Search results

  1. M

    Swali kwa Pasco wa JamiiForums na wapambe wenzake kuhusu mtu wao anayetaka kwenda Magogoni

    Mikael. Pasco hajaishia mitini safari hii kajitosa bahari ya hindi.
  2. M

    Kuna dalili za kuridhisha kuwa katiba inayopendekezwa itapigiwa kura?

    Kama kawa si ndo zao? We mgeni hapa Tz?
  3. M

    Kuna dalili za kuridhisha kuwa katiba inayopendekezwa itapigiwa kura?

    Umeshaona eeeh. Vifaa vya tume ya uchaguzi vitacheleweshwa makusudi ili ifikapo april kura ya maoni isiwepo. Lakini hawatakwepa dharuba hii hata waahirishe tufanye baada ya uchaguzi mkuu. Tena kipindi hicho ndio mbaya zaidi.
  4. M

    Swali kwa Pasco wa JamiiForums na wapambe wenzake kuhusu mtu wao anayetaka kwenda Magogoni

    Mikael, hili swali lako ni gumu sana kwao tutawasubiri sana hawatakuja. Sana sana utaona watahamisha hoja . Hebu tusubiri tuwasikie.
  5. M

    Mishahara na posho za madiwani

    Inawezekana walengwa hawakuiona ila imeonekana leo. Sio ajabu. Ila historia ys jamii forum inaendelea kujiandika hakuna thread ambayo haina mjadala hata baada ya miaka 5
  6. M

    Mishahara na posho za madiwani

    Nzovwe tupe source ya taarifa yako .Mimi ni mmoja wa madiwani manispaa hapa nchini. Umepata kwa nani hii taarifa?
  7. M

    Mishahara na posho za madiwani

    posho yao kwa mwezi ni shs 250,000. Posho ya vikao ni shs kati ya 40,000 mpaka 80,0000 kutegemea na halmashauri kwani inategemea mapato ya halmashauri husika
  8. M

    Jinsi CCM inavyonyanyasa watanzania

    NEPI NENE Wakija huku utafikiri mbogo aliyejeruhiwa hao uliowataja.Wana faida kubwa sana wanapata toka ccm na wako tayari kushinda huku JF.WASUBIRI
  9. M

    Utajiri wavunwa CHADEMA: Tsh 1mil kwa kikao?!

    Naaamini umetoka kuota mara ulipopata lunch ya bk 7 za Lumumba.Ulilala mbele ya key board au kwenye gari?
  10. M

    Tathimini: Majimbo na kata zinazoongozwa na CHADEMA wamepata maendeleo gani?

    Mkuu tembelea Manispaa ya Moshi ndio utajua kweli CHADEMA wanafanya kazi ndani ya Halmashauri yao.Kwa muda wa miaka mitatu tu wamepandisha mapato yao toka bn 1.7 ilyokuwa inakusanywa na ccm hadi Shs b 5.0 mwaka ujao wa fedha.Wamerudishia barabara asilimia 60 ya barabara za lami mpaka sasa.Kwa...
  11. M

    Dr. Slaa - marufuku kusafirisha malighafi nje ila products CHADEMA ikiingia Ikulu

    We ndo unazeeka vibaya ila sijui umri wako.Inawezekana kabisa analosema Dr Slaa.Ili kuongaza ajira tunatakiwa kuanzisha viwanda vya kutengeneza nyuzi kutokana na pamba na nyuzi hizo zitengeneze vitambaa na kuuza nje kama nyuzi au vitambaa.Vivyo hivyo kwa Tanzanite tuwe na kiwanda cha kusafisha...
  12. M

    CCM mfukuzeni uanachama Lowassa vinginevyo mtajikuta mmechelewa sana

    Mkuu taarifa yako inatia shaka kidogo.Siku alipokuwa na sherehe hiyo Mh Philemon Ndesamburo alikuwa Moshi.Au yawezekana mtu kuoneana seemu mbili tofuti kwa wakati mmoja?
  13. M

    CCM wanunua shahada bandia za kupigia kura Moshi

    Ukiona ni porojo sina haja ya kubishana lakini ukweli uko palepale kuwa wameshalizwa na fedha imeliwa tayari na walengwa watapiga kura kama kawaida.
  14. M

    CCM wanunua shahada bandia za kupigia kura Moshi

    Ndugu wana JF, Katika manispaa ya Moshi katika kata ya Kiborloni kutakuwa na uchaguzi mdogo baada ya Diwani wa kata hiyo ambaye pia alikuwa Naibu Meya wa Manispaa Bwana Vicent Rimoy kufariki.Uchaguzi huo utafanyika tarehe 9-2-2014. Inavyoelekea mpaka sasa CCM wameelemewa kiasi cha kukosa kabisa...
  15. M

    CCM leo ni leo Ngusero Sombetini

    CCM bado wapo waliobakia Arusha? Moshi kata ya Kiborloni ccm wakipata kura 100 wana bahati sana.
  16. M

    Vodacom ni MATAPELI

    Ukweli hawa jamaa ni wezi nilijaribu kujiunga n kifurushi cha sh 400 na nilipopiga simu ya kwanza tu kwenda mtando huohuo wa voda.Nilpomaliza kuongea tu nilipokea sms ikiniambia kifurushi changu cha kupiga mitandao mingine kimekwisha.Imeshanitokea mfululizo wiki hii nzima mpaka nimeamua kujiunga...
  17. M

    PICHA:Lissu katika mkutano wa Chadema kata ya Kiboriloni.

    Tusaidieni pia na picha za kampeni ya CCM maana nasikia walikuwa eneo linaloitwa kwa Lucy na alikuwa na watu wasiozidi ishirini na walikuwa ni wageni toka mjini na Majengo.
  18. M

    Je CHADEMA hawana watetezi wa chama Mikoani mpaka akina MBOWE, SLAA na LISSU wanazunguka kwa CHOPA?

    Ziara za Kinana na Nape zilikuwa za nini wakati mna uongozi kwenye mikoa na wilaya mpaka kwenye vitongiji?Kweli operation hii intawatesa sana POLENI MNO
  19. M

    Hivi ni kweli kwamba kamati kuu ya chadema haikuwa ikifahamu haya???

    Mtataabika sana kwani ni haki ya mtuhumiwa pia kuchukua maamuzi ya maandishi ili akakate rufaa katika mamlaka ya juu. Kama hata maamuzi hajayachukua na hajonyeshaa nia ya kukata rufaa kamati kuu ingeota kuwa anataka kukata rufaa?Ni nani aliyemzuia kukata rufaa?Alijua wazi kosa lake ni kubwa hata...
Back
Top Bottom