Search results

  1. S

    Dar es Salaam - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Nyakasagwe Wazo Mpaka sasa kura haziaanza kupigwa watu wengi sana kwenye foleni
  2. S

    What is Alibaba and how to avoid illegal suppliers there

    Hata hapa kwetu kuna matapeli wanajiita kaymu pia
  3. S

    TSN vs Athumani Hamisi

    mbali na yote hayo kuna issue ya muhimu ya kutafakari hapa je nini nafasi ya mifuko yetu ya social security katika hili? Tulitarajia wabuni mafao kusaidia wanachama katika hili na sio kucheza na michango yetu.
  4. S

    Ofa kumalizia mzigo iphone 4 na ipad2

    Mzigo bado upo?
  5. S

    7" Android 2.3 MID Tablet PC for Sale

    vipi mkuu inatumia sim card ?
  6. S

    Mjadala: Kero za michango ya Sherehe katika jamii ya Watanzania

    nimondoka katika minyororo hiyo ya kuchanga harusi . kwani ni lazima?
  7. S

    Bata Mzinga

    mimi ninao bei kuanzia 120,000 pungufu naongea
  8. S

    Ni benki gani yenye huduma mbovu zaidi?

    Mimi nimechoshwa na huduma za Exim. Walianza vyema sasa wanaboronga ATM mbovu kila siku, wanaiba hela za wateja, customer service mbovu sijawahi kuona nahisi either hawalipwi vizuri au wanalazimishwa kufanya kazi maana mpaka wanakutukana
  9. S

    NBC: This is not fair!

    Nadhani kuna gap kubwa sana kwa upande wa regulator ( BoT) especially katika kuchukua maoni ya sisi wateja wa mabenki maana ni shida sana we acha hao NBC kuna kibenki kidogo cha wahind hao ni wezi kwenye ATMs BoT lazima waweke standards na sheria kali za kutulinda wateja pia
  10. S

    PICHA - Shooting ya filamu ya MY DREAMS

    Tatizo tunaiga sinema za nje na tunataka kuishi maisha tunayotamani kwenye movie , achilia mbali muozo wa quality, soundtrack na mengineyo mengi tatizo ukisema wanasema unachonga sana lakini suala ni kujenga na kutengeneza movie ambazo zitacompete there is a lot of potential in this industry...
  11. S

    Excellent Service in Bad Economy More Important than in Good Economy

    Yes I do agree with the threat However, Iam highly disappointed with poor services from Banks especially Exim bank. I will give you full details of my disappointments na jinsi pesa zako zisipokuwa salama zikiwa katika bank hiyo
  12. S

    Wana filamu kuandamana, kisa Kanumba ka-comediwa!

    dope bwoi Well said sina la kuongeza wala kupunguza. Inasikitisha sana hii inayoitwa movie industry
  13. S

    Wafanyakazi wa CRDB Meru Branch Arusha wafundishwe adabu!

    Hiyo kidogo kali zaidi ya yote ni NMB and NBC we acha bwana pesa zako mwenyewe lakini siku ukizitaka utakoma na foleni na ubovu wa ATMs na kuna wenzetu wakiingia kwenye ATM wanakaa nusu saa. bongo hii bwana ukiitimba hadi private sector
  14. S

    Sakata la Wazee EAC: Litaisha lini?

    mimi kinachonisikitisha ni kwamba utasikia rais anataka kuongea na wazee wazee hao hao ndo watakwenda na kupiga makofi na nyimbo za kumsfia kwa sana. Pamoja na hilo inasikitisha sana kuon vingozi wetu wanashindwa kushughulikia suala hili la wazee wetu kwa ufanisi mpaka yanatokea haya yote...
  15. S

    Mbaroni kwa kuwafanyia wanafunzi mitihani

    That is so bad only 20 k
  16. S

    Easy Finance matapeli?

    substantiate your claims dont just rush to conclusion without presenting your facts
Back
Top Bottom