Search results

  1. T

    Prof Tibaijuka: Mafuriko ya Rufiji hayajasababishwa na Ujenzi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere ila limeshindwa kuregulate mafuriko!

    Soma vizuri heading. Mwisho kuna alama ya kushangaa. (!) usipokuwa mwangalifu, utafikiri kuna contradiction
  2. T

    Mabadiliko ya sheria ya mafao ya retirement benefits act, (cap. 225)

    Mpakà akiri itukae sawa tutakuwa tumekwisha. Walioko jikoni wanajipakulia na kushiba kwanza. Hao wengine watajijua. Nasubiria kusikia machawa wa CCM kama watafutahishwa na hili!
  3. T

    Barua kwa vijana wetu (Dear Vijana)

    Vijana waache kutumia muda mwingi kwenye ushabiki wa mipira na miziki. Angalia wakati unatafuta fursa, wewe usije geuzwa fursa. Msipende kukimbilia kazi rahisi. Nafasi za kisiasa, u ubunge. Tafuta kazi za kutumia akiri na nguvu
  4. T

    Enyi wanawake acheni ligi na wanaume mtaumia

    Bwashee hii ni story kama story nyingine. Najiuliza haya matukio kufuatana Ni kosa kumpiga mwenye frem amekuja kukudai 2. Mwenye frem ameisha kimbia, kwa nini umfuate mpaka kwa jirani. 3. Umevunja drier yake ambayo amepata kwa mkopo, na wewe unataka umlipe nusu. Nusu nyingine atoe wapi? 4. Hiyo...
  5. T

    Sababu za kutokuendelea kwa Jiji la Mwanza

    Kweli Mwanza miundbinu ni shida, hasa barabara. Ila Dar shida kubwa uchafu - nenda soko la Buguruni huone. Mafuriko na usafiri. Bora kuishi Mwanza
  6. T

    Lipa namba ya VODACOM 5757565 rudisha pesa yangu

    Lakini Vodacom wanaweza lukwambia ni nani na Yuko wapi.
  7. T

    Muitikio hafifu wapiga kura chaguzi za ndani CHADEMA nani alaumiwe?

    Hata Uchaguzi mkuu kwani wangapi wanapiga kura? Mazoea ya kuiba kura yaliharibu mudi ya wapiga kura
  8. T

    Mwarabu wa Dubai, Emirates National Group (ENG) wapewa kazi ya kuendesha Mabasi ya Mwendokasi

    Kinacholalamikiwa ni serikali kushindwa kuendesha mradi mdogo wa mabasi ya Dar. Kwa hiyo na kuendesha nchi watashindwa!
  9. T

    Je, wabunge watakaoshinda kupitia CHADEMA 2025 watagomea mshahara wa Milioni 18 kwa mwezi?

    Muulize mleta mada, hii inchi ni yetu sote, Kila mtu anayeumizwa na tatizo hili ni jukumu lake kutafuta namna ya kulitatua. Kwa kuwa ameliona tatizo na anafikiri wa kulitatua ni chadema, basi naye ajiunge na chadema, agombee ubunge, apambane na kukataa wizi huu.
  10. T

    CDF Mabeyo amepasua masikio yetu, pata madini ya Askofu Bagoza

    Usimlaumu Nyerere, hiyo ilifaa kwa wakati huo. Walaumu wasiopenda kuibadili iendane na wakati. Mbona mengi aloacha wameyabadili!
  11. T

    Martin Maranja Masese amchambua Hayati Magufuli (JPM) mwanzo mwisho

    Viongozi wa dini yangu ya RC, wasome mwanzo mwisho, wajikumbushe aliyofanya huyu jamaa. Hakuna la kutungwa hata moja. Hiki walichofanya Jana, ni kuhamasisha Viongozi wengine watende aliyoyatenda mwenda zake. Naipenda dini yangu ya RC, lakini kwa kilichofanyika Jana, siungi mkono!
  12. T

    Ujenzi wa Daraja la J.P Magufuli (Kigongo-Busisi) wafikia 85%

    Si ni Kodi yake, shida Iko wapi?
  13. T

    Mapdri Mwanza watangaza siku ya kufanya maazimisho ya kumkumbuka Magufuli

    Wanaonyesha level yao ya kufikiri ndani ya box. Warejee waraka wa kwarezima wa baraza la maaskofu katoliki. Warejee aliyofanyiwa askofu Niwemugizi, warejee aliyofanyiwa muumini wao wa Singida TL. Kwa nini wafanye kama mapadre wa Mwanza. Au kuna ukabira flani hivi?
  14. T

    Ni laana kwa familia ya Mbowe kuwadhurumu waandishi wa habari wanyonge

    Njaa yako itakupeleka pabaya. Mbona hujalaani aliyefunga gazeti. Nana wa kulaumu kati ya hao wawili?
  15. T

    Wiki tatu nyuma Ksh dhidi ya Tsh ilikuwa 16.3, Leo 21.1. Wachumi wa Tanzania mnatusaidiaje?

    Unasema kama siyo mchumi! Importation na exportation zote zinategea rate hiyo. Hivyo lazima bei za bidhaa zitapanda
  16. T

    MwanaCHADEMA mwenye nia ya kugombea ubunge 2025 kwenye majimbo yafuatayo ni vyema akaachana na huo mpango. Tayari yana wenyewe

    Ufiche ujunga wako. Hizo hela ni za CCM au ni za walipa Kodi wa nchi hii.
  17. T

    Mnaohoji Mbowe hajakamilisha nini CHADEMA, CCM nayo bado haijakamilisha nini madarakani kwa miaka 62 mpaka sasa?

    Andaa uchaguzi huru na WA Hali. Acha kutumia tume ya uchaguzi, acha kutumia wakurugenzi, acha kutumia polisi. Mtakuja kujua mbivu na mbivu
  18. T

    ACT Wazalendo wanaamini wanaweza kushirikiana na CCM kumwondoa Mbowe Madarakani? Mbowe anaathiri vipi kustawi kwa vyama hivi shikizi?

    Kama ni swala la kukaa muda mrefu, basi na CCM imekaa madarakani muda mrefu, iondoke. Kadri mnavyomuandama mbowe, tunaelewa ouga wenu!
Back
Top Bottom