Search results

  1. Mgoyangi

    Mahakama yaamuru jengo karibu na Ikulu lipunguzwe urefu

    Nataka kujua gharama halisi za jengo lenyewe, umiliki wake na kwamba matumizi yake yangekuwa na manufaa gani ikilinganishwa na usalama wa Ikulu.
  2. Mgoyangi

    TCRA yaiamuru Star Tv kurudi Star Times kabla ya 10 jioni leo!

    Lakini mwenye leseani ni nani? NI star Times ama Star Media! Maana tuhuma ni kwamba Star Times anafanya kazi bila leseni!
  3. Mgoyangi

    TCRA yaiamuru Star Tv kurudi Star Times kabla ya 10 jioni leo!

    Hivi kwa nini huwa mnawachukua wafanyakazi wa TCRA kuwapeleka China kutembelea makao yenu makuu wakati ni wafanyakazi hao hao wa TCRA ni nadra kwa wao kutembelea vyombo vya habari vya hapa ndani. Kwa nini hii siyo rushwa, nasikia wengine hawajarudi bado wako China wanawatembelea. Lakini hivi...
  4. Mgoyangi

    Star TV na ITV kujitoa rasmi Startimes muda si mrefu!

    Ee Bwanae, Tumefika hapa kwa sababu "Refa kashindwa kazi, kavaa jezi na kuwa wa 12 katika moja ya timu zinazokinzana" Star TV wamewaambia waandishi wa habari leo. "Uliza ni watumishi wangapi wa TCRA wameenda kutembelea makao Makuu ya Star Media huko China, na hata wengine hawajarudi''...
  5. Mgoyangi

    Mkutano wa CCM Kizota, Novemba 11-13, 2012

    Unaweza kuangalia moja kwa moja Radio Free Africa Tanzania*|* STARTV LIVE
  6. Mgoyangi

    Mkutano mkuu wa CCM 2012 umekosa mvuto

    Angalia hapahttp://radiofreeafricatz.com/startv-live/
  7. Mgoyangi

    Mkutano wa CCM Kizota, Novemba 11-13, 2012

    Unaweza kuangalia Star TV live kwa ku stream Radio Free Africa Tanzania*|* STARTV LIVE popote penye mtandao wa Internet.
  8. Mgoyangi

    Nafasi ya kozi za madini

    NAFASI YA CHUO KWA WAHITIMU WA KIDATO CHA NNE/ SITA Contacts: Lemburis Kivuyo 0755646470 NDALA, SHINYANGA: PLOT NO. 91, BLOCK HH Postal Address: P.O. Box 1016, ShinyangaWebsite: Email: info@esis.ac.tz, www.esis.ac.tz Press release The general public is hereby informed that the first...
  9. Mgoyangi

    Mzee Musobi Mageni hatunaye tena

    Mzee ameaga dunia akihitajika. Rafiki yangu alikuwa amepanga kufanya naye mahojiano kwa ajili ya kipindi cha TV, lakini naona kamkosa. Niliwahi kuongea naye kuhusu siasa za Vyama vya siasa, alilaani sana kusahauliwa kwa wazee katika vyama hivi. Aliwahi kusimulia pia jinsi alivyoteuliwa kuwa...
  10. Mgoyangi

    Majoho UDOM

    jamani naomba kujuzwa! Je ni kweli na sahihi kwa UDOM Kutoza sh. Laki na nusu kwa kukodi joho? Natanguliza shukurani
  11. Mgoyangi

    Mbeya bingwa Taifa cup

    Bao la Mkono na lilikuwa wazi kabisa. Mfungaji alikuwa na faulo mbili kabla
  12. Mgoyangi

    Usomi wa Slaa una maswali kuliko majibu! Doctarate yake ni ya Kupewa - Kigwangala

    Baada ya kusoma uchambuzi wa Kigwangala kwenye -- kutoka wanajamii, napata hoja kuwa Slaa anapaswa kujibu na kujieleza kuhusu usomi wake -- unaodaiwa hapa chini kuwa ni wa kitaa. Ajibu ama vinginevyo hana tofauti na usomi wa akina Salmini Amour na Mugabe na kama ndiyo kweli hana hoja za...
  13. Mgoyangi

    Bhoke na kurudi kwake kutoka BBA

    Nasikia Star TV watakuwa hewani kwa matangazo hayo
  14. Mgoyangi

    CCM kujivua ‘gamba’ Dodoma

    ukienda kwenye you tube vhdeo utamuona mdudu triop wa kwenye majaruba ya mpunga akipitia hiyo hatua! Ila madhani ni lugha ya picha ambayo ccm kufikisha ujumbe wa walichodhamiria. Ni mapema kuwahukumu! Mengi ya yaliyotokea zamani kama azimio la Arusha, tujisahihisha. Tathmini ya miaka kumi ya...
  15. Mgoyangi

    Wimbo wa Vicky Kamata "Sikumbuki kuku" una maana gani?

    Ni wimbo tu shusheni pressure'
  16. Mgoyangi

    Ndoa; bwana age 79 bi arusi 31

    Napita hapa shinyanga na muda huu nakuta mzinga arusi, Bwana arusi umri miaka 79 na ni mhubiri na bi arusi afisa mmoja wa serikali. Imefana na waungwana wanashangilia ile mbaya. Kwa wazungu huwa style hii maarufu. Hapa uzoefu ukoje?
  17. Mgoyangi

    JamiiForums Issues an Official Responce to CCM allegations: (Press Release)

    kufikiwa kwa madai haya ni ishara kuna watu wanaoiona jf kwa mtazamo huo! Wanaweza wasiwe sahihi lakini itambulike kuwa wapo! Inawezekana wanashawishika kuwa na mantiki hiyo kutokana na pengine colour tone ama mwelekeo na density ya michango dhidi yao, hii ikawa fallacy kuihukumu jf. Bado...
  18. Mgoyangi

    Majina ya Kisukuma

    kuna mwingine anaitwa LUJA. Mwingine MATANGO A GILIGITA yupo pia nchimani, na manyakenda
  19. Mgoyangi

    Nguvu ya umma itumike kuchukua TBC mikononi mwa Mafisadi

    Hebu jaribu star tv saa 4.30 usiku star tv
  20. Mgoyangi

    TV zetu Zitatusaidia katika Mchakato wa Kupata Katiba mpya?

    Nimeona kama star tv watarusha mjadala wa Dom kuanzia saa 4.30 usiku! Kuna mtu anasema ni baada ya Bunge kuzuia kwenda live! Labda halikutaka fujo ziende live
Back
Top Bottom