Search results

  1. M

    Manispaa ya Moshi yaongoza kuwa na wasomi wengi Tanzania

    kweli kabisa maana tafiti hizo zinaweza kuzungumzia wasomi kumbe ni wale form four wa shule za st st. kayumba wenye four years fighting for food. na ni vigezo vipi vilitumika
  2. M

    Tanzania tumejiandaaje kwa Ebola?

    Dalili zake ni Kupando kwa joto mwilini, kuvuja kwa damu sehemu zote za wazi za mwili, na kutoa kinyesi na mkojo kilichoambatana au kuchanganyika na Damu.
  3. M

    JK amteua Mwambene Mkurugenzi wa MAELEZO

    Ok ahsante sana ndugu
  4. M

    JK amteua Mwambene Mkurugenzi wa MAELEZO

    safi sana ndugu, mimi nina wasiwasi na huyo jamaa ukiyemcout hapo juu maana anaonekana amekaa kidini zaidi bila kufikilia maendeleo
  5. M

    Tetesi madaktari kuzimua mgomo wao

    hakuna kitu hapo danganya toto hiyo hahahhh
  6. M

    Tundu Lissu: Madaktari hawakupaswa kufukuzwa kabla ya kujitetea kwa mujibu wa sheria

    huwa anakurupuka huyu jamaa sijui kama huwa anathink big, watu wameamua kusema liwalo na liwe yeye anasema hawakupewa nafasi ya kujitetea au kujieza walipewa ila haohao wakina tundu ndio wamewaponza madaktari saizi anajaribu kujisafisha kwa aliowaponza
  7. M

    Hotuba ya wizara ya afya na ustawi wa jamii

    Waheshimiwa wa jamii foram kwa yeyote atakeyezipata hotuba za wizara ya zfya na ustawi wa jamii, ya selikari na upinzani aziweke hapa ili tuzisome maana asubuhi hii majukumu yamekuwa mengi sana
  8. M

    Rushwa Bungeni: Kamati ya bunge ya Nishati na Madini yavunjwa

    Kamati ya Nishati na Madini iliyovunjwa ilikuwa inaundwa na: 1. January Makamba (kwa sasa ni Selemani Zedi) - M/kiti 2. Diana Chilolo- Makamu Mwenyekiti 3. Khalfani Aesh (kwa sasa kavuliwa ubunge na mahakama). 4. Prof. Kulikoyega Kahigi 5. Yusufu Haji Khamisi 6. Mariam Kisangi 7. Catherine...
  9. M

    Kikwete's 'Maisha Bora kwa Kila Mtanzania'

    Acha kupotosha watanzania hiyo picha sio ya Tanzania ni Picha ya Rwanda wakati wa mauaji ya mwaka 1994. kuwa makini.
  10. M

    Kikwete's 'Maisha Bora kwa Kila Mtanzania'

    Kwani ni kipi cha ajabu? Kwa Tanzania na Africa jambo hilo ni kama kawa na usitegemee hata siku moja wanasiasa hawa wa Africa wanaotegemea kila kitu kutoka kwa wenzetu weupe hata fedha za kampeni. Usitegemee makubwa sana kwa viongozi wa kiafrika wanaochaguliwa, fanya kazi kwa bidii kama...
  11. M

    Kwanini Zitto na Lowassa wanapotajwa kuhusu urais kelele zinakuwa nyingi?

    Haya ndio majembe kabambe yaliyobaki TZ, na wana misimamo ndani ya vyama vyao hawataki upuuzi wa ajabuajabu na ndio maana ndani ya vyama vyao wanapigwa vita sana na kuchafuliwa ila tukimpata mmoja kti ya hawa tutaweza songa mbele ktk nchi yetu. Siangalii chama naangalia Mtu
  12. M

    Sherehe kubwa ya Dk Slaa; Nilidhani CHADEMA ni watu wenye utu...

    Msimtukane mchangie hoja inatosha na sio matusi kwake huo ni mtazamo wake tuu
  13. M

    wamiliki St Joseph University ni Mafia

    Acheni kushabikia tuu wanafunzi wa chuo hiko wanakaa mbali na jiji na wanapenda sana kujirusha na masomo yanayotolewa pale mengi ya science na ni magumu sana sasa wakicheza kifuatacho sup so inakula kwao kwani elimu ya chuo sio mchezo vijana someni vyuoni huko acheni ushalobaro na ushalohero
  14. M

    JF Exclusive: OC CID Kawe... (inahusiana na Dr. Ulimboka)

    Ahsante ndugu kwa taarifa, ila kwa yeyote anayekoncludi kuwa inahusika na kipigo cha ulimboka aacheni kukonkludi wasomi wa tz ajali ni kokote kila mtu anaweza kuipata leo yeye kesho inaweza kuwa kwako wewe unayeshabikia ata ukaangukiwa na mti je na wewe tukuingize kwenye list
  15. M

    Madaktari na serikali kuanza mazungumzo wiki ijayo

    Tunadanganyana tuu hapa, kesi ipo mahakamani na selikali ilishafanya conclusion ya kuwanyang'anya leseni ila wajifunze na next month new interns imeshakula kwao wao si waligoma waendelee kugoma na wanaotaka kwenda nje waende mambo yatakwenda tuu na wanaendelea kupata ugumu mtaani
  16. M

    Madaktari waliofukuzwa waula Namibia, Botswana, Rwanda na A.Kusini

    Hakuna hasara yoyote na watanzania tutapata wataalamu wengine soon kwani waliofukuzwa na kufungiwa leseni ni kundi dogo sana just 350 interns na wale maspeshalist wengi wana hospital zao na wanabaki bongo. Kuondoka kwa hao mainterns ni kazi bure kwani from mwezi wa nane interns wengine ambao...
  17. M

    mnyika

    ila dogo sometimes anaboa
  18. M

    SACP Kova & IGP Mwema must resign

    msizani watu wote tanzania huwa wanakurupuka, kila kitu kina taratibu zake sio kutangazatangaza tuu, walikuwa wanafuatilia taratibu thats why walichelewa, pia suala la kuachia ngazi halina maana coz mtu mwenyewe alitamka( kama alivyosema mchungaji) sasa kulikuwa na sababu gani mbaya ya kusema...
  19. M

    Mkurugenzi wa Hospitali ya Bugando atimuliwa kazi...

    Acha kupoteza watu uwe na uhakika na unayoyazungumza hapo, hakuna hiko kitu majinge amestarehe tuu na anapongezwa kwa kufanya hivyo huku , anasubiria interns wapya mwezi wa nane
Back
Top Bottom