trouble Big Baba one coin ni digital currency, maarufu kama cryptocurrency ni fursa ambayo imebadilisha ulimwengu wa fedha ila imepokelewa kwa mitizamo tofauti.
One coin can be exchanged whereby real money is swapped for a coin at the current exchange rate or vice versa. We have personal...
Bei ya one coin moja ni shilingi za kitanzania 31,000/, ila nimeamua kuuza kwa bei ya offer 25,000/. Kwa anae hitaji tuwasiliane kwa simu no 0657 22 44 25.
Coin ziko 1000, (25,000 * 1000) 25,000,000/tsh mazungumzo yapo.
Tuwasilianae kwa namba ya simu. 0657 22 44 25.
Mkuu steveachi ndio maana nimeomba msaada hapa jukwaani,
nakusanya kiasi chochote mtu alicho nacho au taasisi yoyote ya kifedha.
BoT sidhani kama wataniruhusu mtu binafsi.
Naomba msaada Wakuu,
Kiasi hicho tajwa cha fedha nakihitaji ndani ya Mwezi huu wa 6, nanunua kwa shilingi ya Kitanzania au dollar ya kimarekani USD.
Shukrani
regnaldshirima
Mkuu tumia technology kujikwamua, kama uko na mawe hayo yapige picha ibandike hapa wataalam watakupa mwongozo na zaidi masoko. Kama ni ya kijani yamkini ni green tourmaline soko lake kubwa ni wahindi wa mtaa wa chipata na sikukuu.
Rough Uncut green tourmaline.
Nyenyere
Mkuu ni wilaya gani hapa Mororgoro?
Je wewe umefanikiwa kuuona mwamba wenyewe au amekuletea sample tu?
Mimi pia nina biashara ya Copper Ore zaidi ya tani 50, average content 35 to 40% nahitaji mnunuzi kuanzia tani moja kwenda juu. Imechimbwa na iko packed ready for shipping au further...
Tanzania Foods and Drugs Authority fanyieni hili kazi achaneni na Carolight. Hata lamba lamba na maji ya matunda ya mzee wetu hapo mmeyafungia macho wakati mnajua yana madhara kibao.
No mkuu, nafikiri anamuongelea huyo anaendeesha loader ya caterpillar video ya kwanza juu. Huyo dogo ni wa kwa mzee Dalai Lama kutoka Tibet, A true Mongolian Blood born as a fighter, raised as a warrior.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.