Search results

  1. M

    Mtikila: Shujaa wa Demokrasia, Mwanamapinduzi halisi na Shujaa wangu...

    Nashindwa kuelewa watu ambao wanapinga ukweli, mateso na jitihada zote aliyezifanya Rev Mtikila juu ya nchi hii. Na si kweli kuwa mengi aliyafanya kwa merits zake binafsi. Alipoanza siasa 1988 alianza na haki za binadamu.kuanzia wafungwa wa kisiasa (waliofungwa kwa uhaini kwa nia kumpindua mwl...
  2. M

    Askofu Mokiwa ashitakiwa kwa kumshika makalio Mtikila

    Mch Mtikila amechukua muda mrefu kumshitaki Askofu Mokiwa kwa kuwa alipenda kuombwa radhi kwa maandishi kwanza na wayamalize kikanisa lakini mokiwa aligoma kata kata. Alichofanya Askofu mokiwa ni kuomba radhi verbally of which Rev Mtikila alikataa kata kata
  3. M

    Habari za vitisho kwa Madaktari ni za kutunga - Kibonde wa Clouds FM

    Huyu bwana mdogo ni wa kusamehewa ni taahira na mtindio wa ubungo ndio maana hata dental formulae yake ni mbovu
  4. M

    Re:rev mtikila kuishukia serikali hotel travertne saa nne na nusu

    Mch Christopher Mtikila anakutana na WAANDISHI wa HAbari asubuhi hii saa 4 na Nusu pale Travertine Hotel Magomeni KUTOA msimamo wa DP JUU ya unyama aliofanyiwa Kamanda Dr S ULIMBOKA. ATATOA MSIMAMO ni kwa mini serikali Haina nia ya dhati kumaliza matatizo ya huduma za Afya na Tabia za viongozi...
  5. M

    Spika Makinda ampiga Stop Stephen Ngonyani kumshambulia Dr Ulimboka

    ​Mch Mtikila atatoa msimamo wake JUU ya unyama aliofanyiwa Dr Ulimboka na MGOMO wa Madaktari asubuhi hii pale travertine Hotel magomeni.Katika salaam Zake za kukaribisha WAANDISHI amesema kuwa CCM na serikali yao Hawana uchungu na Maisha ya Watanganyika kwa kuwa wao hata Wakipata chunusi...
Back
Top Bottom