Search results

  1. N

    Kumbukumbu za Majumba ya Sinema Jijini Dar es Salaam

    Nimeona uzi hapa JF ukisifia Jumba la Senema la Empire la siku hizo, nikaona nikumbushie (na kuwajuza uzao wa dot.com) majumba ya senema yaliyokuwepo Dar enzi hizo. Miaka ya 70 kulikuwepo na majumba sita ya senema jijini Dar. Bila kufuatilia mpangilio wa umaarufu au kigezo kingine cho chote...
  2. N

    Baada ya Uchaguzi 2020: Asiyeridhika achukue hatua za kisheria na si kuleta ghasia ambazo zitawaumiza watu wa kawaida

    Tarehe 28 Oktoba 2020 imekuja na kupita. Uchaguzi umefanyika na matokeo tumeyapata. Mwenye kushinda ameshinda, na mwenye kushindwa ameshindwa. Kilichopo sasa ni kukubali matokeo na kurudi kuchapa kazi. La kama huridhiki na matokeo, kuna njia halali za kufanya kutaka suluhu. Kwa mfano Mama...
  3. N

    Uchaguzi 2020 Hatima ya Uchaguzi wa 2020

    Nini hatima ya uchaguzi wa mwaka huu? Mwaka 2015 CHADEMA walikuwa wakisema wakiingia madarakani, watafufua Shirika la ATC, watafanya shule bure, n.k. Magufuli ameyafanya hayo, na zaidi. Sasa wanageuka na kumkosoa kwamba kununua ndege siyo kipaumbele cha Taifa. Wanapotosha zaidi kwa kukariri out...
  4. N

    Mambo Binafsi kuyaweka hadharani

    Mapema leo nimeona nyuzi mbili ambazo nadhani ni za kibinafsi mno kuwekwa hadharani. Moja ilihusu wosia wa Reginald Mengi ukitaja mali yake igawanywaje akifa. Kitu kama hiki sidhani kama hata ndugu wangependa kiwekwe hadharani namna hii. Kama kitu kinatajwa mahakamani, hapo kinakuwa ni cha umma...
  5. N

    Uzalendo na asili ya mtu katika kugombea uongozi

    Niliona mada ikihoji Mwinyi kutaka kugombea uongozi wakati ni mweupe kiasi kwamba mtoa mada anastaajabu ilikuwaje akaaminiwa kufanywa Waziri wa Jeshi. Kichwa cha habari kiliashiria kwamba mtajwa hana asili ya Kiafrika na kwamba hastahili kupewa uongozi huo. Napenda kuchukulia kwamba hoja ya...
  6. N

    Corona Virus Nchini Tanzania

    Habarini za jioni wanajamvi. Mimi siishi Dar Muda mfupi uliopita niliona ujumbe kwenye WhatsApp ya ndugu mmoja ikionyesha magari yakipita Kariakoo yakifukizia dawa ya kuua corona, sawasawa na yale yaliyokuwa yakionekana kwenye miji ya Uchina. Hii ni hatua kubwa na nzuri sana iliyochukuliwa...
  7. N

    Hongera Kenya

    Hongera kwako Mkenya kwa kutufunga. Leo kicheko kwako; kwetu kilio. Kesho kinyume chake. Lakini bila kujali matokeo, tunabakia "DUGU MOJA". Tukutane baadaye kijiweni tukunywe.
  8. N

    Uhuru na Mapinduzi ya Zanzibar

    NCCR Mageuzi wataka siku ya uhuru wa Zanzibar Fidelis Butahe CHAMA cha NCCR-Mageuzi, kimeibuka na hoja mpya ya kutaka kutambuliwa kwa siku ya uhuru wa Zanzibar ,kama ilivyo kwa siku ya uhuru wa Tanganyika. Chama hicho kimeelezea matumaini yake kuwa kwa pendekezo hilo, serikali itaona...
Back
Top Bottom