Search results

  1. Fredy89

    Kutengeneza TV

    mcheck jamaa mmoja insta anajiita fredy vioo nafuu hapo ni uhakika mkuuu
  2. Fredy89

    Naombeni ushauri wakuu

    kaka shukuru Mungu amekuambia hana hisia na wewe cha msingi achana nae utateseka kama sio kujitesa mimi wangu aliniletea mambo kama yako nikamwambia nimeshindwa mimi sasa hivi ni wiki ya pili naugulia maumivu coz bado nampenda ila imenibidi niondoke mwenyewe najua atanitesa maana hana hisia na...
  3. Fredy89

    Mke wangu hanipi haki ya tendo la ndoa, kila siku amechoka

    mimi ndo napitia wakati kama wako ila nimekuja kugundua kuna mtu anampa furaha so hisia na mimi hazipo tena ila wa kwangu ni tamaa ya pesa coz sidhani kama kwangu kuna kitu alikosa ila amempata mtu mwenye uwezo zaidi yangu nimeamua kuachana nae japo na mpenda ila sina jinsi,najua nitapata mtu...
  4. Fredy89

    Kipi kilisababisha uachane na mtu wako wa maisha?

    nilipiga simu masaa 2 hazipokelewi nikaenda kwake sikumkuta japo alikuwa period ila nafsi yangu ilikataa kumwamini maana nilimwamini na sikutegemea tukio lile kwa wakati ule ila niliumia sana kwa sababu nilimzoea sana tumefanya mengi tumepitia vitu vingi mbaya zaidi hata msamaha hakuomba ila...
  5. Fredy89

    Kitu gani umeshindwa kabisa kuacha

    huyu mpenzi wangu wa sasa maana tumedumu kwa muda mrefu sana ila naona sasa hivi amebadilika sana nahisi wajanja wamemchukua maana kwenye mapenzi kuna kuzidiana au mapenzi kuisha automatic ila ni mazoea yananifanya kutomuacha ila nashukuru mpaka leo hii hatuna mawasiliano ni wiki sasa imeisha so...
  6. Fredy89

    Kutazama EPL Kwa ZUKU fiber internet

    www.soccer8080.com umemaliza kila kitu
  7. Fredy89

    Kwanini TRA mnatulazimisha kuja na risiti za mauzo wakati rekodi zetu mnazo?

    sijawahi kuamini suala la risiti eti una kwepa kodi risiti imeongeza idadi ya rushwa sasa hivi ni kama dili mtaani haswa kariakoo mpaka wale tigo wadai risiti hapa serikali ijipange risiti haijaongeza mapato ila imeongeza rushwa maana kila mtu anajifanya TRA
  8. Fredy89

    Mjadala: Nini chanzo na tiba ya tatizo la upele kuota kwenye uume?

    bado endelea kutumia usiache maana vina tabia ya kurudi hakikisha hali yako imerudi kama mwanzo hapo hata kama utatumia mara moja kwa siku sio mbaya
  9. Fredy89

    Uzi maalum: Growth Hacking

    dah! nimechelewa sana kusoma huu uzi kama mtu hujapata point hapo basi tena
  10. Fredy89

    Biashara ya vitenge ni black Diamond!?

    hapa umeongea ukwel kariakoo matajiri wamejificha ila yale maduka wanapata mizigo kwa shida mno maana wanapochukua mzigo hawapewi risiti so ina ngumu kwa wenye maduka nao kutoa risiti
  11. Fredy89

    Mjadala: Nini chanzo na tiba ya tatizo la upele kuota kwenye uume?

    bro tumia scaboma ya cream asubuh na jion oga na maji ya moto ndo upake hiyo scaboma ila matokea ni baada ya mwezi haviponi haraka ila usikate tamaa maana scaboma haina madhara wewe tumia hata zaid ya miez miwili maana mimi nilikuwa navyo ndani ya miaka 2 lakini nimepona
  12. Fredy89

    Taadhari Kuna Wizi wa pesa katika Baadhi ya benki zetu kupitia huduma za Kibenki kwa njia ya simu. Wateja wa benki tuchukue taadhari. Mamlaka Ziamke!

    wale wanaosajili laini wana mtandao mkubwa wa kuiba pesa waogopeni sana wale watu ni wezi wamitandao sana waogopeni embu fikiria mtu kavaa jezi ya tigo lakini anafanya kazi mitandao yote
  13. Fredy89

    Usilogwe ukaondoka nyumbani na kwenda usipopajua kwa kigezo cha kutafuta maisha

    hapa mimi najiona ni panya tu watu wamepitia msoto jaman! Mungu ni mwema
  14. Fredy89

    Masundosundo ya kwenye Uume yananisumbua sana. Nimetumia kila dawa imegoma. Msaada wa haraka nahitaji

    hospital gani mkuu maana utasaidia watu wengi kuna watu wanasumbuliwa ila ni waoga
  15. Fredy89

    Nina milioni 100 naombeni wazo la biashara

    zaid ya 300m ukiwa na usimamizi mzuri
  16. Fredy89

    Nina milioni 100 naombeni wazo la biashara

    Kwa Dar hapa biashara ni mbili tu ammbazo hazina stress kiivyo kwa upeo wangu 1.bar...kama unavyoona sasa hivi kila kona kuna bar nzur ambayo ukiweka mtaji wa 50m mpk 70m hii kuanzia matengenezo,kodi ya eneo na mtaji pamoja na matangazo ndan ya ya miez 3 pesa yako imesharud na faida juu...
  17. Fredy89

    Wosia wangu kwa vijana wa kiume humu JF, huenda nisitoe tena wosia huu

    vijana wengi sio kama tunawapenda ila tunatafuta aman ya moyo kingine tunawajali ili wasipate na tamaa,mwisho wa siku tunaishia kupata maumivu ni kweli kujipenda na kujali familia ni muhimu ila mwisho wa siku wanawake wanabaki kuwa ndo furaha yetu........tuendelee kujipenda zaidi
Back
Top Bottom