Search results

  1. Stroke

    Kwa kuangalia uchangiaji wa mada nimegundua watumiaji wengi wa JF hutumia device za maofisini mwao

    Wanazuga ila ndio ukweli . Kazi hawafanyi kazi kupiga umbea tu.
  2. Stroke

    Utawala wa Awamu ya 5 kulikuwa na kampeni ya wazi ya kutaka aliyekuwepo aongoze milele, Sababu hasa ya kampeni hii ilikuwa nini?

    Hizo zilikua propaganda za wale waovu kujustify matendo yao.
  3. Stroke

    FT: Azam FC 2-1 Yanga SC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 17.03.2024

    Hongera sana Azama kwa kuyafunga haya majini.
  4. Stroke

    Nukuu 10 za Jenerali Mabeyo

    Ndio limemuharibia. Raia hawataki hata kusikia habari zake. Angejua hao ndio angewakacha tangu mwanzo.
  5. Stroke

    Mtandao inapoweka mnara kwenye eneo lako huwa wanalipa kuanzia Tsh ngapi?

    Kwani makampuni yenyewe yanamiliki minara yenyewe?? Nilidhani wanaomiliki ni HTT halafu wanampa upangaji hayo makampuni ya simu, kama voda, tigo.
  6. Stroke

    Nukuu 10 za Jenerali Mabeyo

    Usingefanya lolote. Mbowe tu hapo anawaburuza kila siku hakuna mnalofanya ndio ije kuwa mambo serious kama hayo??
  7. Stroke

    CDF mstaafu Mabeyo amelikoroga, Makamu wa Rais ndiye alitakiwa kuwa mtu wa kwanza kila hatua kujua afya ya Rais

    CDF anaripoti kwa Waziri wa ulinzi?? Jamani tupumzisheni kidogo.
  8. Stroke

    Nukuu 10 za Jenerali Mabeyo

    Samia amshukuru Mungu kwa kuwepo mtu kama Mabeyo. Ila baada ya hiyo mbeleko alichokifanya ni kukimbilia lile genge la mafisadi ya msoga.
  9. Stroke

    Kwa kuangalia uchangiaji wa mada nimegundua watumiaji wengi wa JF hutumia device za maofisini mwao

    Post mada jumatatu na jumamosi lazima uone tofauti. Kati kati ya wiki nyuzi zinatembea balaa.
  10. Stroke

    Kwa kuangalia uchangiaji wa mada nimegundua watumiaji wengi wa JF hutumia device za maofisini mwao

    Ukifuatilia uchangiaji wa mada kwa siku za kawaida za wiki na za weekend utaona mada nyingi hupata wachangiaji wengi kwa siku za ijumatatu mpaka ijumaa. Ijumamosi na jumapili wachangiaji huwa wachache na mada hazitembei sana. Hii imenifanya kuhitimisha kwamba wachangiaji wengi wa JF wanalogin...
  11. Stroke

    Today I Learned (TIL): Adam alikuwa na Wake Wawili

    Stori za kutunga tu hizi.
  12. Stroke

    Kwenye Utawala wa awamu ya 5 Bashiru Ally na wateule wengine wa Rais walijipa Utukufu kuliko hata Mitume wa Mungu

    Chadema tunawajua kwa kazi yenu ya kusafisha majizi.
  13. Stroke

    Hussein Bashe, Waziri wa Kilimo: Waagizaji hawakupaswa kuleta mchele wa Msaada kutoka Marekani kwani Tanzania ina hazina ya mchele

    Aibu sana Wote tunaonekana wezi aisee hatuaminiki tena. Wanajua wakileta hela zitaibiwa zote.
  14. Stroke

    Ifike mahali Watanzania tuache kukubali hadaa na uzushi unaotolewa na akina Evarist Chahali na Kigogo

    Nyepesi kabwela ndio kamuapisha Samia?? Hii ndio naisikia leo. Kama angekua na uwezo huo naamini angejiapisha kwanza yeye mwenyewe.
Back
Top Bottom