Search results

  1. A

    hongereni young africans.

    kwa mara nyingine tena yanga wananyakua kombe na kulitetea pia,kiukweli wamecheza poa,azam pia wamecheza poa,ila mpira dakika 90,yanga 2 azam wanaambulia patupu,simba ni muda wa makosa mliofanya ili kupiga hatua sio kukalia majungu. . .HONGERENI WANA JANGWANI.
  2. A

    Jamani naona TCU kuna jipya

    bado sana,wanasema watapublish mpaka selected names ziende bodi ya mikopo then baada ya kutoka huko ndo watarudisha tcu then tcu ndo watamalizia kupublish so kazi nzima itaisha late august.
  3. A

    Sponsorships.

    thanks ndugu.
  4. A

    Sponsorships.

    wanajamvi naomba kujua kuhusu education sponsorship kwa masters na degree kama kuna mtu anafahamu makampuni yoyote au individual source yoyote ya kusponsor watu wenye kutaka kujiendeleza kielimu ila economic problems zinawabana,tafadhali tupia humu
  5. A

    Mlio-apply tcu NOT eligible zisiwachanganye.. Tc yu ni VIAZI..

    Ndugu hata mimi ni hvyohvyo. . .Nimeamua kuacha tu.
  6. A

    Natafuta tempo wanajf.

    Mimi nimemaliza f6 2012. . .Nimepiga pcm,naishi morogoro,nasubr kuingia chuo so huu muda wa katkat nataka nijishkize popote,yoyote anayeweza kunisaidia tafadhali.
  7. A

    If you have done your very best and you have failed, why don't you resign?

    Kama alivyosema wazr mkuu "kitu kidogo kama hcho kisitufanye tufikie huko". . . .He z also a human,. .Kama ungekua ni wewe mwana jf ungejibu ki2 gan baada ya lissu kuomba ujiuzuru wkt umekua honest kumwambia nimejaribu kutatua tatizo ila bdo cjafanikiwa?
  8. A

    Uongo mwingine noma

    Hahaha ckujua km ifm haitoi mastrz.
Back
Top Bottom