Search results

  1. Waga

    Naomba kufahamu wasifu wa Aron Kagurumujuli, Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni

    UJINGA NI PALE MNAPOACHA HOJA ZA.MSINGI NA KUANZA KUMJADILI MTU. KAGURUMJULI HE'S EDUCATED ENOUGH NA ANA EXPERIENCE YA NGUVU, USIFIKIRIE ALIIBULIWA TU. CHAPA KAZI JENGA NCHI YAKO SIO KUTAKA KUJADILI WATU ALAFU MWISHO QA SIKU MNALALAMIKA VYUMA VIMEKAZA SIJUI NINI KUMBE NI UJINGA WENU WENYEWE
  2. Waga

    CHADEMA watua ICJ, kupeleka mashitaka ya uchaguzi Mkuu

    Mkuu kawadanganye wengine mi sidanganyiki; huyo malya jana alikuwa anakula batabpale 777 mpaka saa tano na nusu usiku mi naondoka ye yupo pale alafu unasema ameqasilisha hizo paaper jana duh.. Feom dar to amsterdam ni 9 hrs kwa hiyo unataka kunambia alien ndoka juzi akawasilisha huo ushahidi...
  3. Waga

    Masasi: Nyumba ya mbunge, magari 20, trekta vyachomwa moto... Watu wawili wadaiwa kuuawa!

    Nimewahi kufika masasi na nikakaa kwa wiki moja na nusu, sikutegemea kama vijana wa kule wanaweza wakafikia hapo mana sifa yao kuu niliyoipta kule nilibakia midomo wazi sasa leo nimeamini kuwa umzaniaye siye.............?? Nanjilinji hiyo
  4. Waga

    Jairo apokewa kwa mbwembe wizarani, aelekea Ikulu na Ngeleja

    Thread nyingine zinafurahisha mweh
  5. Waga

    Zitto Kabwe aomba Bunge lisimamishe shughuli zote juu ya Jairo!

    Nyie pigeni kazi kutafuta mkate wenu wa kila siku, mkikaa hapa kuhangaika na Jairo au Pinda au Luhanjo au Ludovic mtamaliza muda wenu buree na msipate lolote la maana. Ngoma ndo ishawekwa uwanjani kazi iliyobaki ni sisi kuicheza au kuikacha lakini hapo hakitabadilika kitu wataendelea kula vyao...
  6. Waga

    Ng'hily Kuhojiwa na Police Kanda Maalum

    Malumbano mengine yanapoteza mvuto wa jf mweh.... Hebu jaribuni kutoa hoja zenye kufikirika na si upuuzi mnaouleta kwenye hii post yenye maana kubwa kwa maisha ya watanzania. Pole sana mkuu mungu ni mwema siku zote hakika utayashinda majaribu kama kristo alivyoshinda. All the best bra
  7. Waga

    Hatimaye Mbowe apewa dhamana

    kweli siasa ni mchezo mchafu mweh
  8. Waga

    Ya Polisi na vyama vya siasa Tanzania

    Acid u gotta it right mzee hawa watu wanajisahau sana see, hivi polisi wameshindwa kugundua kuwa hawawawezi watu wa Arusha? ni vyema wakatafuta njia nyingine kuliko kuharibu namna hii sasa mji wa kitalii wanaufanya uwanja wa vita kweli mweh? naanza kuona the way watalii watakavyoiogopa Arusha
  9. Waga

    Elections 2010 Nani kuukwaa uwaziri mkuu?

    Waziri Mkuu ni Pinda jamani jina halijabadilika
  10. Waga

    Elections 2010 Nani kuukwaa uwaziri mkuu?

    Waungwana waziri mkuu jina halijabadilika Mizengo Peter Kayanza Pinda ndiye waziri mkuu kwa miaka mingine mitano, source ni za kuaminika
  11. Waga

    Elections 2010 Nani kuukwaa uwaziri mkuu?

    Wacha uongo hizo habari ulizozipata wewe kutoka huko dodoma si sahihi... kwa taarifa yenu jina halijabadilika Pinda Mizengo kanda Peter a.k.a mtoto wa mkulima anaendelea na uwari mkuu kwa kipindi kingine cha miaka mitano kama utaendelea kuamini hivyo basi sikilizia hiyo saa kumi na moja
  12. Waga

    Ephraim Kibonde Jahazi Show

    KIBONDE am sure unapita humu sasa hebu angalia unavyojiharibia mweh yaani sijui ni mtu wa namna gani wewe.. SHAME ON YOU.... Wacha kujipendekeza
  13. Waga

    Elections 2010 Waraka wa Lowassa kwa vyombo vya habari

    Lowasa ni nani asiyejua kuwa wewe ni FISADI? Ni nani asiyejua kuwa unamr...............de mama Batilda Buriani?? ukianza kukanusha hapa kuwa haukuwa Arusha kusaidia huyo dada ashinde utafanya watu waanze kumwaga data nyingine nyeti zaidi, watu wamekuchoka watu hawakutaki ni vyema ukatuymia hizo...
  14. Waga

    JK aumbuka - Mdahalo wake

    Nimeipenda hii kaka
  15. Waga

    Wana CCM naomba mhalalishe picha hizi

    Kaka The boss post yako ya kwanza umeboa kwa kweli na ulipaswa kuomba radhi kwa wanajamvi naa hata hao uliowatukana maana wapo dad zetu pia kama si mama zetu, kumbuka unyanyapaa si kwa wagonjwa wa ukimwi tu hata hiyo post yako inanyanyapaa kwa namna moja au nyingine, kumbuka alichokifanya mwana...
  16. Waga

    Heri ya Noel 2009 na mwaka mpya 2010!

    Binafsi nimeshazoea kuona ukurasa huu wa JF unabadirika na kuwa na mandhari nzuuri kabisa wakati wa sikukuu kubwa kama x-mass au Eid sasa leo tar 24 sioni changes za aina yeyote ile au wenzetu mmeenda likizo?? Merry Christmas JF Mods na Members wake wote.. Mungu awatangulie kwa kila jambo
  17. Waga

    Zitto apendekeza Dowans itaifishwe; Serikali yapinga! Mgao waendelea...

    Keli demokrasia imekuwa doh, sikutegemea kama Zitto anaweza kuja kupingwa namna hii kutokana na umahiri wake wa kutetea taifa na kutokana na uaminifu aliojijengea miongoni mwa wananchi, haya Zitto Kabwe naamini unaingia humu ndani kazi kwako kupima maoni ya wanajamvi.
  18. Waga

    Taarifa ya daktari wa rais

    Wewe hapo na watanzania wengine... kwani huko Jamaica anaenda kucheza samba au? grow up...
  19. Waga

    Taarifa ya daktari wa rais

    Haya dada nashukuru kwa maoni yako ila kumbuka kuwa kunguru mwelevu......... akisema mwache upeo wake ndo umegota hapo sasa ukianza kumwaga cheche na akina GT watakuja hapa then tutapotosha maana halisi ya hii thread. Thanx
  20. Waga

    Taarifa ya daktari wa rais

    Ahsante kaka
Back
Top Bottom