Search results

  1. A

    Nina tiba ya kumaliza umaskini - Prof. Muhongo

    Majisifu gani mbona prof amejitahidi sana kuwa mkweli .Nadhani ni vema kukubali ukweli kuliko kutafuta sababu zisizofaa.Ingekuwa vema kusema majisifu ya Muhongo ni yapi ili watu waelewe vema.Lakini tunataka Kongozi wakutuvusha hapa kwa sasa walio tia nia Muhongo anafaa.Ila kama tunafanyia kazi...
  2. A

    Jenerali Ulimwengu: Hata kwenye upuuzi tuko dhaifu!

    Hapo ndugu unathibitisha ukweli wa alicho kiandika Jenerali Ulimwengu.Itoshe kukwambia hivyo
  3. A

    Mnyika jimbo la Ubungo umeshalikosa

    Kasome katiba ya Tanzania uone majukumu na kazi ya mbunge.Vinginevyo tutakuwa tunapoteza muda
  4. A

    Mnyika jimbo la Ubungo umeshalikosa

    Kama unadhani namtetea mnyika your wrong.Na kama unaona unajua sana how system works endelea kujua.Hakuna haja ya debate katika hili.We seburi aje ajitetee ila akili yangu finyu najua kama mwananchi unao wajibu na jukumu ya serikali inayojali wananchi kifanya hayo kazi ya mbunge kama sehemu ya...
  5. A

    Mnyika jimbo la Ubungo umeshalikosa

    Labda kama hutaki kujifunza huo ni wajibu wako kama raia yaani wewe unasubiri mbuge kupata huduma za lazima.Brother amka
  6. A

    Mnyika jimbo la Ubungo umeshalikosa

    No nilikuwa namshauri muuliza swali bahati mbaya nikawa nimereply kwako. SORRY FOR THE INCONVENIENCE CAUSED
  7. A

    Mnyika jimbo la Ubungo umeshalikosa

    Anza kwanza kujipima wewe umefanya nini kuleta maji kama huna acha excuse.Unawajibika kama raia kufuatilia maji wazara ya maji na si kusubiri miaka mitano uulize kwenye mitandao.Ila kama bado unania ya kupata maji ubungo hilo swali ni zuri sana ila umeuliza wrong person or place nenda wizara ya...
  8. A

    I am planning to sue Tigo Tanzania...Member kindly advice

    Kutumiwa ujumbe bila kuomba huduma yoyote ni makosa kisheria.Kampuni zilizo makini kwa sababu ya kukwepa kuvunja sheria wanatuma sms hizo pale unapoongeza salio,au unapoangalia salio au pale unapotumia huduma yeyote lakini kama.Meseji zinaingia tu bila kufanya chochote tafadhari fika TCRA...
  9. A

    Edward Lowassa atangaza rasmi mbio zake za urais 2015...

    Ni kweli kiongozi ila tunaowajibu wakuhakikisha kuwa tunatambua kwamba IKULU ni mahali patakatifu hivyo tupeleke watu wanaotambua vyema kuwa Ikulu si pango la walanguzi.Kwa watu makini wakitambua wamekosea linapokuja jambo walilokosea kwa mara nyingine wanakuwa makini sana kutorudia makosa.
  10. A

    Edward Lowassa atangaza rasmi mbio zake za urais 2015...

    Naweza nisiwe sahihi sana ila nadhani kuna haja ya kuona mbali zaidi katika mambo yanayohusu Taifa letu 1.Tuwe na uhakika kwamba Ikulu ni mahali patakatifu hivyo si kila anayetamani kuwa rais anaweza kuongoza nchi;2.Tuache ushabiki na tuwe realistic tunapojadili urais wa Tanzania;3.Tuache...
  11. A

    March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

    Asante mkuu,inawezakana kabisa maelezo yako yakawa sahihi au la ila ninachosisitiza mimi nafahamu fika dunia nzima hasahasa KENYA YENYEWE inatambua kwamba uchanguzi wa kenya ni wa moja kwa moja lakini ikaonekana haja ya kuwa na tume ya Uchaguzi tena iliyo huru na IKAPEWA JUKUMU LA KUFANYA...
  12. A

    March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

    Kura zilizo hesabiwa ni chini ya 26% ya kura zote kwa mtu makini,aliyesoma vizuri hesabu ya darasa la tano na mwenye busara ya kawaida tu si rahisi kusema fulani anaelekea kushinda wakati aanayeongoza ana 54.78% akifuatiwa na mwenye 40.71% katika hizo 26% ya kura zilizo hesabiwa .Pia mi nadhani...
  13. A

    CHADEMA si kimbilio la wasomi!

    Wakati mwingine si vema kuchangia kila andiko naamini andika lisilo na tija ni vema kutoa changia chochote.Tukijenga tabia ya kutochangia mada zisizo na mashiko tutawasaidia wenzetu kufikiri vizuri zaidi wakati mwingine. MI NAAMINI UKIWA BAFUNI UNAOGA KWA ZILE BAFU ZETU ZA USWAHILINI AKAPITA...
  14. A

    Zitto: Ndio ninautaka urais

    mi nadhani uraisi wa tanzania ni haki ya kila mtanzania nani atakuwa raisi ni jukumu la watanzania ni vema tukajadili hoja bila kujali imetolewa na nani.Tusipinge au kukubali hoja kwa sababu katoa fulani.Tufungue ufahamu wetu bila kujali tofauti zetukwani ardhi ya Tanzania ilikuwepo kabla ya...
  15. A

    Gazeti la MwanaHalisi lafungiwa kwa muda usiojulikana!

    Kama wanaokumbukumbuka historia vizuri utaona kinachofanywa na serikali yetu sasa ni sawa na kile kilichokuwa kinatokea wakati kuanguka Falme za wakati ule. Ushauri wangu Mwanahalisi hata ikifugiwa miaka 100 ukweli utabaki kuwa ukweli. Unafiki ni kitu kibaya. Serikali kama ingukuwa makini...
  16. A

    Kupata mahali pa kufanyia field kwa wanafunzi wa vyuo vikuu.

    wale wote mnaotoa rushwa kupata field au kazi au hakiyako yoyote.Kwangu wewe hujaelimika unacheti ila huna hujuzi usipobadilika nao utaishia kupata vitu vya dhuluma tu.Jitafakari upya matendo
  17. A

    Kupata mahali pa kufanyia field kwa wanafunzi wa vyuo vikuu.

    watu wa aina yenu ndio mmefikisha nchi hapa ilipo kwasababu hakuna rushwa kama hakuna mtoa rushwa.
  18. A

    Madaktari wenzangu: Only "Mass resignation" itawaamsha watawala!

    i suppoted you doctors.Natamani ningekuwa Dr ningeanza mimi kuresign nionyeshe njia.Mi nashauri circulate huu mchanganuo kwa madaktari wote kwa email zao simu zao na wananchi pia.Just onyesha njia kwa kuresign i tell you hata kama wenzake hwakufuata utaishi maisha mazuri kuzidi haya sasa. na kwa...
  19. A

    Dhaifu na liwalo na liwe watufikisha hapa

    nchi yetu inafika HAPA kwa sababu tumekuwa watu wa kusema tu hatufanyi maamuzi magumu.hebu tujiulize tumefanya nini kuhakikisha madaktari wanapewa haki zao?Moja ya dai la madaktari ni chanjo ambayo gharama yake ni 2700 tsh hili nalo linahitaji mazungumzo utafiti unaonesha 30% ya wahudumu wa afya...
Back
Top Bottom