Search results

  1. Ndukidi

    Shamsiye Secondary School

    Salaam kwenu wote Nina ndugu yangu ana kijana wake wa kiume ambaye mwaka huu atamaliza darasa la saba na takuwa na 11-12 years. Shida iliyopo ni kujua shule atakayokwenda huyu kijana baada ya hapo, lengo ni kumpeleka shule ya boarding yenye maadili mazuri ya Kitanzania na jamii kwa ujumla, yenye...
  2. Ndukidi

    Mayai ya kuku wa kienyeji

    Mayai ya kuku wa kienyeji yabapatikana kwa wahitaji, tray moja 13,500/=. Kwa anaetaka ni PM tuwasiliane.
  3. Ndukidi

    Barua ya Onyo ukikataa kuhesabiwa Sensa

    Barua ya msisitizo kwa ki english kutoka kwa mwenyekiti wa serikali ya mtaa obay!!
Back
Top Bottom