Search results

  1. H

    Natafuta ushauri kuhusu vidonge vya kuhifadhi mahindi ghalani

    Wadau; salam, Nina; tumahindi; twangu; kama; tani; 40; hivi; nataka; kuhifadhi; kwa; kipindi; cha; miezi; mitano.Kwa; sababu; ya; gharama; sitaki; kununua; dawa; kama; actelic; na; zingine; zinazofanana; kwa; kuwa; sitaki; usumbufu; wa; kuyamwaga; mahindi; na; kuchanganya; changanya; halafu...
  2. H

    Toyota raum new model 2003 make for sale.

    1.Ipo kwenye hali nzuri sana2.Ina CC 1496 na hivyo ni nafuu kuigharamia mafuta 3.Mileage 95,000km4.Bado haijatumika kabisa hapa Tanzania na inamvuto wa kutosha5.Ni model mpya kwa huku kwetu tanzania.6.Tazama picha zake hapa chini7.Bei 12m
  3. H

    Toyota corola spacio new model inahitajika haraka

    Ninahitaji corolla spacio new model haraka sana.Cha msingi gari iwe kwenye hali nzuri na offer yangu haizidi 9M.Kama unayo wasiliana nami kwa namba zifuatazo:0714652377 au 0768224663.
  4. H

    Toyota corola spacio new model inahitajika haraka

    Ninahitaji haraka spacio new model yenye hali ya kuridhisha.Nipo serious kabisa na offer yangu haizidi 9M.Kama unayo wasiliana nami kwa namba zifuatazo:0714652377 au 0768224663.
  5. H

    Gari aina ya toyota cresta gx 100 inauzwa mil 6.

    Gari hii ni nzima na ipo katika hali nzuri kabisa na yenye mvuto mkubwa.picha zake zitawekwa hapa soon. Kama unataka maelezo zaidi nicheki kwa:0714652377 au 0768224663
  6. H

    Sheria na miongozo ya utumishi wa uma inasema nini kuhusu mshahara wa mwajiliwa akiwa masomoni?

    Nakushukuru sana kwa kuniwekea hii standing order niisome.God bless you for your kind support.
  7. H

    Sheria na miongozo ya utumishi wa uma inasema nini kuhusu mshahara wa mwajiliwa akiwa masomoni?

    Wadau hivi sheria au miongozo ya wizara ya utumishi inasema nini kuhusu mshahara wa mwajiliwa wa serikali pindi akipewa ruhusa na mwajili wake ili ahudhurie mafunzo ya muda mrefu shuleni?Je hana haki ya kupata mshahara wake?kama anapata je ni full salary au asilimia fulani tu ya full salary...
  8. H

    Ipad ina vitu gani special?

    Wadau nikiri kuwa niko nyuma kidogo kuhusu kuifahamu ipad.naomba anayetumia kifaa hiki anipe shule kidogo kuhusu mambo mbalimbali yanayopatikana kwenye kifaa hiki.
Back
Top Bottom