Search results

  1. C

    Tanzania: Hivi tumelogwa?

    Leo ni mwezi wa tano tunakaribia kuingia wa sita,yaani tuna miezi chini ya 5 tufanye uchaguzi mkuu ambao tunatumaini utaleta msukumo mpya katika maendeleo ya nchi yetu. 1.Hatujui ilani ya uchaguzi ya vyama Si chama tawala wala cha upinzani kilichosema kikipata ridhaa ya wananchi kushika...
  2. C

    Saudi Arabia : Wakuu wa dunia wamiminika kuhani msiba

    Kweli shikamoo pesa.....Ona wakuu wa nchi wanavyomiminika kuhani msiba. Nimeweka na picha ya Obama akibow kwa marehemu enzi za uhai wake
  3. C

    Tuwe makini tunapoandika kadi za mialiko

    Wakuu, Nimealikwa kwenda kwenye mnuso. Waandazi wamekuwa wakarimu wakaweka na ramani ya kufika kwenye eneo la sherehe. Hebu tazameni huo mchoro maana kuna barabara imeandikwa jina ambalo mie silijui. Au pengine sijui wamebadili jina toba yarabi...
  4. C

    Hawa jamaa wa Syria.....

    Wamerudi tena
  5. C

    I phone imegoma kuactivate

    Waungwana, Naomba msaada. Nimeupdate iphone yangu, 3Gs,ikakubali. Sasa kila nikijaribu kuactivate napata haya maneno kuwa 'Your iphone could not be activated because the activation server is temporarily unavailable' Sasa tokea juzi bado tu ni temporarily unavailable? Naomba solution
  6. C

    Huyu alikuwa bingwa wa kutazamia eh?

    Chabo ya kiufundi sana.....
  7. C

    Babu wa Loliondo

    Babu afya yake imeimarika! Na safari za kwenda Loliondo bado ziko..............
  8. C

    Mohamed trans ndani ya mzozo moro stand

    Hapa Moro stand kumetokea mzozo mkubwa. Abiria wa kutoka Shinyanga wamegoma kufaulishwa kuingia kwenye gari linalotoka Dodoma. Trafiki inaelekekea amefungwa mdomo mana anadai anataka piga simu kwa mabosi wake. kweli watanznia wameamka saa.Wanajua haki zao sasa. Hali bado tete sana,ni makelel na...
  9. C

    Uvuvi kwa kutumia boti

    Wakuu, ninataka kufanya biashara ya uvuvi baharini kwa kutumia boti. Nauliza mwenye ujuzi na hii biashara anijuze kuhusu aina za boti zinazotakiwa,ukubwa wa injini,kama petroli au dizeli ndiyo inafaa. Natanguliza shukurani zangu
  10. C

    MASABURI meya wa jiji la Dar

    Didas Masabauri amechaguliwa kuwa meya wa jiji la Dar-es-salaam
  11. C

    Elections 2010 Kinachoendelea Jimbo la Segerea...

    Inasemekana Makongo Mahanga amebwagwa na mpiganaji Mpendazoe. =========== UPDATES: Kuhesabu kura kunaendelea (saa 6:28 usiku sasa) kama inavyoonekana kwenye picha chini
Back
Top Bottom