Search results

  1. S

    Sakata la Richmond: Dr. Mwakyembe amkaanga Lowassa, Kumburuza Mahakamani...

    Watanzania wanataka mabadiliko, CCM imefanya nini miaka yote tangu 1977 tunataka wamwage data za uchumi sio nyimbo za taarabu. Watanznia hawahitaji majungu ya Richond huo ni wimbo wa zamani.
  2. S

    Mbowe ameshakosa sifa ya ubunge mahakamani!

    Rage alitoka jela kwa msamaha wa Rais kutokana na afya yake kutokuwa nzuri.
  3. S

    Magaidi wavamia kijiji cha Msolwa Ujamaa, Kilombero

    Nani asiyejuwa kuwa mafunzo ya judo yanayoendelea vijijini na mijini katika nyumba za dini. Hayo ni matokeo ya vyombo vya usalama kufubia macho taarifa za muda mrefu kwa kuogopa kuwakwaza wahusika.
  4. S

    Rais Kikwete ateua wabunge wapya wawili

    Mwenye CV zao tafadhali weka hapa.
  5. S

    Rais Kikwete: Serikali haitaanzisha Mahakama ya Kadhi

    Sasa kwa nini Mwanasheria Mkuu azungumzie kujadiliwa bungeni?
  6. S

    Katika Ulimwengu huu - Haki za binadamu ni za wakristo pekee?

    Mkuu una habari kuwa Wakristo ndiyo kundi kubwalinalofanyiwa mateso na hata kuuwawa ulimwengu mzima. Kumbuka nchi zote za Kiarabu na Kiislamu kuwa Mkristo ni kosa la uhaini na adhabu yake kifo? Marekani (USA) kukonekana na biblia au chapisho lolote la kikristo mashuleni ni kosa,la jinai na...
  7. S

    Swali la kizushi: Muungano Ukivunjika madini ya TANZANITE yataitwaje?

    Madini ni ya Tanganyika, vyovyote yatakavyoitwa ili mradi thamanibyake iko palepale.
  8. S

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Ijumaa Trh 25 Aprili 2014 - Kubadili tena kanuni

    Mmh Mzee Peter Pinda, Tanganyika miaka miwili na nusu? Hivi TANU si ilikuwa inaitwa Tanganyika African National Union(1954) na ilitokana na Tanganyika African Association (TAA)~1929. Kwa nini Zanzibar iendelee hii chuki dhidi ya Tanganyika inatokana na nini?
  9. S

    "Endapo Wazanzibari watadai mamlaka kamili sitawapiga mabomu" Naamini Kikwete hatawapiga mabomu UKAW

    Serbia ilikufa ndani ya Yugoslavi baada ya miaka zaidi ya 50 imerudi, historia ni mwalimu nzuri Tanganyika itarudi tuu.
  10. S

    Ombi kwa Sitta, ongea na UKAWA warudi kwa faida ya taifa zima, katiba ni ya wote sio upande mmoja tu

    Hii move ya ukawa isiangaliwe kijuuujuu ina athari kubwa kwa,siasa za kimataifa, statement aliyoitoa Prof. LIPUMBA kwamba kuna kundi la “Intarahamwe” inatuweka pabaya kama taifa, ni busara kufanya maridhiano.
  11. S

    Baada ya UKAWA kutoka nje,umeona tofauti ipi Bungeni ?

    Ni zaidi ya bilioni 180 zimetumika kuiandaa rasimu ya Tume ya Maoni iliyoongozwa na Jaji Warioba, leo hii walio webgi bungeni wanaandaa kuitupa jalalani nani mzalendo, yuke akioamua kuondoka au yuke aliyebaki kucheza makidamakida huku anazidi kuteketeza fedha zetu za kodi kujadili rasimu ambayo...
  12. S

    Serikali Tatu: Ni mfano wa kutoka nchi gani duniani?

    Muungano ni imani kama ilivyo ujamaa ni imani. Wakishaondoka waumini wa ile imani husambaratika kama ilivyokuwa usoshalisti na muungano wa Urusi, alipokufa Brezhnev muumini wa mwisho, kila kitu kikaanza kumeguka. Tuujenge muungano wetu kwa matakwa ya imani ya kizazi cha Sasa waasisi walituaekea...
  13. S

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar: Una faida gani na kwa manufaa ya nani?

    Uoga wetu umetufanya tuwe masikini, tunashindwa kusema kweli tumekuwa taifa la watu waongo.
  14. S

    Wapentekoste washikana uchawi

    Wajiulize je! walitumia dispatch kukabidhi documents? Si ajabu kuna mjanja mmoja alidai anajulikana Ikulu hivyo akapeleka makabrasha kienyeji. Watuonyeshe dispatch book nani alipokea document.
  15. S

    CHADEMA yang'ara matokeo Udiwani: Ni zaidi ya ukanjanja wa siasa na uandishi

    Hivi kwa nini Watanzana tunapenda kujidanganya, si kweli kwamba CCM haikutumia gharama kubwa. Matumizi ya watumishi wa serikali, Polisi na vyombo vya mbalimbali vya umma hizo nazo siyo gharama? Inabidi tuwe fair.
  16. S

    Mhe.Tundu Lissu ndani ITV

    Hii habari imepindishwa, nimemsikia mimi mwenyewe alichosema Lisu ni kwamba, kwa nini bunge lisitumie moja kwa moja kiswahili ili kuleta ufanisi wakati wa kutunga sheria. Kwani mijadala hufanyika kwa kiswahili na sheria huandikwa kwa kiingereza jambo linalowaacha mbali wabunge wengi ambao...
  17. S

    Picha: Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Kikwete Akabidhi Wasanii Mashuhuri tuu Kadi za kujiunga na CCM

    Mnalalamika nini? Mbona hizo kadi hawakupewa kimyakimya kuna vijembe dhidi ya CDM viitangulia. Nilimsikia Katibubwa Uenezi, akisema kwamba “watu wenye akili timamu wanajiunga na CCM” huoni kwamba hili lilikuwa tusi? hivi kujiunga CDM ni dhambi? watoa maoni muwe balanced.
  18. S

    Dr. Slaa: Tunahitaji mwaka mmoja tu kuigeuza Tanzania kuwa nchi ya viwanda

    Nadhani Kibo Match kama haijafa inapumulia mashine.
  19. S

    Nchimbi: Kambi ya upinzani ni waongo na ni wazushi

    Hakuna andiko kama hilo kwenye Biblia, ninachofahamu biblia inasema “uasi nisawa na dhambi ya uchawi” (1Samweli 15:23)
  20. S

    Mwakyembe umechemka, acha kujing'ata ulimi.....

    China walikuwa na mfumo uliodumaza maendeleo ya kiuchumi kwa miaka mingi. Lakini walipoachana na mfumo na kufanya total overhaul wamefanikiwa. Dr Mwakyembe na wengine wanaojaribu kujenga juu ya mfumo huu unaosimamiwa na sisi emu hawawezi kifanikiwa, je unaweza kupitisha treni kwenye Reli ya...
Back
Top Bottom