Search results

  1. C

    Pictures of ongoing Tanzania's SGR construction

    Ni kweli kabisa huo ujenzi unaendelea kati ya stesheni za Mpiji na Soga kwa wanaosafiri na treni ya reli ya kati watakuwa wanaona ujenzi ukiendelea kila wanapopita maeneo hayo
  2. C

    Msaada Kuhusu OUT!

    Ndugu yangu ukiwa Open University unakuwa eligible kupewa tuiton fees na stationary tu na bodi ya mikopo hakuna boom kwa kuwa Open wanasoma kwa mtindo wa Open and Distance Learning ( ODL ) kunakuwa hakuna regular classes km vyuo vyengine
  3. C

    Usichokijua kuhusu Pacquiao

    Atumie dola million 100 kusafirisha mashabiki wakati hilo pambano bila kujali matokeo litamwingizia dolla million 99 hiyo itakuwa akili au matope?
  4. C

    Yaliyojiri, Mgomo wa Madereva wa Mabasi nchini - Aprili 10, 2015

    Ni shida wakuu nipo ubungo bus terminal naelekea mwanza hakuna basi hata moja lililotoka mpaka sasa
  5. C

    Msaada :Vocha TCU/NACTE application inauzwa

    Mkubwa watu wa Diploma wanalipia fee zao kwa M pesa hizo vocha ni kwa ajili ya watu wa form six inakuwaje huyo jamaa yako awe na vocha za NBC wakati umesema anaomba kupitia Diploma category
  6. C

    Global careers company

    Mkuu e mail ya hao jamaa ni hrtanzania.globalcc@consultant.com All the best kamanda
  7. C

    Msaada please!!!

    Wakuu naomba mwenye info wapi naweza piga kozi ya GRAPHIC & DESIGN kwa mda wa jioni saa 1 na kuendelea mda huo utanifaa sana coz huwa natoka kibaruani saa 11 wakuu nimejaribu kuulizia pale UCC tatizo mda wao ni mchana naomba mwenye info anijuze wadau
  8. C

    DC amkwida diwani katika chakula

    Nashawishika kuamini DC ana matatizo yake binafsi na CDM kama suala ni itifaki mbona alimwita diwani wa Musoma mjini na hakumkwida diwani wa TLP wote hao si madiwani ukizingatia DC alikuwa mbunge wa MBEYA MJINI kabla ya kushindwa na SUGU
  9. C

    Bodi ya mikopo mwaka huu 2012/2013=msiba

    Wa2 wanachanganya mambo kama una div1 kwa mvulana na div1&2 kwa msichana unapata mkopo bila wacwac ila km una matokeo chini ya hapo na umedahiliwa hapo ndipo suala la vipaumbele huangaliwa maana yake hata kma una div3 but umekuwa admitted kwenye hizo course zenye priority utapata mkopo kwa...
  10. C

    Kwa wale wa jeshi tu

    sawa mpalu kuna tofauti kubwa kati ya JKT na JWTZ hivyo ni vizuri uwe specific unazungumzia nn
  11. C

    Kwa wale wa jeshi tu

    Jipange upya kaka hakuna kambi ya mafunzo ya recruit ya JWTZ KIGOMA recruit hupitia MAKUTUPORA na DSM kwa PROFESIONAL ukiniambia umepata nafasi ya JKT ntakuelewa haijawahitokea wa2 kuandikishwa na kupangiwa kikosi direct usiwarushe roho wenzako
  12. C

    Sijui nimenusurika!!!!

    Huyo dogo kama alifanya mtihani ina maana jina,index no. na matokeo yake ya awali yatakuwa kwenye data base ya NECTA hao waliomfojia cheti wanaweza kuwa wame2mia jina na index no yake ila matokeo sio yale yaliyoko NECTA au kama hawaku2mia jina na index no yake ndo mbaya zaidi point yangu ni...
Back
Top Bottom