Search results

  1. K

    Madaktari fungueni mashataka haraka -Arusha UN au Uswis

    Jamani mbona hamkutushauri nasi wananchi tuwashitaki madaktari wakati nasi tunaendelea kuwapoteza wapendwa wetu au nyinyi hampotezi wa kwenu didnt you depend on their services? au nyinyi mnatibiwa india? vip kuhusu wakina mama wanaosubili kuleta watoto wao duniani au uchungu nao usubilie mgomo...
  2. K

    Tusidanganyane: Kipigo cha Ulimboka Serikali ilihusika

    Bora ulivyojihami kuomba kukosolewa mimi raia lakini nimeona kabisa kuwa nawe ni mmoja kati ya uozo wa jk ndio mnao mfanya anaonekana nchi imemshinda si mnafundshwa maadili au?
  3. K

    madoctor na hawa tunaowaita mafisadi wana tofauti gani???!!!tafadhali soma hii!!

    Mmmmmmh ndugu yangu mimi na wewe wish yametukuta haya nimezungushwa temeke mpaka nimepoteza kipenzi changu kwenye mikono yao story nyingi tena za bar walikunywaje na wali spend vipi walivyoona nimepoteza mtu ndo wanajishaua kama kufuli la kichaa nashangaa wanavyoishambulia serikari wakati...
Back
Top Bottom