Search results

  1. Catherine

    men watches

    where can i get them? anybody doing this business..............
  2. Catherine

    Tatizo ni nini hasa? - wanaume na wanawake tujadili

    mtindo wa maisha tunayoishi una impact kubwa sana.
  3. Catherine

    Mke wangu ananilazimisha kulala bila nguo

    nafikiri wapaswa timiza hitaji lake badala ya kulalamika. hata kama uume wako utakuwa ndani yake bado waweza kuwa na nafasi ya kujifunika shuka au blanket
  4. Catherine

    Jhpiego kiini macho cha ajira

    yes plz, can i send u PM au hata hapa panatosha?
  5. Catherine

    Tuna watoto 4, wote kwa operesheni, mimba ya 5 (na mke alishafunga kizazi)

    pole sana mtoa mada, fata ushauri wa dakatari, inawezekana pia mtoto akazaliwa salama tu. kuua kiumbe kama wengi walivyoshauri naona kuna ugumu. pengine mungu amesikia kilio chenu cha mtoto wa kiume na ndio huyo amewapatia.
  6. Catherine

    Utaratibu wa kura ya wazi haukuwa fair na free

    kura ya wazi ina kuoneana aibu na hicho ndicho wanachokitaka wao ili litimie walitakalo. ya siri kila mtu atafata matakwa ya moyo wake.
  7. Catherine

    Jhpiego kiini macho cha ajira

    unanitisha heaven mpaka najiskia kuhairisha interview yao. nisije poteza muda na nauli yangu. ukizingatia natokea mkoani.
  8. Catherine

    Jhpiego kiini macho cha ajira

    ilikuwa post gani ndegeya?
  9. Catherine

    Jhpiego kiini macho cha ajira

    na mimi unipm nipate abc.. nisije nikaangukia pua.
  10. Catherine

    Jhpiego kiini macho cha ajira

    that's not true. i know nobody na wameniita kwenye interview. too bad nshasahau hata niliomna post gani na sijui wanajihusisha na nini. lol
  11. Catherine

    Jhpiego kiini macho cha ajira

    interview zao zipo vipi viongozi? wameniita jtano. sikumbuki hata post niliyoapply.
  12. Catherine

    Asha_Rose Migiro ndiye tegemeo la JK kwenye katiba mpya?

    unaweza ukafail mara 99 ila ila ukajaribu tena mara ya 100 ukafanikiwa. acha mama apewe chance, anaweza kuwa bora ukilinganisha na hawa vilaza wengine.
  13. Catherine

    Mijadala ya siasa maofisini

    ukome kama ulivyokoma kunyonya ziwa la mama yako.
  14. Catherine

    Mijadala ya siasa maofisini

    ni kweli nilichosema, nipo jukwaa la siasa maana huku naona atleast kuna watu naweza jadiliana nao mawili matatu au naweza kusoma tu na kuona nini kinaendelea ila kwa hapa ofisini hawana habari na siasa. kazi njema na kwako ingawa nimechelewa kujibu.
  15. Catherine

    Mijadala ya siasa maofisini

    sasa kama business nayo ni siasa kwanini umenipa pole?
  16. Catherine

    Mijadala ya siasa maofisini

    dah!! hapa kwetu tunawaza business tu. hatuna habari na siasa wala muda nao.
  17. Catherine

    Watanzania wenzangu naomba msaada wenu, Tanzania ni nchi ya aina gani?

    ni nchi ya mitumba nafikiri. mdogo mdogo tu tutafika.
  18. Catherine

    Namuhitaji sana,lakini sina uhakika kama nampenda!! advice me plz!.

    tulia nae, pengine utaanza kuona mazuri yake na hivyo kujikuta wampenda taratibu taratibu. kila la heri.
Back
Top Bottom