Search results

  1. S

    Usiyoyajua kuhusu Mkurugenzi mpya wa (TCRA) Dk. Ally Simba

    Siku hizi "Mashoga" nao wameongezeka....! Wala sishangai...😡
  2. S

    Tanzania yaongozwa na Katiba ya CCM au Katiba ya nchi? Kikwete aiogopa CCM?

    Hii inadhihirisha sasa kwanini hakuwawajibisha hawa watu tangu enzi zile za kashfa za kina Jairo na Waziri wake, and the list go on and on..... Wazo langu, ni kwamba urafiki, uchama n.k unafanya aogope kuwawajibisha kwa kuwaonea haya machoni! Kwamba rafiki zangu hawa sasa nitawaaambiaje? Hiki...
  3. S

    Maajabu ya daraja la Kigamboni!

    Jamani, hivi hili swala la Ujenzi wa DARAJA LA Kigamboni, ni siasa za chuki za CCM dhidi ya CUF ama ni nini? Kwanini wananchi walipa kodi waeendelee kuteswa na kunyanyaswa kasasababu ya kiitikadi nadhanni sio fair! Vivuko vilivyopo, ni pressure tupu. kila siku vibovu! Wanasubiri mpaka vipate...
  4. S

    Kubenea Na Mwanahalisi Waombe Radhi

    Yaani kweli wewe umeshikishwa! Unawezaje kuandika mambo haya yasiyo kuwa na hoja? Inasemekana kunawatu wameshikishwa kusafisha WATU nadhani nawe ni mmojawao! Zungumza kwa hoja bwana!
  5. S

    Maajabu ya daraja la Kigamboni!

    My good Tanzania Citizens, my adorable Dar Es Salaam residents, and my Bad Government, do you really tell me that Government of Tanzania failed to build a bridge to Kigamboni? Unataka kuniambia kweli hata wameshindwa kuyapa makampuni mengine binafsi zabuni ya kujenga daraja la kuunganisha...
  6. S

    Who is MIZENGO PINDA? (private & Public)

    Kwangu mimi ninaona atakuwa mtu safi, sijui labda huko jimboni kwakwe...Hata hivyo mhe. Rais hawezi akachagua uozo wakati tayari kuna scandal kali kama hiyo iliyo kwisha toke... Sijui,... jamani chimbeni...Who is Mizeng/we/o Pinda?????
  7. S

    Ripoti ya Richmond Bungeni (FULL TEXT) na yatokanayo

    Jamani msimsahau na Mhe. Agustine Lyatonga Mrema, nae alichukua hatua kama hii, na inawezekana zaidi, ya kuaniaka madhambi aya Chama tawala na kujiuzulu... (The motive known by himself!)
Back
Top Bottom