Search results

  1. F

    Samsung galaxy j1 ace lte inawaka na kuishia kwenye odin mode, tatizo ni nini?

    shida ni kwamba haitaki kwenda kwenye download mode wala ile recovery mode.
  2. F

    Samsung galaxy j1 ace lte inawaka na kuishia kwenye odin mode, tatizo ni nini?

    Nina samsung j1 nilipoizima na kuja kuiwasha inaishia kwenye odin mode, naomba kujua utatuzi wa hili tatizo wanaforum maana haikubali kuingia download mode wala recovery mode.
  3. F

    msaada hp photosmart printer 6520

    Iyo printer ninayo ila bei yake ni ghali sana kwa wino 250,000/= zinakua nne tu.
  4. F

    wajanja night has been ended!!

    Hivi hii wajanja night ina unlimited bundle kweli au ni ujanja ujanja 2? Spidi yake ikoje
  5. F

    Nashindwa kuunganisha dots kuhusu VPN

    lete maujanja basi au unataka ufaidi mwenyewe tu mkubwa?
  6. F

    [TroidVPN for Android v4.x.x] Jipatie 1GB FOR FREE kila Siku

    Hivi hii troidvpn unatumia mtandao gani ili iconnect free 1gb per day?
  7. F

    How to scan for Free Open Ports in Any ISP for Free Internet

    Hivi hii troidvpn unatumia mtandao gani ili iconnect free 1gb per day?
  8. F

    [TroidVPN for Android v4.x.x] Jipatie 1GB FOR FREE kila Siku

    Mkuu naomba hizo remote port na local port za troid vpn
  9. F

    Jinsi yakutumia adobe photoshop

    naomba link ya hizo portable
  10. F

    Galaxy ace 5830 inauzwa

    nipm contact zako tuone tutafanyaje biznez
  11. F

    Galaxy ace 5830 inauzwa

    Kaka imetumika ndo maana nauza kwa bei punguza.bei ya dukani inajulikana na inauzwa coz kuna mashine mpya nyingne
  12. F

    Galaxy ace 5830 inauzwa

    ongeza mzigo kidogo tufanye biashara.
  13. F

    Galaxy ace 5830 inauzwa

    Galaxy ace 5830 inauzwa kwa bei ya tsh.270,000 tu. Kama unahitaji ni pm tuongee biashara.
  14. F

    Wale wa Whatsapp na Android: Simu MPYA Bei ya Kutupa with Charger,USB Cable,Ear4ns & 4Gb MEMORY CARD

    niaje mkuu?ninao huo mzigo nauuza aisee.we uko pande zipi?na ulikua na kiasi gani?
  15. F

    Tatizo la kupata choo kigumu au kukosa choo kwa muda mrefu (Constipation). Fahamu chanzo na tiba yake

    Dah.nimeamini ukwaju kiboko ndugu zangu'nilikua na tatizo lakukosa choo na nimefanya hivyo mlivyopost na nimejionea mwenyewe how it works.asanteni sana maana sijaingia gharama na dawa nimeipata'je ninaweza kurudia kusafisha tumbo kwa muda wa siku ngapi?na inatakiwa nifanye kila inapopita muda gani?
  16. F

    Natafuta Container la Futi 20

    Hey.nitumie email kwenye fadh09@yahoo.com ntakujulisha
Back
Top Bottom