Search results

  1. M

    ungekua wewe ungemfikiriaje girlfriend wako

    Wana JF hiyo ni marketing promotion strategy, ameona akitumia jina lako hauziki!
  2. M

    Maneno ya Ujumbe wa Mh. Zitto kwa Viongozi Maswi na Prof. Muhongo hauna maadili ya Uongozi!

    Sina uhakika na kauli za utata za Mh.Zuberi Zitto Kabwe, kwa hili anahitaji aeleze kwa ufasaha ni yepi aliyokuwa anashabikia? na kwa manufaa ya nani? aidha anatuimanisha nini kama anastahili kuendelea kutumikia wananchi wake? Asiye mwaminifu kwa kidogo, utamwamini vipi kwa mambo makubwa?
  3. M

    Spika Makinda atuambie suala la kupigwa Dr Ulimboka liko katika mahakama ipi?

    Nadhani kama ni kweli kwamba mojawapo ya kazi ya Bunge letu ni kuongoza Serikali, inaniwia vigumu sana pale Spika anaposhindwa kutamka neno. Aidha, nadhani moja ya tatizo letu kubwa ni; Elimu, kutokuwepo kwa elimu ya kutosha kwa wananchi wetu katika baadhi ya maeneo, watu wamediriki kumchagua...
Back
Top Bottom