Search results

  1. M

    Nishaurini katika hili ''kansa ya ziwa''

    pole mkuu kuhusu bima kwa kweli ninavofahamu huduma zinatofautiana na aina ya bima uliyokata.MFANO bima ya laki 1 sidhan kama itacover gharama za surgery ya milioni 8 but all in all itapunguza gharama.
  2. M

    Nishaurini katika hili ''kansa ya ziwa''

    kwanza pole pili hujaeleza kwa nn zoez la mionzi lilishindikana tatu maamuzi ya nn cha kumfanyia yanategemea na clinical and histological staging.
  3. M

    Health consultation for free from dr. Sadru

    Nimeambiwa naumwa marchiafava bignami mkuu. Ndio nn?
  4. M

    Mjadala wa Ushauri na tiba ya maumivu makali ya tumbo wakati wa hedhi (dysmenorrhea)

    Okay mpk hapo nahisi ana uterine fibroid. Amepiga ultra sound ya uzazi?
  5. M

    Mjadala wa Ushauri na tiba ya maumivu makali ya tumbo wakati wa hedhi (dysmenorrhea)

    Dah sasa hapo itakua shida mkuu ngoja atakae fanikiwa kujua kwa kimombo tutachangia au pengine ungesema shida yake ilomfanya muende Hosp ilikua ni nn
  6. M

    Mjadala wa Ushauri na tiba ya maumivu makali ya tumbo wakati wa hedhi (dysmenorrhea)

    Tatizo hua sielewi magonjwa mengi kwa majina ya kiswahili waeza nieleza chango ni nn ili nikusaidie
  7. M

    Jaman jaman dada anaumwa nisaidieni dawa ya kuondoa uchafu kwenye kizazi

    Au pengine vile ni msaada u just have to be patient with them aisee ila inakera coz nadhani kuna somo limetolewa humus namna ya kujieleza
  8. M

    Jaman jaman dada anaumwa nisaidieni dawa ya kuondoa uchafu kwenye kizazi

    Tunakazi maana kitu cha dakika 5 mtu utachkua masaaa ma3
  9. M

    Jaman jaman dada anaumwa nisaidieni dawa ya kuondoa uchafu kwenye kizazi

    Uchafu ukoje?unaharufu?anawashwa?ana maumivu chini ya kitovu? Anatoka damu ukeni? Ana umri gani?
  10. M

    Msaada tafadhali mke wangu anaumwa!

    Kubleed maanake ni kutoka damu sasa hebu eleza zinatoka wapi? Anapata maumivu? Mzunguko wake wa hedhi ukoje? Anatoka uchafu ukeni? Kuna sehemu nyingine mwilini anatoka damu?
  11. M

    Msaada tafadhali, tatizo la kusahausahau mara kwa mara

    Sijaona literature inayoelezea direct link kati ya kujichua na memory loss but i think Ni role ya neural transmitters zinazokua released probably endorphins au serotonin au dopamine
  12. M

    Nini kina sababisha siku za hedhi kupitiliza kama huna mimba?

    Walihisi??ktk hao madaktari wote hakuna alokua na akili ya kufanya upt?
  13. M

    Uvimbe kwenye mayai ya mwanamke (ovarian cyst)

    Hujamjibu alichokuuliza bad mkuu nadhani swali lake no kutaka kujua causes za antepartum hemorrhage
  14. M

    Ni ugonjwa gani huu?

    Trypanosoma bruceii complex
  15. M

    Msaada tiba Kwa fangasi za kooni!

    Umeona hiyo post yake? Sio kila anaepost hapa maanake amekwenda hosp tyar
  16. M

    Kwa madaktari na wana JF wote ukisoma nipe dawa yake

    Unatumia sigara au pombe? Kama ndio na hivyo ulivonieleza wahi upesi hospital
  17. M

    Jamani nisaidieni kiungulia kinanitesa ( heartburn)

    Tumia omeprazole 20 mg od 14/7, epuka vyakula vyenye acid kama nyanya malimao vinegar nk.
Back
Top Bottom