Search results

  1. W

    Mbowe: Mabomu yamerushwa na Polisi kwa maagizo ya Serikali

    Ama kweli sasa nakubaliana na yule mh. Mbunge aliyesema polisi wameshindwa, bora iwe sehemu ya JWTZ ili nidhamu irudi. Sasa polisi wako mifukoni mwa wanasiasa wa ccm, hawafurukuti hata kidogo!
  2. W

    Je, hatuwezi kuwa na mchunguzi huru humu nchini mwetu?

    I salute you guys (Wana JF) kwa michango yenu yenye busara, positive thinking na ya kuelimishana. Baada ya kufikiria sana juu ya matukio ya kusikitisha sana kama yale ya Mbeya kwa kuuawa Mwangosi, mauaji ya Arusha, Zanzibar, Morogoro na sehemu zinginezo nyingi tu, nashindwa kuelewa taarifa za...
  3. W

    OLASITI and SOWETO bomb blasts

    Ndg yangu Freewild, hakika umenena, sikuwepo lakini nahisi unasema ukweli wa ndani. Tena hata wewe ungewauliza muda huo wangeku-shoot pia. Secret killers wameamua kuua wazi wazi sasa! Jukumu letu ni nini kuhusiana na hilo? Na hakika kama kila mwana jf atawaelimisha marafiki zake, ccm itakufa...
  4. W

    Dunia imeisha!

    Nilifikiri utatujuza kuwa 'jamaa alipigwa na mashuhudha hadi ICU ama nyumba ya maiti kabisa. Anyway, waungwana hao walimuona. Ajabu!!!! unasema tena ndg zake wanamwona mke mtu kafanya vibaya!!!! hao nao ni ndg zake mwendawazimu, hakuna cha ajabu hapo. Jama, 'dunia tambara bovu' imejaa matobo...
  5. W

    Buseresere: Mapigano makali yaibuka kati ya waislamu na wakristu!

    mmmmhhh!!! ama kweli sasa tumefikia pabaya! Ni lazima Watanzania tufanye uamuzi mgumu kuhusiana na mustakabali wa taifa letu. Hili la viongozi kuwa chanzo cha vita kati ya jamii zetu halikubaliki kabisa. Ni lazima tuwawajibishe wote waliotoa tamko lililopelekea vita hivi. Roho za waumini...
  6. W

    Kesi za viongozi wa CHADEMA

    Ndg yangu malaka umenena ukweli, ni vile tu wachunguzi wetu wa jf hawajapata data za ndani kuhusiana na kesi hizo. Laiti tungejua jinsi wanavyo-gongana vichwa huko, kila mmoja akijaribu kijinusuru na shari kamili..!!! Nahisi panapotokea tafrani ktk kutokukubaliana, mameno ya "UKIMWAGA UGALI...
  7. W

    Pope Benedict VXI atangaza kuachia ngazi

    Kwa mujibu wa http://www.aljazeera.com/news/europe/2013..... Ni kweli msemaji wa Papa Benedict amekiri kuwa Papa ata achia ngazi. Sababu iliyotajwa ni umri mkubwa, hivyo hawezi kuendelea kutekeleza majukumu ya ki-Papa. "Benedict, 85, said that he no longer had the strength to fulfill his...
  8. W

    Dar iko shwari! Storm is over now!

    Pamoja na hayo kuweni makini, punguwani hata akichapwa anaweza kushawishiwa na wajanja afanye kufuru usiku, halafu usikilizie kesho!! Ila big up kwa vijana ama kikosi cha kazi, na pengine niwaase wasifikiri kazi wamemaliza wakalala makwao, bali wahakikishe usalama wa raia na mali zao.
  9. W

    Maandamani a Waislamu

    We achana na walimwengu, hata kama wangeambiwa wavue nguo bado wangefanya vivyo hivyo!! Nakwambia wapo wengi tu watakaosilimu, ILA wenye upungufu wa akili, busara na utashi!!! Hainiingii akilini, ni Mola yupi huyu anayekubaliana na maovu kama hayo?? labda mola wa kujiundia hapa hapa duniani!!
  10. W

    Rais Kikwete, toa tamko na msimamo wako

    Ngd yangu Father of All, hivi wewe hujui kuwa sikio la kufa halisikii dawa? Unanisikitisha sana kuona bado unategemea kitu kutoka kwa huyo vasco dagama. Nakwambia fikiria habari ya kumweka pembeni, siyo mambo ya kumshinikiza atoe msimamo!! Nakwambia utoe kabisa fikra kama hizo kichwani, haya...
  11. W

    Picha: Huyu ndiye farid wa uamsho

    Huyu ni kibaraka tu, hana lolote analodai ila kutimiza matakwa ya miungu watu wake wa kiaarabu! Vibaraka kama hawa ndo wanatufanya tuwe masikini hadi leo, wacha wawajibishwe sawasawa!!
  12. W

    Picha: Yaliyojiri Dar na kwingineko Oktoba 19, 2012

    JK awaache vijana wafanye kazi, maana kazi hii ilishamshinda siku nyingi, sasa asilete zake hapa! ikibidi apumzishwe kabisaaa aendelee na u-Vasco dagama wake!!! Mungu aiokoe nchi yetu!
  13. W

    Jopo la Maaskofu lakutana Mbagala, latoa tamko zito

    Ndg zangu Watanzania, ifike wakati wa kutumia akili na busara zetu; kamwe tusifanye mambo kutimiza matakwa ya wajanja wachache wanaotumia nyadhifa zao za kidini (miungu watu. Hakika laana ya kuchoma makanisa itawafuata wote waliotenda kitendo hicho. Sihukumu ila nasema ukweli!
  14. W

    Ole wako usipojali

    Ohh!!! maskini mjomba!!! huruma imemgharimu jamani. Yawezekana hizo pesa hana kweli. Anyway, mola wake atamsaidia kwani alikuwa mtu mzuri tu. Asante kwa kutujuza makubwa haya ya walimwengu!!!
  15. W

    Natafuta mume jaman

    tatizo moja hujasema applications zitumwe kwa njia gani na mwisho ni lini!! hata hujasema unapatikana vp! But ALL THE BEST!
  16. W

    Iran kuleta madaktari 1,000 Tanzania

    Watanzania, ni vizuri tukajielewa sisi na nchi yetu. Naona wengine wetu tunawaabudu sana hawa wenye ngozi nyeupe. leo watakuletea drs. kesho watahitaji kitu. Nafikiri ni vizuri tukakumbuka kwamba Watanzania ndiyo tunaoweza kutatua matatizo ya Tanzania, usitegemee mtu wa nje kuja kukutatulia...
  17. W

    wanawake waruhusu wanaume....

    :israel:Umenena dr. walioelewa watafaidika, wasiokubaliana na hilo, basi waseme tuwasikie
  18. W

    WALIMU sasa muache WOGA Dr ULIMBOKA DAMU yake ni UKOMBOZI TZ

    TUCTA wanaliongeleaje hili la Dr. Ulimboka? Nisaidieni, maana sipati picha ya kitakachotokea baada ya unyama aliofanyiwa mtetezi wa Watanzania. Haki aliyokuwa anaipigania Dr. Ulimboka haikuwa ya madaktari tu, bali ya watanzania wote wanaohitaji huduma bora mahospitalini. SOTE TUMWOMBEE ULIMBOKA...
Back
Top Bottom