio waliokuwa na tenda ya ku supply madawa MSD. Hii ni tenda kubwa na muhimu kwa sekta ya afya. Sasa 1. Dawa zililetwa. 2. TPI walilipwa. 3. Baadhi ya dawa walizo supply zilikuwa feki!! Ni muhimu kujua kuwa u fake wa dawa hizi sio kuwa ni sumu, bali ni dawa A kufungwa...
  5. P

    Nape: Jisahihishe, Unapoteza Vijana Wengi CCM

    Tatizo la NCHI yetu ni UBINAFSI. Tumeweka sana mbele maslahi binafsi na kusahau nchi yetu. Kama viongozi tunakazana kuwaandalia WATOTO wetu maisha ya "kufikirika" katika nchi ya watu masikini sana. Tunapaswa kuangalia maslahi ya NCHI kwanza, halafu CHAMA na mwisho ndio maslahi BINAFSI. Viongozi...
  6. P

    Nape: Jisahihishe, Unapoteza Vijana Wengi CCM

    Mchambuzi, nafurahi sana kuona kuwa bado CCM in a vijana wenye mawazo kama yako.
  7. P

    Ukweli kuhusu Benedict Mutungirehi na kundi la G211 pale UDSM mwaka 1994

    MdogoWenu umenena vyema. Hawa jamaa kwa "kutusaliti" walituonea sana.
  8. P

    Ukweli kuhusu Benedict Mutungirehi na kundi la G211 pale UDSM mwaka 1994

    SubiriJibu Traitor wangu. Kwanini unalazimisha. G211 hatukumpiga Mutungirehi, wala tukiwa wanafunzi hatukumpiga yeyote. Tofauti yetu na wewe sisi Tulisimamia kile tulichokiamini. Tulisema waziwazi na hatukumsengenya mtu. Hatukumsaliti mtu kwa kuandika barua au kumshtaki kwa watawala ili...
  9. P

    Ukweli kuhusu Benedict Mutungirehi na kundi la G211 pale UDSM mwaka 1994

    Sweke was a great leader. Allisimama katika kile alichokiamini.sijamuona siku nyingi lakini naambiwa aliweka rekodi ya kuwa consulting engineer miaka Sita tu baada ya ku graduate. Sina hakika huwa anapita huku JF. Subirijibu anahitaji uponyaji wa nafsi. Sote binadamu tuna mwili, roho na nafsi...
  10. P

    Ukweli kuhusu Benedict Mutungirehi na kundi la G211 pale UDSM mwaka 1994

    Kichuguu na Muonambali, huyu jamaa amejitambulisha mwenyewe. Ni traitor, Msaliti mkubwa. Kizuri ni kwamba nafsi yake bado ipo hai, haijafa. Ndio maana anahangaika sana kujisafisha. Kibaya ni kuwa ktk kujisafisha anachafua wengine kwa uongo wake. Anasema mwalimu wa Math tulimpiga mangumi, si...
  11. P

    Ukweli kuhusu Benedict Mutungirehi na kundi la G211 pale UDSM mwaka 1994

    Muonamambo achana na huyu Traitor subirijibu. Jamaa ana uchungu wa ndani sana.
  12. P

    Ukweli kuhusu Benedict Mutungirehi na kundi la G211 pale UDSM mwaka 1994

    SubiriJibu ijapokuwa unataka kuweka historia sawa, unatumia nafasi hiyo kujitakasa kwa dhambi ya U-TRAITOR. Dhambi ile ni kubwa na itaendelea kukutafuna sana, kama usipokiri na kurudi kundini kama wenzio. Nimesoma kwa masikitiko maelezo yako mareeefu yenye ujanja ujanja mwingi. Nimelazimika...
Back
Top Bottom