Search results

  1. daniel don

    ITV wanaipendelea Yanga?

    Nadhani humfahamu vizuri Gamba, Huyu ndiye mtangazaji mwenye mapenzi makubwa na Simba na wala hana upendeleo wowote ni mtu anayependa kazi yake,.haonyeshi ushabiki ktk utangazaji.
  2. daniel don

    Shaffih dauda hana kazi nyigine ya kufanya?

    Acha uvuvi fanya kazi wewe, ni aibu kuongea mada kama hiyo watu dunia ya sasa wanapaswa kufanya kazi kwa bidii kuongeza ufanisi..ukiwa busy huwezi kuangalia nani anafanya nini..play your part acha majungu! umenikera sana.
  3. daniel don

    Didier Kavumbagu atua Yanga rasmi akabidhiwa jezi no.21 tayari kwa mauaji!

    Yule mchezaji mrefu na mwenye uwezo mkubwa wa kuzifumania nyavu, DIDIER KAVUMBAGU ametambulishwa rasmi na kukaribishwa kwa wana jangwani tayari kuungana na akina Kiiza na Bahanuzi katika safu ya Ushambuliaji. Kwa mtaji huu sidhani kama atachomoka mtu safari hii..Wana Yanga mjiandae kula raha...
  4. daniel don

    Tumbo kujaa gesi kila baada kula ni ugonjwa au ni hali ya mtu mwenyewe?

    Mdogo wangu anapokula na kushiba tumbo lake hujaa gesi ila hapati matatizo yoyote zaidi ya kubeua mara kwa mara na wakati mwingine hulazimika kula kidogo zaidi ili asipate hiyo gesi tumboni.. Wasi wasi wangu lisije likawa tatizo kubwa. Inapomtokea hali hiyo hutumia vidonge vya Magnesium..kiasi...
  5. daniel don

    Uganda Ebola outbreak

    Tumekuwa tukisikia na hata kuona ugonjwa huu kwa njia mbalimbali kupitia vyombo vya habari na hata kwa kushuhudia kwa macho yetu! Hofu yangu sasa ni Watanzania wangapi wanaufahamu ugonjwa huu. Dalili zake,matibabu yake au tahadhari gani za kuchukua pindi unapoibuka nchini na je vipi...
  6. daniel don

    Wachezaji wengi wanaipenda Yanga!

    Umemsahau Akida Makunda, Shaaban Ramadhan na Kaseja..Wengine wenye mapenzi na Yanga lakini walibaki Simba kwa ajili ya kuchota pesa za bure ni Hussein Masha na Mwameja.. Yanga kiboko, ukiona mchezaji anatoka Yanga kwenda Simba ujue ni gemu limekataa mfano, Lunyamila, Mohamed Hussein, Tigana, na...
  7. daniel don

    Kumbe Ngassa ni Yanga damu!

    Katika kudhihirisha kama alikwenda Azam kimakosa kijana huyo mwenye kasi mithili ya B52, Mrisho Khalfan Ngassa katika mechi mbili za mwisho aliweza kuonyesha mapenzi ya dhati kwa mashabiki wa Yanga kwa kushangilia goli huku akiwapungia mikono mashabiki wa Yanga badala ya Azam na kutupiwa jezi...
  8. daniel don

    Mh. Kiingunge Ngombale Mwiru, Ushauri wako pale Chimwaga Dodoma Umetufikisha hapa...!

    Inakuwaje mtu ambaye wananchi walimkubali na kumpenda bila kujua utendaji wake kikazi na yeye akashindwa kuonyesha uwezo wake! Hapa Kingunge hapaswi kulaumiwa peke yake CCM yote kimeo, Vile vile wananchi walipaswa kuikataa CCM. Hayo ndo matokeo yake next time tuchague Chama cha Upinzani...
  9. daniel don

    Kumbe hata Azam wanaweweseka!!

    Wamezidiwa na uzoefu, bado wachanga hao...Yanga bado itabaki Yanga milele..wana kipigo kingine Ligi kuu wasubiri!
  10. daniel don

    Simba mjipange msije mkashuka daraja msimu ujao wa ligi kuu ya Vodacom!

    Katika mwaka ambao Simba wamelamba galasa ktk usajili wa wachezaji wapya ni mwaka huu 2012. Mchezo ulioonyeshwa na watani ktk kombe la Kagame ni wa kiwango cha chini mno hata hivyo sijui waliingiaje hatua ya robo fainali na timu mbovu kiasi kile niliitamani sana Simba ikutane na Yanga...
  11. daniel don

    Video: Yanga....

    Kijana unaonyesha ni jinsi gani ulivyo nyuma kiushabiki yaani hizo goli 5 umeona ni matangazo na kitu cha ajabu kwako. Man U ilipigwa 6 na Man city, Arsenal ilipigwa 8 na Man U lakini bado ni timu bora duniani, iweje wewe usiyejua soka unarudia record za magoli na wala hujui record za jumla za...
  12. daniel don

    Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

    kaka huo ukuta ni zege" nadhani kupenya ngome ya Yanga sasa lazima uwe mtaalam, Yondani amefiti vilivyo utadhani alianzia hapo Mnyama lazima alie sana mwaka huu..hata hivyo tunahitaji no. 9 nyingine kumsaidia bahanuzi na wingi ya kushoto kutumbukiza mashambulizi kati mithili ya Ngassa.
  13. daniel don

    CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

    Unatumia kigezo gani cha kuitoa Yanga kwa njia ya penati endapo mpira ungeamuriwa kwa penati? acha ushabiki wa hewa, umesahau yanga imeitoa mafunzo kwa njia ya penati zote 5. Ulikuwa wapi fuatilia michezo kwa kina usikurupuke..na dakika 30 uongezwa hatua ya nusu fainali na fainali upo?
  14. daniel don

    CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

    Hongereni vijana kwa kuonyesha uwezo binafsi japokuwa bado mna kibarua kingine na kigumu cha wadogo zenu Azam, msibweteke uzi ni ule ule. Kwa jinsi nilivyolitazama gemu dhidi ya APR sina shaka kombe ni lenu..Vile vile nawapa big up sana Azam kwa kutinga fainali..Kwa kandanda safi linalochezwa na...
  15. daniel don

    Eti Azam ni waleta mapinduzi ya soka hapa nchini,NAKATAA

    Ni kweli mkuu, haiwezekani mchezaji kama ngassa hii leo akasugua benchi wakati hakuna mtu asiyemjua Ngassa anavyocheza. Huo ndo mwanzo wa kuua kipaji cha dogo, kama ni kweli kuna ka mgomo baridi kwa Ngassa ni bora awe wazi watu wote wajue kama ngassa anaiota Jangwani kuliko kupotelea benchi ama...
  16. daniel don

    Tatizo la kutokwa na damu kwenye fizi: Fahamu chanzo na namna ya kutatua tatizo hili

    :shetani:Kijana wangu ana tatizo la kutokwa na damu pindi anapopiga mswaki au anapojigonga maeneo ya mdomoni bado sijajua ni vitamini au tayari ugonjwa kwani mswaki anapiga mara zote anapomaliza kula na anazingatia kanuni za afya. kimtazamo ni kijana mwenye afya njema, tatizo kubwa ni hilo na...
  17. daniel don

    Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

    Bado wapenzi na mashabiki wa Simba wamekosa imani na timu yao wakiamini kutokuwepo kwa wachezaji hawa mahiri waliondoka yaani Yondani, Mafisango na Okwi imekuwa sababu kubwa kwa Simba kuondolewa kwenye michuano hii ya Kagame. Wadau mna maoni gani ni kweli hata kuonyesha kandanda safi tushindwe...
  18. daniel don

    Mtangazaji maarufu wa duru za michezo afariki dunia!

    :spy:Mtangazaji maarufu wa kipindi cha duru za michezo Wapo radio Fm Joseph Mapunda amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mfupi ktk hospitali ya Temeke Juzi. hiyo ni kwa mujibu wa matangazo ya Wapo Radio Fm na mdogo wa Marehemu..Mungu awafariji ndugu wa marehemu pamoja na wafanyakazi wote...
  19. daniel don

    CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

    :israel:Hatimaye Yanga ya Dar es salaam imezidi kuonyesha ubabe wake Leo taifa baada ya kuitupa nje ya mashindano timu ngumu ya Mafunzo kwa jumla ya penati 5-3 zilizofungwa kiufundi na Said Bahanuzi, Nadir Haroub Cannavaro, Khamis Kiiza, Haruna Niyonzima na Mzee wa kidevu Athumani Idd Chuji..Kwa...
  20. daniel don

    Ni Watanzania wangapi wanaifahamu Katiba ya Tanzania kabla ya kufanyiwa marekebisho?

    :yawn:Katika ufahamu wangu wa kawaida nilionao sina uhakika kama watanzania wenye uwezo wa kujua na kufafanua katiba yao wanaweza kufika 50% sasa iweje kuwepo kwa mchakato wa kukusanya maoni ya wananchi kuhusu uundwaji au marekebisho ya katiba mpya? Nimekuwa nikisikia leo wapo hapa kesho...
Back
Top Bottom