Search results

  1. BHULULU

    Mume wangu kanitukania Mama yangu, naombeni ushauri jamani

    Hii stori ukiisoma, kwanza ni ya uongo! Pili aliyeileta siyo mhusika (someni mstari wa mwisho). Mnapoteza muda kutoa ushauri
  2. BHULULU

    Hivi Mwandishi wa ITV Ufoo Saro yu wapi?

    Mkuu hiyo stori ilikupita?? Iko humu, tafuta kwa hilo jina lake utaipata
  3. BHULULU

    Hii nchi nikajua ambao hawapo serious ni Tanesco kumbe hadi matapeli wanasahau majukumu yao😂😂

    Dah! Ndiyo maana wanawake wanashinda "mission" nyingi sana. Serikali ikitumia wanawake itawanasa matapeli wote.
  4. BHULULU

    Matumizi ya akili bandia (AI) yahofiwa kushusha ubora elimu

    Mimi naona hizi AI software ni kama ilivyo Google na search engine nyingine. Pia bado haina tofauti mfano mtu akamuomba mwingine amfanyie kazi yake na yeye ku- submit. Tofauti ni kwamba ile ni software na huku aliyefanya ni binadamu. Kwa kifupi AI teknolojia haiepukiki maana ndiyo tuliyomo...
  5. BHULULU

    Nitamdai vipi hela ndugu yangu?

    Huyo dada yako ni hovyo kabisa. Hiyo hela alilipa VICOBA maana ndo stress za sasa hivi. Ushauri wangu, sahau kabisa kuhusu hiyo hela, endelea kutafuta, ubarikiwe!
  6. BHULULU

    Naomba ushauri na Msaada wenu kuhusu Scholarships Application Vyuo vya nje

    Hongera kwa hatua hiyo! Ushauri wangu, soma kwanza upate shahada ya kwanza kutoka vyuo vyetu vya ndani, halafu shahada ya Uzamili sasa uombe vyuo vya nje. Samahani kwa mawazo yangu, ila kama hutanielewa leo, utanielewa siku nyingine. Kila la kheri!
  7. BHULULU

    Mikasa/vituko vya lodge

    Huu uzi nimecheka sana. Hii dunia kuna mambo yanaendelea mengi sana.... Nimegundua - Logde nyingi au guest house hawazingatii usafi -Ligha nzuri kwa wahudumu na wateja bado ni changamoto, wote wababe - Ngono inatembezwa balaa -Wengi tunasahau kwamba hao wahudumu wana familia zinawategemea -Muda...
  8. BHULULU

    Sijui ni kwanini nikiufikiria tu huu Uhusiano wa Kiushirikiano ufuatao naogopa sana

    Hii ni wachache watakaoelewa! Kuna vitu vingi katika Dunia hii ambavyo ukiambiwa unaweza usiamini lakini kiuhalisia vinafanyika.
  9. BHULULU

    MOI watoa tamko kuhusu uvunjifu wa maadali uliofanywa wodini. Mgonjwa aomba radhi

    Ingekuwa ni mzungu kafanya hivyo humo wodini tusingeshuhudia hii panic yote. Lakini kwa vile ni mmatumbi, kelele!! Sijaona kosa hapo, tena ingekuwa Mimi ndo mgonjwa nisingeomba radhi. Halafu huyo mgonjwa jirani aliyerekodi "fwala" sana, humo wodini pangechimbika!
  10. BHULULU

    TikTok inagaragaza YouTube iliyokuwa ikisumbua kwa miaka mingi

    YouTube izidiwe na TikTok?? Hauko serious!
  11. BHULULU

    Kila anayeshabikia mkataba huu hana hata division one ndiyo maana hatuelewani

    Unaongelea vipanga? Yule Waziri wa fedha huwa anajisifu kila siku ni kipanga!
  12. BHULULU

    Wamiliki wa lodge kuweni serious

    Aisee umefanya nimecheka sana
  13. BHULULU

    Ni balaa dada wa kazi anavunja ndoa yangu

    Hivi umeamini ni kweli??
  14. BHULULU

    Nifanyeje ili nimsahau ex wangu

    Hata mimi imebidi nirudi kuisoma upya
  15. BHULULU

    Hivi vikundi ni hatari sana kwa afya

    Hata mimi kwa haraka nilifikiri hivyo! Kumbe ni hivyo vidude!
Back
Top Bottom